Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Mkuuu fafanua

Kama tunavyofahamu, ugonjwa wa UTI unashauriwa utumie maji kwa wingi ili uweze kukojoa kila mara . Hii itapelekea kuondoa vimelea vya ugonjwa huo.

Maji ya Nanasi (Sharubati ya nanasi) inapotumika walau glass moja kwa siku itapelekea kuondoa vijimelea vingi vya UTI kwa muda mchache.

Pia ili twende sawa tafuna matango ili usafishe figo
 
Umeeleza vizuri kuhusu UTI lakini kuhusu njia za maambukizi kwa ugonjwa wa UTI hauambukizwi kwa njia ya kujamiiana.

Ila Kuna baadhi ya magonjwa ya ngono yanaofana na UTI lakini sio UTI mfano...Cervicitis,urethritis,Vaginitis n.k ambayo yamesababishwa na wadudu kama Chlaymidia,Trichomonas vaginalis na Nesseria Gonococcus.

Tunasema UTI haiambukizwi kwa njia ya kujamiiana wala UTI haiambukwi kutoka kwa MTU mmoja kwenda kwa MTU mwingine.

Na hali hii ndiyo imeleta mtafaruku ktk ndoa kwa baadhi ya wataalam kama Mke ana UTI anaambiwa kamlete na Mume wake apate dawa au kama ni Mume ana UTI basi na Mke anapewa dawa Kitu ambacho kinawachanganya watu.

Kwa magonjwa ya zinaa au ngono ni kweli wanatibiwa MTU na partner wake au MTU Mke au Mume wake lakini si kwa UTI.

Nawasilisha...challenge ruksa
 
Ndomara yakwanza naskia mtu kupinga kama U.T.I haiambukii kutoka kwamtu kwenda kwa mwenzawake....
 
Umeeleza vizuri kuhusu UTI lakini kuhusu njia za maambukizi kwa ugonjwa wa UTI hauambukizwi kwa njia ya kujamiiana.

Ila Kuna baadhi ya magonjwa ya ngono yanaofana na UTI lakini sio UTI mfano...Cervicitis,urethritis,Vaginitis n.k ambayo yamesababishwa na wadudu kama Chlaymidia,Trichomonas vaginalis na Nesseria Gonococcus.

Tunasema UTI haiambukizwi kwa njia ya kujamiiana wala UTI haiambukwi kutoka kwa MTU mmoja kwenda kwa MTU mwingine.

Na hali hii ndiyo imeleta mtafaruku ktk ndoa kwa baadhi ya wataalam kama Mke ana UTI anaambiwa kamlete na Mume wake apate dawa au kama ni Mume ana UTI basi na Mke anapewa dawa Kitu ambacho kinawachanganya watu.

Kwa magonjwa ya zinaa au ngono ni kweli wanatibiwa MTU na partner wake au MTU Mke au Mume wake lakini si kwa UTI.

Nawasilisha...challenge ruksa
Urethritis ni uti,,
 
Uko correct kabisa we jamaa

this is y we say UTI is not CONTAGIOUS like STI.

UTI haiambukizwi by sex, so unapomtibu mtu sio lazima umtibu na partiner wake, ni vema kuangalia if it is lower/upper UTI and investigate about causative organism!

But, unaeza mshaur mtu a avoid sex as it may lead to discomfort also inaweza pelekea other infection ambazo sio lazima ziwe UTI.
 
Unaweza elezea inaambukizwaje & inakuaje adi tatzo linatokea?

Medically we call it pathophysiology of UTI.
Nikitulia nitakuwekea... alafu tambua katika kumtibu mgonjwa lazima na partnerwake apewe dozi. iyo haikwepeki.
Uko correct kabisa we jamaa

this is y we say UTI is not CONTAGIOUS like STI.

UTI haiambukizwi by sex, so unapomtibu mtu sio lazima umtibu na partiner wake, ni vema kuangalia if it is lower/upper UTI and investigate about causative organism!

But, unaeza mshaur mtu a avoid sex as it may lead to discomfort also inaweza pelekea other infection ambazo sio lazima ziwe UTI.
 
Acha kulazimisha

Lete Reference ili tuelewe kwa nin ktk UTI partner lazima atibiwe
1)Kwa wanawake
• Kujamiiana –hii huweza kuamisha bacteria walio kwenye uume moja kwa moja, ama watokanao na maambukizi ya ukeni kuingia moja kwa moja njia ya mkojo
• Kuchezea ama kuchezewa na mikono michafu maeneo ya uke kunaweza kusababisha maambukizi
• Njia mbaya ya kujisafisha baada ya haja kubwa au ndogo
nakuto kujisafisha baada ya haja, haijalishi kubwa ao ndogo. hii inaweza kuhamisha bacteria walio ktk mlango wahaja na kuingia njia ya mkojo
• Matumizi ya pedi za kike zenye kemikali ya kukata harufu ambao huua bacteria wa asili wa eneo la uke na kukaribisha bacteria wanaosababisha maradhi kuzaliana kwa wingi
Vifuatavyo pia vinaweza vikachangia

2)Kwa wanaume
• Matatizo ya tezi ya kiume(prostate) ambapo husababisha mrija wa mkojo kuziba, ama kutopitisha mkojo vizuri na kuruhusu bacteria kujenga makazi
• Kutotahiriwa, ambapo nyama ya mbele inaweza kuhifadhi bacteria wasababishao U.T.I
• Kujamiiana kinyume cha maumbile huingiza kirahisi bacteria walio njia ya haja kubwa kwenye njia ya mkojo
• Kujamiiana bila kinga na mwanamke ambaye ana maambukizi ukeni.

NB: Ubishi wakwenye vijiwe hauhitajiki kila mtu abaki nakile anacho kielewa. Asante
 
Muache ubishi UTI inaambukizwa kwa sex
 
Haaha jamaa it seems like umepanic, lakin lilikua sio lengo langu. Lengo langu lilikua ni kushare knowledge tulizo nazo ili kuchange our attitudes.

Sasa umeanza kusema "ooh hayo maneno ya vijiweni, kila mtu abaki na anachokijua" Mie cko rigid ivyo mtu akileta facts najifunza ivyo cng'ang'anii nnachokijua

"Great minds argue about ideas and facts" Nnapokwambia soma pathophysiology ya UTI nna maana yangu, anyway kwakua umetaka kila mtu abaki na anachokijua sawa kwa uchoyo/ubishi wako wa kushare knowledge.

Ila sababu mie napenda kushare knowledge, na mtu akinifundisha kitu chenye maana naelewa ngoja ntakupa ka idea kidogo nlikokasoma kutoka ktk ktabu flani hapa chini

Mfano, Tuchukulie mwanamke aliye infected with upper/lower Urinary tract infections, Mwanaume anaweza kusex nae na bila uyo mwanaume kuambukizwa. Utajiuliza Y? Jibu ni kwamba urethra opening (tundu la mkojo) ni tofauti na vaginal/uke (japo vipo very close), na kumbuka ukeni kuna normal flora (bacteria wa asili) kwa ajili ya kulinda ule uke. Hivyo basi mwanaume anaweza kumwingilia mwanamke vizur tu (with cautions) bila ya yeye kuambukizwa.

Sorry sana kama umechukia, ila nlitaka tu kuchangia nnachokijua mie kua sex sio lazima iambukize UTI, na unapomtibu mtu UTI sio lazima umtibu partner wake. That's all.
 
Back
Top Bottom