Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Mkuu mpelekeJe kwa watoto wachanga ni dawa zip zinawafaa
hospital tu,,,umu kila mtu mjuaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mpelekeJe kwa watoto wachanga ni dawa zip zinawafaa
Mkuu Ukiwa Kwenye Doze ya U.T.I Unaweza Ukufanya mapenzi?Asante
.kila la kheriWewe unaelim gani?? maana nisikae najibishana na mtu wa form4
Unatumiaje mkuuPia juisi ya nanasi ni dawa ya UTI sugu
Duu Ngoja Nirudi Maktaba.....hii ishu uliosema hapa n mpya mkuuUmeeleza vizuri kuhusu UTI lakini kuhusu njia za maambukizi kwa ugonjwa wa UTI hauambukizwi kwa njia ya kujamiiana.
Ila Kuna baadhi ya magonjwa ya ngono yanaofana na UTI lakini sio UTI mfano...Cervicitis,urethritis,Vaginitis n.k ambayo yamesababishwa na wadudu kama Chlaymidia,Trichomonas vaginalis na Nesseria Gonococcus.
Tunasema UTI haiambukizwi kwa njia ya kujamiiana wala UTI haiambukwi kutoka kwa MTU mmoja kwenda kwa MTU mwingine.
Na hali hii ndiyo imeleta mtafaruku ktk ndoa kwa baadhi ya wataalam kama Mke ana UTI anaambiwa kamlete na Mume wake apate dawa au kama ni Mume ana UTI basi na Mke anapewa dawa Kitu ambacho kinawachanganya watu.
Kwa magonjwa ya zinaa au ngono ni kweli wanatibiwa MTU na partner wake au MTU Mke au Mume wake lakini si kwa UTI.
Nawasilisha...challenge ruksa
Hakuna Kitu kipya hapo.Ugonjwa wa UTI haumbukizwi kwa njia ya ngono.The big NoDuu Ngoja Nirudi Maktaba.....hii ishu uliosema hapa n mpya mkuu
kwa kunywaUnatumiaje mkuu
unatumiaje mkuuPia juisi ya nanasi ni dawa ya UTI sugu
Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona haraka.Naomba kusaidiwa tiba sahihi ya uti , maana ni mda sasa inanisumbua nimeshatumia dawa za aina mbalimbal ( antibiotics) lakin bado inaniandama. Natanguliza shukran zangu ikiwa nitasaidiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri nitajaribuChukua dafu banja mimina maji yake ktk kikombe kamulia ndimu tatu
Fanya hivo kwa muda hata wa wiki uwe unakunywa mchanganyiko huo
Mhu. Ungeenda kwa DOKTER ndo angekupa ushauri sahihi. Kuliko kuuliza watu mtaani na wakakushauri. bila kujua tatizo lako limefikia wapi
Asante kwa ushauri..Mhu. Ungeenda kwa DOKTER ndo angekupa ushauri sahihi. Kuliko kuuliza watu mtaani na wakakushauri. bila kujua tatizo lako limefikia wapi