Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

urinary tract tract infection inasababishwa na bacteria kama E COLI,klebsiela na proteas mara nyingi huwa athiri sana wanawake ambao wanatumia contraceptives.unaweza ukapata maambukizi through sexaul intercourse lakini kwa wanaume chini 50yrs ni mara chache sana wanapata especially wanapokuwa immunocompromised mfano mtu mwenye hiv na cd4 zake ziko chini ya 200.
 
from female to male inawezekana japokuwa sio kwa urahisi kama from male to female ila kwa wale wanaoenda kinyume na maumbile wako katika risk kubwa ya kupata UTI kutoka sehemu ya haja kubwa, wanawake ndio wako kwenye risk sana kutokana na maumbile yao na ukaribu wa uke na sehemu ya haja kubwa
 
Una very wrong concept ya UTI!!

UTI haiapumbukizi (siyo ugonjwa wa zinaa). Bacteria wanaosababisha UTI wanatoka ndani ya mwili wa mgonjwa mwenyewe (endogenous infection). Bacteria hawa ni kati ya wale wanaoitwa normal flora.

Kirefu cha UTI ni urinary tract infection, yaani uambukizo wa njia ya mkojo. Njia ya mkojo ni kutoka urethra hadi kidneys (figo), yaani pamoja na kibofu cha mkojo na ureters. However, the urethra (not ureter) is not involved in most cases in UTI. The urethra is involved in sexually transmitted infections.

Major Symptoms and signs: Kukojoa mara kwa mara kunakoambatana na maumivu makali sana sehemu ya mwisho ya urthra, n.k.

Wanawake wanaugua UTI mara kuliko wanaume. Hii inatokana na tofauti ya maumbile.

Inatibika kirahisi.

Sababu za mtu kuugua UTI (predisposing factors) ziko nyingi sana.

Kwa heri kwa leo!!
 
umesema UTI haaiambukizwi kwa sexual intercourse! zifuatazo ni predisposing factors za mtu kupata UTI wazee na watoto, kuwa mwanamke, sexual activity, pregnancy, use of contraceptives, kuwekewa vitu (cathertarization), matatizo ya figo na utumiaji waantibiotic.
tofauti kubwa ya UTI na STI ni severity ya ugonjwa na sio modes of transmission. na ili kupata UTI sio lazima wadudu watoke mwilini mwako mfano stapyhlococcus unaweza kupata toka kwa partner au sehemu nyingine
 
u ar right, atleast u hv explain 2 him in a simple language hope amepata mwangaza juu ya UTI.
Treatment yake varies frm place 2 place dependin on availability of antibiotic and if its acute or recurrent UTI. He cn use CIPROFLOXACIN 250-500 mg TDS 5/7 (that is three times a day for 5 days). Plus try 2 drink a lot of water.
Hope u wil recover vry soon.
 
ni ugonjwa wa maambukizi kwa njia ya mkojo.....dalili zake zinafanana na ugonjwa wa zinaa but sio wazinaa...
unasababishwa na vyoo vichafu,vinavyochangiwa na watu wengi...mbaya zaidi kwenda kujisaidia nut na alfajiri..
usiache mswaki chooni. usinywe Maji yasochemshwa,safisha choo na kimwagie Maji yamoto
UNAWEZA KUPATA "UTI" UKIJAMIIANA NA MWENYE NAO BILA SHAKA...
 
Du!U.T.I From female to male?Jamani tukishasoma vitabu tuwe tunapambanua!Ndio hawa mwanamke akiwa na UTI anamwambia mgonjwa aje na mumewe watibiwe wote?Matokeo yake mnateteresha ndoa namausihano yawatu!Tujue tunaowaelesha some of them nilaymans so why strong terminoly zakimedical?Thanks Mawenzi umenena kitu kwenye UTI.
 
umesema UTI haaiambukizwi kwa sexual intercourse! zifuatazo ni predisposing factors za mtu kupata UTI wazee na watoto, kuwa mwanamke, sexual activity, pregnancy, use of contraceptives, kuwekewa vitu (cathertarization), matatizo ya figo na utumiaji waantibiotic.
tofauti kubwa ya UTI na STI ni severity ya ugonjwa na sio modes of transmission. na ili kupata UTI sio lazima wadudu watoke mwilini mwako mfano stapyhlococcus unaweza kupata toka kwa partner au sehemu nyingine

Sasa ndugu yangu predisposing factor unaelewa kweli wanamaanisha nini?Ebu nipe vizuri hiyo ya pregnacy na contrceptives!
 
u ar right, atleast u hv explain 2 him in a simple language hope amepata mwangaza juu ya UTI.
Treatment yake varies frm place 2 place dependin on availability of antibiotic and if its acute or recurrent UTI. He cn use CIPROFLOXACIN 250-500 mg TDS 5/7 (that is three times a day for 5 days). .........

