The secretary
JF-Expert Member
- Jan 14, 2012
- 4,148
- 2,537
nipo naendelea kuangali hizi vocal unavyozichana..next...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iwapo unafikiri unayo maambukizo kwenye mrija wa kupitisha mkojo, kunywa maji mengi na nenda
kamwone mhudumu wa afya kwa ajili ya matibabu. Usijamiiane mpaka dalili zote ziwe zimetoweka.
Naomba ushauri wa kitabibu juu ya ugonjwa wa UTI. Mi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28. Kwa miaka miwili sasa nimekuwa nasumbuliwa na ugonjwa huu. Na nimekuwa natumia dawa mbalimbali bila mafanikio. Naomba ushauri wenu!
Kwanza kabisa namshukuru mwenyez Mungu kwa kutujalia Uzima mpaka muda huu, nafikil mu wazima wote wanajamvi TATIZO LANGU NI KWA LEO NILIKWENDA Dispensari fulan hvi baada ya kusikia maumivu makali kwenye uume na mazingira yote kuuzunguka pamoja na korodan zote ,nlivyofika pale dispensar nkamuelezea docta tatzo langu na aka nambia nkapime mkojo,majibu yalionyesha kuwa Nina UTI na akaniandikia dawa ya sindano tatu ambazo ntachomwa kwa siko tatu, SWAL langu ni kwamba je tatizo hli linatibika?,kama linatibka kwa dawa gan? Pia hiyo dawa ya sindano nlyoandikiwa inawezekana ikawa n tiba sahih ya tatizo langu? PIA NAWAOMBEN USHAUR MWINGNE KUHUSIANA NA TATIZO HILI& Samahan kwa usumbufu wowote uliojtokeza .
Achana na sindanao, tafuta duka la dawa unaloliamini nunua dawa inayoitwa AZITHROMYCIN (Capsule USP 500mg). Dose ya uhakika ni vidonge 5 kwa siku 5, kila siku 1.
×
×
akipata resistance/asipopona atarudi tena hapa. Mwambie aende hospitali kubwa akafanye uchunguzi. Ulishawahi ona uti inatibiwa kwa sindano? Uti inakuwa na maumivu sehemu zote za siri mpaka pumbu? Yawezekana huyo bwana mganga hajamwambia tatizo lake kwa uwazi.
punguza kuchamba na maji hasa yanayotoka kwenye visima na maboma ya tanzania, wanawake wa kiswahili kila muda wanakimbia na kopo chooni kuchamba, ukiwa jirani unasikia pokopoko pokopoko, wote full UTI ukienda chumvini unaweza kupata UTI ya kinywa
huyu ni mwanaume sio mwanamke,uwe unasoma mada vizuri kabla ya kuchangia
nae apunguze kuchamba, maambukizi yanapitia njia ya haja kubwa pia