happymwashi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 980
- 846
Kondom zinaniwashaKama hujawai dungwa sindano basi bado hujajitibu. Kafanye culture sensitivity kisha upigwe Sindano.
Acha kujamiiana bila kondomu angalia vyoo unavyotumia
Ila sindano ni mwisho wa problem
mtindi pombe au maziwa?kunywa sana mtindi kila siku, uti utaisikia kwa jirani
Fanya mpango mtibiwe wote kwa pamoja dada yangu.Habari zenu wakuu .nimeolewa miezi michache iliyopita kila nikikutana kimwili na mume wangu napata uti yeye alishaumwa akapewa dawa na sindano lakin kila tukikutana napata uti tena naombeni msaada wenu wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
we nenda tu hospitali tofauti na ulizoenda mwanzo maana hata panahitaji majibu ya maswali mengi,Habari zenu wakuu .nimeolewa miezi michache iliyopita kila nikikutana kimwili na mume wangu napata uti yeye alishaumwa akapewa dawa na sindano lakin kila tukikutana napata uti tena naombeni msaada wenu wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
kulingana na jibu la swali la kwanza, huo mwezi mmoja ilipita ndio ilikuwa mara yake ya kwanza kupima UTI? kama ndio wewe kwako umejruidia mara ngapi sasa ndani ya huu mwezi?1.amepima mwezi mmoja ulipita
2.alipewa amoxilin clavam na sindano moja powerceff
3.nimepima weak moja ulipita
4.nimetumia ciproflaxin
5.tulipima tulivyokaribia kufunga ndoa
5.kwa mimi ni mkojo wenye harufu tofauti na siku nyingine hivyo nikisikia hiyo harufu tu najua
5.yeye kuumwa hadi kwenda hospitali toka nimemfahamu ni mara moja aliumwa kichwa na kusikia baridi
Sent using Jamii Forums mobile app
kulingana na jibu la swali la kwanza, huo mwezi mmoja ilipita ndio ilikuwa mara yake ya kwanza kupima UTI? kama ndio wewe kwako umejruidia mara ngapi sasa ndani ya huu mwezi?
Sent using Jamii Forums mobile app
haya basi kumbe mkapime kwanza mkojo, wote wawili, mmoja au wote mkiwa na UTI anzeni dawa (hakuna UTI sugu hapo), na kipindi unatumia dawa msikutane kimwili angalau wiki nzima. Ila sasa kuleni sana mtikiti maji, ningeweza kukuambia matikiti peke yake ni tiba ila najua wengi hatuamini katika vyakula, hivyo basi hata ukikutwa hauna hiyo UTI kula sana tikiti utaona mabadiliko.Ndani ya huo mwezi imejirudia mara moja nikatumia ciproflaxin kwa siku 5 jipili nimekutana nae jana nimeanza tena sikia harufu ya mkojo ila siumwi na yeye haumwi na tusipokutana hata mwezi hiyo shida hainipati though nikukutana nae tu lazima nipate
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hali ilivyo yawezekana mumeo akawa na UTI. kwa mwanaume ni ngumu kupata ila akipata kupona ni shughuli pevu. Binafsi nilihangaika takribani mwaka mmoja bila kupata tiba kamili. Shukrani kwa tiba ya Kikorea nina karibia miezi 7 sijapata, nimepima wiki iliyopita majibu ni nazuri zaidi ya sana.Ndani ya huo mwezi imejirudia mara moja nikatumia ciproflaxin kwa siku 5 jipili nimekutana nae jana nimeanza tena sikia harufu ya mkojo ila siumwi na yeye haumwi na tusipokutana hata mwezi hiyo shida hainipati though nikukutana nae tu lazima nipate
Sent using Jamii Forums mobile app