Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Wewe unaonekana una kiburi sana.kwanini ukipigiwa cm hupokei na umetoa namba mwenyewe? Mbabaishaji

Punguza hasira kijana, nikubabaishe wewe au mwingine yoyote ntapata faida gani? Usifikiri mimi ni operator wa simu na sina shughuli nyingine za kufanya, kama umenikosa leo jaribu kesho. Nimetoa namba zaidi ya moja na nimetoa zaidi ya namna moja ya mawasiliano, ukinikosa kwenye simu, kuna email kuna whatsapp.

Fanya heshima na adabu katika lugha yako unayotumia kuwasiliana.

Nilisha kujibu hili kwenye nyuzi nyingine leo jioni. Vipi?

Pitia hapa: https://www.jamiiforums.com/matanga...ha-ngozi-sasa-unapatikana-3.html#post11810263
 
Pole sana na samahani ili umepigiwa zaidi ya mara 5 kwa namba zako zote hupokei. Km unaona uko bize usitoe namba. Kila mtu yuko bize..usitishie watu na kaudongo chako hako. Badilika kuwa mjasiriamali na heshimu simu za wanaokupigia.ukikuta mis kol jibu.
 
Huu uzi unahusu U.T.I wewe unaleta ngonjera za udongo na urembo..poor you
 
Samahani kaka kama nimekukosea.

Lakini ukinisoma vizuri nimetoa mchango wangu kuhusu UTI na nikaweka link ya anuani zangu zinapopatikana kupitia hiyo link ya humuhumu JF, sijui kilichokukera ni nini wakati nimeua ndege wawili kwa jiwe moja? Nimetoa ushauri wa UTI na nimetangaza biashara yangu kwa ataefata hiyo link kutaka anuani za kusaidiwa UTI.
 
Pole sana na samahani ili umepigiwa zaidi ya mara 5 kwa namba zako zote hupokei. Km unaona uko bize usitoe namba. Kila mtu yuko bize..usitishie watu na kaudongo chako hako. Badilika kuwa mjasiriamali na heshimu simu za wanaokupigia.ukikuta mis kol jibu.

Kama umepiga jana kumbuka ilikuwa ni Jumapili. Piga leo au weka namba zako hapa au PM tukupigie sasa hivi.
 
Punguza hasira kijana, nikubabaishe wewe au mwingine yoyote ntapata faida gani? Usifikiri mimi ni operator wa simu na sina shughuli nyingine za kufanya, kama umenikosa leo jaribu kesho. Nimetoa namba zaidi ya moja na nimetoa zaidi ya namna moja ya mawasiliano, ukinikosa kwenye simu, kuna email kuna whatsapp.

Fanya heshima na adabu katika lugha yako unayotumia kuwasiliana.

Nilisha kujibu hili kwenye nyuzi nyingine leo jioni. Vipi?

Pitia hapa: https://www.jamiiforums.com/matanga...ha-ngozi-sasa-unapatikana-3.html#post11810263

Heey! U'r in business and yet being this rude! Ungemjibu tu vizuri
 
Naoma unitumie ujumbe kwa kupata maelezo zaidi ya matibabu ya UtiO654 705550
 
Naomba msaada wako.unaenda hosp unaambiwa mkojo wako mchafu,je inauhusiano na U T I
 
Habarini waungwana mbalimbali

Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 24 nasumbuliwa sana na u.t.i mpaka sasa toka mwaka jana. Mwezi wa 4 mwaka huu nimefanya urine culture na nikapewa dawa lakini bado tatizo lipo.

Nimechoma sindano pamoja na vidonge lakini nimalizapo tu dozi basi tatizo huanza tena. Na huwa mapumbu yanakua kama yanatekenya hivi tumbo lina choma usawa wa kibofo na vichomi vichomi katika tumbo mpaka sehemu ya kupitishia mkojo kwa chini inakua kama inawasha lakini hakuna uchafu wowote unaotoka wakati wa kukojoa. Mkojo mda mwingine ni mweupe sana mda mwingine kahawia.

Wataalam mbalimbali naomba msaada wenu tafadhari wa haraka nini nifanye nahambatanisha na majibu ya vipimo.
 
Vipimo ndio hivo
 
Attachments

  • 1432448502916.jpg
    1432448502916.jpg
    56.3 KB · Views: 835
  • 1432448548893.jpg
    1432448548893.jpg
    47.3 KB · Views: 763
Unamgegeda nani kila mara tuanzie hapo

Kiukweli toka nipate tatizo hili mpenzi wangu yuko mbali sana na mimi sijawahi kukutana nae na wala sio mchepukaji hivo sio kwamba nafanya mapenzi na mtu fulani alafu narudia tena kuchukua ugonjwa la hasha.
 
Unajua U.T.I inatokaga kwa wanawake so jitahidi kutokufanya mapenzi kiholela, kunywa maji mengi sana na kama ikishindikana nenda KCMC wanahuduma nzuli na utapona
 
Habarini waungwana mbalimbali

Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 24 nasumbuliwa sana na u.t.i mpaka sasa toka mwaka jana. Mwezi wa 4 mwaka huu nimefanya urine culture na nikapewa dawa lakini bado tatizo lipo.
Nimechoma sindano pamoja na vidonge lakini nimalizapo tu dozi basi tatizo huanza tena. Na huwa mapumbu yanakua kama yanatekenya hivi tumbo lina choma usawa wa kibofo na vichomi vichomi katika tumbo mpaka sehemu ya kupitishia mkojo kwa chini inakua kama inawasha lakini hakuna uchafu wowote unaotoka wakati wa kukojoa. Mkojo mda mwingine ni mweupe sana mda mwingine kahawia.
Wataalam mbalimbali naomba msaada wenu tafadhari wa haraka nini nifanye nahambatanisha na majibu ya vipimo.

Acha kutumia maji kujisafisha wakati wa haja kubwa Anza kutumia toilet paper kujisafisha then maji yafuate la sivyo UTI haitaisha kamwe utaenda hospital nenda rudi
 
Kwanza nikupe pole kijana,nilikuwa na tatzo kama lako pamoja na maralia sugu nikimeza dozi nakuwa musima ndani ya wiki nikipima UTI na malaria lazima vikuwe kwa mwili,tiba nilienda kwa maduka yanayouza dawa za asili za kichina(TIENS) NIKAPEWA DAWA KAMA MAJAN YA CHAI UNAKUNYWA KWA MAJI MOTO PAKT MOJA SH 1OOO/=Nashukuru mungu mpaka sa ivi nko msima
 
Sawa mkubwa nitalishughulikia kesho ingawa na leo nimepewa dawa zingine za hospitali sijui kama ni shida kutumia zote kwa pamoja?
 
Back
Top Bottom