Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

Kwanza kabisa nieleze U.T.I ni nini?kwa wale wasio faham U.T.I ni mchafuko wa mkojo.

pili nielezee historia ya tatizo langu kwa kifupi tatizo langu limenianza toka 2012 mwezi wa nne sababu kubwa iliyo nipelekea kupata huu ugonjwa nimatumizi ya vyoo vya umma hapa nazungumzia vile vyoo vya kukojolea hasahasa vyo hivyo vinapatikana stendi mahotelini ambavyo vimedizainiwa kwa ajili ya WANAUME TU.

Juhudi nilizo zifanya nipamoja na kwenda hospitali kama mara kadhaa hivi ambapo mara ya kwanza niliandikiwa cipro,mara ya pili nilipewa dox mara ya tatu nilipewa amoxlin,flagly na panado na la nyongeza nimesha tumia hadi mitishamba lakin hali bado sionzur na mwez wakumi mwaka huu nimeenda hospitali nimechomwa pawasef moja nikapewa flagly na dox lakini bado umekuwa ukipona kidogo na kujirudia rudia

hata hivyo kwenye familia yetu hakuna mwanye ugonjwa kama huu

mpaka sasa nipo njia panda wadau naombeni mnisaidie cha kufanya.
 
Kama ni mwanaume UTI inapatikana kwa kujamiana na mwanamke ambaye anao hao bakteria nakushauri kama una mwanamke mchukue mkapime naye mpewe dozi ila kutembea naye usitishe kabisa mpaka mmalize hiyo dozi na mkimaliza hakikisha mazingira ya choo ni safi kabisa
nakushauri uende hospitali kubwa na ujue ili usaidiwe tatizo lako wakati mwingine wadudu hawa wanakuwa sugu inabidi utumie sindano
 
Wengi hutibiwa UTI baada ya kufanyiwa kipimo cha kawaida cha mkojo "urine analysis". Lakini kwa kipimo hicho daktari huwa hajui ni mdudu gani hasa anaye kusumbua. No bora ufanyiwe kipimo kiitwacho "urine culture & sensitivity" hapo mdudu atajulikana na pia dawa take itajulikana. Usishiriki ngono hadi upone name mwenza pia apime na kutibiwa. Baada ya tiba jitahidi kuepuka vyanzo ya maambukizi. Daktari wako atakusaidia zaidi.
 
Huu ugonjwa miaka hii imekuwa tatizo

UTI ilimsumbua sana mwanangu kwa takribani mwaka mzima! Kwa kifupi hana wadudu wa aina tofauti wa UTI na hivyo wanatibiwa na dawa tofautitofauti. Ndo maana wanakubadilishia dawa. USHAURI: Nenda kafanye culture ya mkojo ili ujue aina ya wadudu wanaokusumbua. Then watakupa dawa mahususi ya kuuwa hao waduni. Pia Kumbuka kuwa msafi wa nguo za ndani na kutawaza. Natumai itasaidia
 
tatizo linalotusumbua watanzania atuambiwe jinsi ya kujikinga na magonjwa,wao wanashauri tiba tu
 
Pole sana mkuu, bila shaka kupitia ushauri w wadau tatizo lako litapata ufumbuzi.
 
Kama ni mwanaume UTI inapatikana kwa kujamiana na mwanamke ambaye anao hao bakteria nakushauri kama una mwanamke mchukue mkapime naye mpewe dozi ila kutembea naye usitishe kabisa mpaka mmalize hiyo dozi na mkimaliza hakikisha mazingira ya choo ni safi kabisa
nakushauri uende hospitali kubwa na ujue ili usaidiwe tatizo lako wakati mwingine wadudu hawa wanakuwa sugu inabidi utumie sindano

nakushukuru kwa ushauri wako ila naomba kuuliza kama kuna madhara yoyote yanayo sababishwa na U.T.I
 
Kama ni mwanaume UTI inapatikana kwa kujamiana na mwanamke ambaye anao hao bakteria nakushauri kama una mwanamke mchukue mkapime naye mpewe dozi ila kutembea naye usitishe kabisa mpaka mmalize hiyo dozi na mkimaliza hakikisha mazingira ya choo ni safi kabisa
nakushauri uende hospitali kubwa na ujue ili usaidiwe tatizo lako wakati mwingine wadudu hawa wanakuwa sugu inabidi utumie sindano

kweli mkuu ninamwanamke so nitafanya hivyo.
 
Kwanza kabisa nieleze U.T.I ni nini?kwa wale wasio faham U.T.I ni mchafuko wa mkojo
pili nielezee historia ya tatizo langu kwa kifupi tatizo langu limenianza toka 2012 mwezi wa nne sababu kubwa iliyo nipelekea kupata huu ugonjwa nimatumizi ya vyoo vya umma hapa nazungumzia vile vyoo vya kukojolea hasahasa vyo hivyo vinapatikana stendi mahotelini ambavyo vimedizainiwa kwa ajili ya WANAUME TU.
Juhudi nilizo zifanya nipamoja na kwenda hospitali kama mara kadhaa hivi ambapo mara ya kwanza niliandikiwa cipro,mara ya pili nilipewa dox mara ya tatu nilipewa amoxlin,flagly na panado na la nyongeza nimesha tumia hadi mitishamba lakin hali bado sionzur na mwez wakumi mwaka huu nimeenda hospitali nimechomwa pawasef moja nikapewa flagly na dox lakini bado umekuwa ukipona kidogo na kujirudia rudia
hata hivyo kwenye familia yetu hakuna mwanye ugonjwa kama huu
mpaka sasa nipo njia panda wadau naombeni mnisaidie cha kufanya.

hahaha wagonjwa wa silu hiz bwana, mgonjwa anajua had defn ya ugonjwa wale, sasa daltar inamweleza afanye nini? kwani yeye hakui maana ya UTI? Haha kwa taarifa yalo umecheka that is not the defn of UTI
 
na kwa taarfa yako Vyoo vya umma rarely cause UTI <0.005% umeikwaa sehemu tu husemi, mgonjwa huyu mzuri sana maana anajua mpaka aetiology of his problem???
 
siamini kama hiyo UTI umeipatia kwenye vyoo vya umma kwa wewe mwanaume,kuna ulikojipigia ukang'oa hilo shitinka,kwa mwanaume UTI is not common hebu kafanye urine culture and sensitivity ujue umekua infected na nini na dawa gani ni effective kwa huyo organism
 
hahaha wagonjwa wa silu hiz bwana, mgonjwa anajua had defn ya ugonjwa wale, sasa daltar inamweleza afanye nini? kwani yeye hakui maana ya UTI? Haha kwa taarifa yalo umecheka that is not the defn of UTI

miss m4c kausha bas coz mi sio daktari thats y sijaielezea kwa undani.
 
naomba nisaidiwe dalili za UTI ambazo ni common,kama ishu ni vyoo nami natumia sana na sijawahi kuumwa ,hofu yangu isijekuwa ninao sijijui

Back
Top Bottom