Babu sea
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 953
- 747
Kwanza kabisa nieleze U.T.I ni nini?kwa wale wasio faham U.T.I ni mchafuko wa mkojo.
pili nielezee historia ya tatizo langu kwa kifupi tatizo langu limenianza toka 2012 mwezi wa nne sababu kubwa iliyo nipelekea kupata huu ugonjwa nimatumizi ya vyoo vya umma hapa nazungumzia vile vyoo vya kukojolea hasahasa vyo hivyo vinapatikana stendi mahotelini ambavyo vimedizainiwa kwa ajili ya WANAUME TU.
Juhudi nilizo zifanya nipamoja na kwenda hospitali kama mara kadhaa hivi ambapo mara ya kwanza niliandikiwa cipro,mara ya pili nilipewa dox mara ya tatu nilipewa amoxlin,flagly na panado na la nyongeza nimesha tumia hadi mitishamba lakin hali bado sionzur na mwez wakumi mwaka huu nimeenda hospitali nimechomwa pawasef moja nikapewa flagly na dox lakini bado umekuwa ukipona kidogo na kujirudia rudia
hata hivyo kwenye familia yetu hakuna mwanye ugonjwa kama huu
mpaka sasa nipo njia panda wadau naombeni mnisaidie cha kufanya.