Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuuu fafanuaPia juisi ya nanasi ni dawa ya UTI sugu
pamojaAsante mkuu elimu nzuri hii
pamoja mkuuAsante sana mkuu nimekuelewaa sana
Mkuuu fafanua
Ndomara yakwanza naskia mtu kupinga kama U.T.I haiambukii kutoka kwamtu kwenda kwa mwenzawake....Umeeleza vizuri kuhusu UTI lakini kuhusu njia za maambukizi kwa ugonjwa wa UTI hauambukizwi kwa njia ya kujamiiana.
Ila Kuna baadhi ya magonjwa ya ngono yanaofana na UTI lakini sio UTI mfano...Cervicitis,urethritis,Vaginitis n.k ambayo yamesababishwa na wadudu kama Chlaymidia,Trichomonas vaginalis na Nesseria Gonococcus.
Tunasema UTI haiambukizwi kwa njia ya kujamiiana wala UTI haiambukwi kutoka kwa MTU mmoja kwenda kwa MTU mwingine.
Na hali hii ndiyo imeleta mtafaruku ktk ndoa kwa baadhi ya wataalam kama Mke ana UTI anaambiwa kamlete na Mume wake apate dawa au kama ni Mume ana UTI basi na Mke anapewa dawa Kitu ambacho kinawachanganya watu.
Kwa magonjwa ya zinaa au ngono ni kweli wanatibiwa MTU na partner wake au MTU Mke au Mume wake lakini si kwa UTI.
Nawasilisha...challenge ruksa
Urethritis ni uti,,Umeeleza vizuri kuhusu UTI lakini kuhusu njia za maambukizi kwa ugonjwa wa UTI hauambukizwi kwa njia ya kujamiiana.
Ila Kuna baadhi ya magonjwa ya ngono yanaofana na UTI lakini sio UTI mfano...Cervicitis,urethritis,Vaginitis n.k ambayo yamesababishwa na wadudu kama Chlaymidia,Trichomonas vaginalis na Nesseria Gonococcus.
Tunasema UTI haiambukizwi kwa njia ya kujamiiana wala UTI haiambukwi kutoka kwa MTU mmoja kwenda kwa MTU mwingine.
Na hali hii ndiyo imeleta mtafaruku ktk ndoa kwa baadhi ya wataalam kama Mke ana UTI anaambiwa kamlete na Mume wake apate dawa au kama ni Mume ana UTI basi na Mke anapewa dawa Kitu ambacho kinawachanganya watu.
Kwa magonjwa ya zinaa au ngono ni kweli wanatibiwa MTU na partner wake au MTU Mke au Mume wake lakini si kwa UTI.
Nawasilisha...challenge ruksa
Uko correct kabisa we jamaaUmeeleza vizuri kuhusu UTI lakini kuhusu njia za maambukizi kwa ugonjwa wa UTI hauambukizwi kwa njia ya kujamiiana.
Ila Kuna baadhi ya magonjwa ya ngono yanaofana na UTI lakini sio UTI mfano...Cervicitis,urethritis,Vaginitis n.k ambayo yamesababishwa na wadudu kama Chlaymidia,Trichomonas vaginalis na Nesseria Gonococcus.
Tunasema UTI haiambukizwi kwa njia ya kujamiiana wala UTI haiambukwi kutoka kwa MTU mmoja kwenda kwa MTU mwingine.
Na hali hii ndiyo imeleta mtafaruku ktk ndoa kwa baadhi ya wataalam kama Mke ana UTI anaambiwa kamlete na Mume wake apate dawa au kama ni Mume ana UTI basi na Mke anapewa dawa Kitu ambacho kinawachanganya watu.
Kwa magonjwa ya zinaa au ngono ni kweli wanatibiwa MTU na partner wake au MTU Mke au Mume wake lakini si kwa UTI.
Nawasilisha...challenge ruksa
Unaweza elezea inaambukizwaje & inakuaje adi tatzo linatokea?Ndomara yakwanza naskia mtu kupinga kama U.T.I haiambukii kutoka kwamtu kwenda kwa mwenzawake....
Nikitulia nitakuwekea... alafu tambua katika kumtibu mgonjwa lazima na partnerwake apewe dozi. iyo haikwepeki.Unaweza elezea inaambukizwaje & inakuaje adi tatzo linatokea?
Medically we call it pathophysiology of UTI.
Uko correct kabisa we jamaa
this is y we say UTI is not CONTAGIOUS like STI.
UTI haiambukizwi by sex, so unapomtibu mtu sio lazima umtibu na partiner wake, ni vema kuangalia if it is lower/upper UTI and investigate about causative organism!
But, unaeza mshaur mtu a avoid sex as it may lead to discomfort also inaweza pelekea other infection ambazo sio lazima ziwe UTI.
Itakua huzungumzii uti,,Nikitulia nitakuwekea... alafu tambua katika kumtibu mgonjwa lazima na partnerwake apewe dozi. iyo haikwepeki.
Acha kulazimishaNikitulia nitakuwekea... alafu tambua katika kumtibu mgonjwa lazima na partnerwake apewe dozi. iyo haikwepeki.
1)Kwa wanawakeAcha kulazimisha
Lete Reference ili tuelewe kwa nin ktk UTI partner lazima atibiwe
Muache ubishi UTI inaambukizwa kwa sex1)Kwa wanawake
• Kujamiiana –hii huweza kuamisha bacteria walio kwenye uume moja kwa moja, ama watokanao na maambukizi ya ukeni kuingia moja kwa moja njia ya mkojo
• Kuchezea ama kuchezewa na mikono michafu maeneo ya uke kunaweza kusababisha maambukizi
• Njia mbaya ya kujisafisha baada ya haja kubwa au ndogo
nakuto kujisafisha baada ya haja, haijalishi kubwa ao ndogo. hii inaweza kuhamisha bacteria walio ktk mlango wahaja na kuingia njia ya mkojo
• Matumizi ya pedi za kike zenye kemikali ya kukata harufu ambao huua bacteria wa asili wa eneo la uke na kukaribisha bacteria wanaosababisha maradhi kuzaliana kwa wingi
Vifuatavyo pia vinaweza vikachangia
2)Kwa wanaume
• Matatizo ya tezi ya kiume(prostate) ambapo husababisha mrija wa mkojo kuziba, ama kutopitisha mkojo vizuri na kuruhusu bacteria kujenga makazi
• Kutotahiriwa, ambapo nyama ya mbele inaweza kuhifadhi bacteria wasababishao U.T.I
• Kujamiiana kinyume cha maumbile huingiza kirahisi bacteria walio njia ya haja kubwa kwenye njia ya mkojo
• Kujamiiana bila kinga na mwanamke ambaye ana maambukizi ukeni.
NB: Ubishi wakwenye vijiwe hauhitajiki kila mtu abaki nakile anacho kielewa. Asante
Haaha jamaa it seems like umepanic, lakin lilikua sio lengo langu. Lengo langu lilikua ni kushare knowledge tulizo nazo ili kuchange our attitudes.1)Kwa wanawake