Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Kama hujawai dungwa sindano basi bado hujajitibu. Kafanye culture sensitivity kisha upigwe Sindano.

Acha kujamiiana bila kondomu angalia vyoo unavyotumia

Ila sindano ni mwisho wa problem
Kondom zinaniwasha
 
JAMANI NAOMBA MWENYE KUIJUA TAASISI INAITWA UTI, UNION OF TRAINING INSTITUTIONS(UTI), JE NI YA SERIKALI AU TAASISI YA PRIVATE?
 
Mkuu Jamiiforums nimekuelewa zaidi asanteh kwa mchango wako. Mungu akubariki
 
Habari zenu wakuu .nimeolewa miezi michache iliyopita kila nikikutana kimwili na mume wangu napata uti yeye alishaumwa akapewa dawa na sindano lakin kila tukikutana napata uti tena naombeni msaada wenu wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
we nenda tu hospitali tofauti na ulizoenda mwanzo maana hata panahitaji majibu ya maswali mengi,
1. Mumeo amepima lini na kukutwa na UTI?
2. Ni dawa gani alitumia, na je alipona?
3. Wewe mara mwisho kupima UTI lini?
4. Na dawa gani umetumia mpaka sasa?
5. Mmepima magonjwa ya zinaa?
6. Huwa unakuwa na dalili gani unapohisi una UTI?
7. mumeo naye huwa anaonesha dalili gani za UTI? au ugonjwa wowote?

NB: UTI kwa mwanaume ni moja ya aina za complicated UTI, huwa unahitaji umakini kuitibu na kuhakikisha imeisha na haijirudii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.amepima mwezi mmoja ulipita
2.alipewa amoxilin clavam na sindano moja powerceff
3.nimepima weak moja ulipita
4.nimetumia ciproflaxin
5.tulipima tulivyokaribia kufunga ndoa
5.kwa mimi ni mkojo wenye harufu tofauti na siku nyingine hivyo nikisikia hiyo harufu tu najua
5.yeye kuumwa hadi kwenda hospitali toka nimemfahamu ni mara moja aliumwa kichwa na kusikia baridi

kulingana na jibu la swali la kwanza, huo mwezi mmoja ilipita ndio ilikuwa mara yake ya kwanza kupima UTI? kama ndio wewe kwako umejruidia mara ngapi sasa ndani ya huu mwezi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inatakiwa mkiwa katika dozi msiingiliane kimwili,
msubiri had mmalize Dozi wote kwa pamoja,
Clovam ni nzur , wote mtumie hiyo kwa siku 4 had 7..
 
kulingana na jibu la swali la kwanza, huo mwezi mmoja ilipita ndio ilikuwa mara yake ya kwanza kupima UTI? kama ndio wewe kwako umejruidia mara ngapi sasa ndani ya huu mwezi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndani ya huo mwezi imejirudia mara moja nikatumia ciproflaxin kwa siku 5 jipili nimekutana nae jana nimeanza tena sikia harufu ya mkojo ila siumwi na yeye haumwi na tusipokutana hata mwezi hiyo shida hainipati though nikukutana nae tu lazima nipate

haya basi kumbe mkapime kwanza mkojo, wote wawili, mmoja au wote mkiwa na UTI anzeni dawa (hakuna UTI sugu hapo), na kipindi unatumia dawa msikutane kimwili angalau wiki nzima. Ila sasa kuleni sana mtikiti maji, ningeweza kukuambia matikiti peke yake ni tiba ila najua wengi hatuamini katika vyakula, hivyo basi hata ukikutwa hauna hiyo UTI kula sana tikiti utaona mabadiliko.

NB: msishauriane sana kwenda kutumia tena sindano za powerself, ukipewa cipro ongeza na doxycycline ya siku 10 (100mg mara 2 kwa siku) kama kweli imekuwa UTI ya kujirudia tudia hapo kwisha habari yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndani ya huo mwezi imejirudia mara moja nikatumia ciproflaxin kwa siku 5 jipili nimekutana nae jana nimeanza tena sikia harufu ya mkojo ila siumwi na yeye haumwi na tusipokutana hata mwezi hiyo shida hainipati though nikukutana nae tu lazima nipate

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hali ilivyo yawezekana mumeo akawa na UTI. kwa mwanaume ni ngumu kupata ila akipata kupona ni shughuli pevu. Binafsi nilihangaika takribani mwaka mmoja bila kupata tiba kamili. Shukrani kwa tiba ya Kikorea nina karibia miezi 7 sijapata, nimepima wiki iliyopita majibu ni nazuri zaidi ya sana.
Cha msingi mtibiwe wote, pia msishiriki mapenzi kabla ya kupima tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada yangu kahangaika ni hiyo ugonjwa sana kila akienda hospital anapewa dawa na kudungwa sindano lakini wapi.Dokta akamwambia we yako ishakuwa sugu na itakuharibu kizazi.Mwishowe kampata specialist mmoja nadhan alinambia yupo makumbusho ye anatumia vidonge lakn ye anaita virutubisho sijuwi SUPLEMANT. Lakini bei yake imechangamka kidogo make ye ilimtoka lak 2 hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili kupata tiba ya u. t.i lazima ujue umekutwa na u. t. i kiasi gani? Je ni 1+,2+ ama 3+ na pia usafi ni muhimu wanawake wengi hygiene yenu huko chini sio nzuri, Mnakosea ktk kujisafisha, mna kaa na pads mda mrefu, mnatumia sabuni kujisafisha huko which is wrong, mnafukisha vitu vya ajabu huko chini.
and the end jua u. t .i inaambukizwa kwa ngono ni sexual transmitted.

tambua mnatatizo kiasi gani half mjitibu kisha mjikinge we na mwenza wako.
 
Back
Top Bottom