Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Umeeleza vizuri kuhusu UTI lakini kuhusu njia za maambukizi kwa ugonjwa wa UTI hauambukizwi kwa njia ya kujamiiana.

Ila Kuna baadhi ya magonjwa ya ngono yanaofana na UTI lakini sio UTI mfano...Cervicitis,urethritis,Vaginitis n.k ambayo yamesababishwa na wadudu kama Chlaymidia,Trichomonas vaginalis na Nesseria Gonococcus.

Tunasema UTI haiambukizwi kwa njia ya kujamiiana wala UTI haiambukwi kutoka kwa MTU mmoja kwenda kwa MTU mwingine.

Na hali hii ndiyo imeleta mtafaruku ktk ndoa kwa baadhi ya wataalam kama Mke ana UTI anaambiwa kamlete na Mume wake apate dawa au kama ni Mume ana UTI basi na Mke anapewa dawa Kitu ambacho kinawachanganya watu.

Kwa magonjwa ya zinaa au ngono ni kweli wanatibiwa MTU na partner wake au MTU Mke au Mume wake lakini si kwa UTI.

Nawasilisha...challenge ruksa
Duu Ngoja Nirudi Maktaba.....hii ishu uliosema hapa n mpya mkuu
 
Duu Ngoja Nirudi Maktaba.....hii ishu uliosema hapa n mpya mkuu
Hakuna Kitu kipya hapo.Ugonjwa wa UTI haumbukizwi kwa njia ya ngono.The big No

Tusichanganye UTI na STIs

Nenda Library then urudi na references
 
Naomba kusaidiwa tiba sahihi ya uti , maana ni mda sasa inanisumbua nimeshatumia dawa za aina mbalimbal ( antibiotics) lakin bado inaniandama. Natanguliza shukran zangu ikiwa nitasaidiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu humu siku hizi wataalamu cjui wameenda wapi kwakweli..., mimi ninachokushauri kunywa sana maji mengi kuanzia lita mbili na nusu kwa siku mpaka lita nne. Pia maziwa ya mtindi angalau glass mbili kwa siku. Ila kwa mimi nilienda hospitali nikaandikiwa sindano 5 na vidonge kadhaa baada ya kupona nazingatia sana kunywa maji mengi na maziwa ya mtindi ili UTI isijirudie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kusaidiwa tiba sahihi ya uti , maana ni mda sasa inanisumbua nimeshatumia dawa za aina mbalimbal ( antibiotics) lakin bado inaniandama. Natanguliza shukran zangu ikiwa nitasaidiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona haraka.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu
 
wakuu kwema huko nimechomba sindano na kumeza antiobyotics lkn uti haitoki kuna jamaa kanishauri nitumie baking soda ile ya maandaz nichanganye na maji je ni kwe li hii tiba itanisaidia msaada wenu wakuu..
 
Mhu. Ungeenda kwa DOKTER ndo angekupa ushauri sahihi. Kuliko kuuliza watu mtaani na wakakushauri. bila kujua tatizo lako limefikia wapi
 
Chukua dafu banja mimina maji yake ktk kikombe kamulia ndimu tatu

Fanya hivo kwa muda hata wa wiki uwe unakunywa mchanganyiko huo
 
Pole kwa tatizo linalokusumbua tafuta hizi dawa na imani zitakusaidia kwa namna moja Mkuu

Chaguo la kwanza:
Amoxycillin 250mg kunywa kila baada ya masaa8 kwa siku 5 au Trimethoprim 300mg kunywa mara moja kwa siku kwa siku tano

NB: Hakikisha unavyokunywa dawa moja wapo wa hizo hapo juu kunywa na Folic acid 5mg mara moja kwa siku tano

Chaguo la pili:
Nalidixic 100mg kunywa kila baada ya masaa 6 kwa siku tano Hakikisha umekula na umeshiba kabla ya kumeza dawa hizo...

Kila la kheri
 
Mkuu nakupa dawa mbili za tiba mbadala. Moja rahisi sana kutengeneza na ingine ngumu kidogo
 
Chukua backing soda yaan bicabornate na sio backing powder. Na uchukue glasi ya nusu lita then chukua kijiko kimoja cha wali kilichojaa kwa kukatwa weka na koroga then kunywa 3 times a day kwa siku5 ukipona usisahau kurudisha shukurani
 
Back
Top Bottom