?????!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sasa ndugu yangu predisposing factor unaelewa kweli wanamaanisha nini?Ebu nipe vizuri hiyo ya pregnacy na contrceptives!
all eyes on me!! kuhusu pregnancy kunakuw na anatomical change, kuchange kwa homoni, urine stasis na sugary urine hivyo kufanya wadudu wakue kirahisi kuhusu contraceptives si unajua zingine zinakuwa inserted kwenye njia ya uke (intrumentation) kwa hiyo wanafanya wadudu wapate attachement nzuri hapo hasa staphy
 
u ar right, atleast u hv explain 2 him in a simple language hope amepata mwangaza juu ya UTI.
Treatment yake varies frm place 2 place dependin on availability of antibiotic and if its acute or recurrent UTI. He cn use CIPROFLOXACIN 250-500 mg TDS 5/7 (that is three times a day for 5 days). Plus try 2 drink a lot of water.
Hope u wil recover vry soon.
kaexplain nini? kirefu cha UTI? au alivyo danganya kwamba UTI ni exclusively endogenous infection!
 
ongerani sana kwa elimu hii naelewa ni wengi watapata hili somo na usafi ni muhimu sana kwa vyoo vyetu
 
Vijidudu vinavyo sabisha U.T.I vipo kwenye utumbo mnene wa binadamu na huambukizwa kwa njia ya haja kubwa. Kutokana na ukaribu wa njia ya haja kubwa na uke kwa wanawake na uasili wao wa umajimaji ni rahisi kwa vijidudu kuswim kutoka kwenye anus to vulva, pia kwa wale wanaotumia njia zote mbili anus and vagina for sex at sametime ni rahisi kubeba vijidudu toka kwenye anus na kuvipeleka kwenye vagina.
 
Wandugu,

Mpenzi wangu amekuwa na tatizo ambalo sasa limefikia mahala linaninyima raha kabisa....anasumbuliwa sana sana na tatizo la U.T.I na amejaribu kwenda hospitali na kupata dose....ya sindano kwa vile tatizo lilionekana kubwa na akafanikiwa kumaliza dose salama na kupona kwa wakati ule...

Sasa tatizo ni kwamba kila tunapofanya mapenzi baada ya muda kidogo lile taatizo linajirudia tena na aanapokwenda kwa daktari anakuta UTI ya kutosha sana tu!!

Mwanzoni nilidhani ni ugonjwa unaoambukizwa kwa njia ya kufanya mapenzi ndo nilipoamua kwenda nami kucheki na kukuta mkojo wangu upo okay....

Sasa hii ya juzi ndo imenishangaza mpaka sasa nipo pending......sijielewi kabisa...

Ni takribani miezi miwili hajaziona siku zake(MP),nikamshauri aende akaangalia kama ni mimba ili tupate uhakika na tukianalie mazingira ya kueleweka hicho kiumbe kijacho,

Alichokuta ni UTI tena na dokta kamwambia hakuna mimba ..... na kuna UTI nyingi sana na akapewa dose ya kutumia......

Hii kitu inatuumiza sana vichwa sote wawili na huwa maswali yaliyokosa majibu yanayojitokeza ni haya ndugu zangu....

1. Je, kuna uwezekano kweli mwanamke akapitiliza kwa miezi miwili bila MP na bila mimba vilevile?
2. Kuna uhusiano gani kati ya MP na UTI kwa wanawake?
3. Nini sasa suluhisho la kudumu la matatizo yake ya UTI? maana yanaelekea kuwa sugu sasa,na yanajitokeza mara tu baada ya kufanya mapenzi

Nahitaji sana ushauri wenu wakuu,ili tuweze nasi kuenjoy mapenzi yetu, sio siri hili tatizo linatu-disturb sana mind zetu

Thanks in Advance wakuu!!

Nakaribisha ushauri wa kujenga...

The Magnificient!
 
UTI. fanya culture upate dawa sahihi, kwani itaonyesha ni wadudu gani. nenda hospital za maana si vichochoroni. kupitiliza siku yawezekana kwa ni mabadiliko ya hormon. UTI IKIWA SUGU yaweza sababisha uvimbe katika kizazi na kuleta ugumba baadae. nenda hosp. kwa vipimo zaidi.
 
Back
Top Bottom