Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unaonekana una kiburi sana.kwanini ukipigiwa cm hupokei na umetoa namba mwenyewe? Mbabaishaji
Punguza hasira kijana, nikubabaishe wewe au mwingine yoyote ntapata faida gani? Usifikiri mimi ni operator wa simu na sina shughuli nyingine za kufanya, kama umenikosa leo jaribu kesho. Nimetoa namba zaidi ya moja na nimetoa zaidi ya namna moja ya mawasiliano, ukinikosa kwenye simu, kuna email kuna whatsapp.
Fanya heshima na adabu katika lugha yako unayotumia kuwasiliana.
Nilisha kujibu hili kwenye nyuzi nyingine leo jioni. Vipi?
Pitia hapa: https://www.jamiiforums.com/matanga...ha-ngozi-sasa-unapatikana-3.html#post11810263

Huu uzi unahusu U.T.I wewe unaleta ngonjera za udongo na urembo..poor you
Pole sana na samahani ili umepigiwa zaidi ya mara 5 kwa namba zako zote hupokei. Km unaona uko bize usitoe namba. Kila mtu yuko bize..usitishie watu na kaudongo chako hako. Badilika kuwa mjasiriamali na heshimu simu za wanaokupigia.ukikuta mis kol jibu.
Punguza hasira kijana, nikubabaishe wewe au mwingine yoyote ntapata faida gani? Usifikiri mimi ni operator wa simu na sina shughuli nyingine za kufanya, kama umenikosa leo jaribu kesho. Nimetoa namba zaidi ya moja na nimetoa zaidi ya namna moja ya mawasiliano, ukinikosa kwenye simu, kuna email kuna whatsapp.
Fanya heshima na adabu katika lugha yako unayotumia kuwasiliana.
Nilisha kujibu hili kwenye nyuzi nyingine leo jioni. Vipi?
Pitia hapa: https://www.jamiiforums.com/matanga...ha-ngozi-sasa-unapatikana-3.html#post11810263
Unamgegeda nani kila mara tuanzie hapo
Kiukweli toka nipate tatizo hili mpenzi wangu yuko mbali sana na mimi sijawahi kukutana nae na wala sio mchepukaji hivo sio kwamba nafanya mapenzi na mtu fulani alafu narudia tena kuchukua ugonjwa la hasha.
Unajua U.T.I inatokaga kwa wanawake so jitahidi kutokufanya mapenzi kiholela, kunywa maji mengi sana na kama ikishindikana nenda KCMC wanahuduma nzuli na utapona
Habarini waungwana mbalimbali
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 24 nasumbuliwa sana na u.t.i mpaka sasa toka mwaka jana. Mwezi wa 4 mwaka huu nimefanya urine culture na nikapewa dawa lakini bado tatizo lipo.
Nimechoma sindano pamoja na vidonge lakini nimalizapo tu dozi basi tatizo huanza tena. Na huwa mapumbu yanakua kama yanatekenya hivi tumbo lina choma usawa wa kibofo na vichomi vichomi katika tumbo mpaka sehemu ya kupitishia mkojo kwa chini inakua kama inawasha lakini hakuna uchafu wowote unaotoka wakati wa kukojoa. Mkojo mda mwingine ni mweupe sana mda mwingine kahawia.
Wataalam mbalimbali naomba msaada wenu tafadhari wa haraka nini nifanye nahambatanisha na majibu ya vipimo.
Kwanza nikupe pole kijana,nilikuwa na tatzo kama lako pamoja na maralia sugu nikimeza dozi nakuwa musima ndani ya wiki nikipima UTI na malaria lazima vikuwe kwa mwili,tiba nilienda kwa maduka yanayouza dawa za asili za kichina(TIENS) NIKAPEWA DAWA KAMA MAJAN YA CHAI UNAKUNYWA KWA MAJI MOTO PAKT MOJA SH 1OOO/=Nashukuru mungu mpaka sa ivi nko msima