mashuka collection
JF-Expert Member
- Apr 10, 2023
- 608
- 1,409
Huyo kijana ana roho mbaya kama huyo mama alimlea vizuri kama mwanaeMkuu ndo maana haikuuzwa baada kijana kupiga kulele wakaamua kumkatia cha kwake tuu kwa makubaliano ya familia yote na mama mwenyewe, nafikili umenipata.
Madam sheria za Tanzania mtoto akitambulishwa hata kwa kaka na dada wa mumeo na sio kwako basi. Na mtoto unajua baada ya mjme kufariki. Dada na kaka wa mume wako kama wapo atasema walitambulishwa, kwa hio wanapata urithi wa Baba yao.Hivi mtoto wa nje anawezaje kunipiga kwenye urithi ambao nimepambana na baba yake kuutafuta. Ninachojua kisheria mwenza mmoja akifariki basi urithi unagawanywa 50 kwa 50,, sasa katika ile 50 ya marehemu mke ana asilimia yake na watoto wana asilimia yao.
Na binafsi nimeshasema kama mwanaume ataleta mtoto wa nje mapema sana nitamwambia kama ni kujenga au kutafuta urithi wa mwanae mapema ingali yupo hai. Na hivi najua na sheria kimchongo. Baadhi ya watoto hawana shukrani kama mama alimlea leo hii anawezaje akauza nyumba zote halafu mke halali akakae wapi. Tena mtoto ambaye amepatikana ndani ya ndoa.Thubutu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio sheria inawaumiza wanawake wengi sana wa ndoa.Hivi mtoto wa nje anawezaje kunipiga kwenye urithi ambao nimepambana na baba yake kuutafuta. Ninachojua kisheria mwenza mmoja akifariki basi urithi unagawanywa 50 kwa 50,, sasa katika ile 50 ya marehemu mke ana asilimia yake na watoto wana asilimia yao.
Na binafsi nimeshasema kama mwanaume ataleta mtoto wa nje mapema sana nitamwambia kama ni kujenga au kutafuta urithi wa mwanae mapema ingali yupo hai. Na hivi najua na sheria kimchongo. Baadhi ya watoto hawana shukrani kama mama alimlea leo hii anawezaje akauza nyumba zote halafu mke halali akakae wapi. Tena mtoto ambaye amepatikana ndani ya ndoa.Thubutu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugomvi si umeshaisha huu? Au wrwe unataka nini hapo? Au ulitaka wavuke mstari, wapute halafu waanze kuzichapa?Habari wana Jamii forum.
Ngoja leo nilete hii kesi niliyoishuudia kwa macho yangu.
Kulikuwa na Baba mmoja na familia yake wa watoto 4, wapili ni wakiume ambae alimzaa nje na wengine 3 Wandoa wakike alizaa na mkewe.
Niliambiwa hivi, Baada ya mkewake kujifungua mtoto wa kwanza ikapita kama mwaka hivi Baba akazaa nje mtoto wa kiume ila aliyamaliza na mkewe.
Mtoto alipofika umri wa miaka 6 mzee alimchukua na kukaa nae home.
Mke wake alikubaliana na hali na kumlea tu bila shida yoyote. Na likizo akawa anaenda kwa mama yake.
Sasa baada ya kufika utu uzima watoto wote.
Yule Baba alifariki na kuacha nyumba mbili tu. 1 aliyokuwa anaishi na mke wake nyingine walipangisha.
Sasa mtoto wa kiume wa baba ambae alimzaa nje akawa anag'ang'ania awe msimamizi wa mirathi kwa kigozo cha yeye ndiyo wa kiume ndiyo anaendeleza familia ya mzee.
Na pia analazimisha nyumba zote mbili ziuzwe wagawane ila yeye akawa anahitaji kupata asilimia kubwa.
Kesi ilikuwa kubwa mpaka kupelekana mahakamani , ila walipofika mahakamani mabinti wale watatu wakasema wao hawaitaji nyumba kuuza kwa sababu mama yao atakaa wapi.
Lakini mahakama wakamwambia jamaa wote ni watoto wa baba mmoja kwa hio wote mtapata sawa hakuna huyu wa kiume wala huyu wa kike wote mnapata kwa usawa.
Lakini mwishoni walikubaliana wauze nyumba mmoja halafu kaka yao wampe pesa zake na zingine ili wafidie ile nyumba nyingine ambayo Mama yao anakaa.
Nyumba iliuzwa 1 jamaa akachukua pesa ndefu tu ili kufidia ile nyumba nyingine ambayo mama wa mabinti alikuwa anaishi na mume wake.
Sidhani kama wanaundugu mpaka leo wa karibu.
Nafikiri jamaa alitaka ziuzwe zote bila kujali mama yule atakaa wapi.
Hiyo ni kwa sababu yule hakuwa mama yake, hata nyumba ikiuzwa yeye ataumia chochote.
Karibuni jamani mutoe uzoefu wenu kama umewahi kutana na migogoro kama hii.
Karibu.
Utakuta hata mke anakaa anapanga life na mume wake kuhusu familia yao iendelee mbelee na utakuta mafanikio ya mume basi Mama anahusika kqa asilimia kubwa sana tena sana.Hivi mtoto wa nje anawezaje kunipiga kwenye urithi ambao nimepambana na baba yake kuutafuta. Ninachojua kisheria mwenza mmoja akifariki basi urithi unagawanywa 50 kwa 50,, sasa katika ile 50 ya marehemu mke ana asilimia yake na watoto wana asilimia yao.
Na binafsi nimeshasema kama mwanaume ataleta mtoto wa nje mapema sana nitamwambia kama ni kujenga au kutafuta urithi wa mwanae mapema ingali yupo hai. Na hivi najua na sheria kimchongo. Baadhi ya watoto hawana shukrani kama mama alimlea leo hii anawezaje akauza nyumba zote halafu mke halali akakae wapi. Tena mtoto ambaye amepatikana ndani ya ndoa.Thubutu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi niliona hapa mtaa wa pili mume wa mtu alizaa nje mtoto mmoja na mke wake alizaa mtoto mmoja.Hivi mtoto wa nje anawezaje kunipiga kwenye urithi ambao nimepambana na baba yake kuutafuta. Ninachojua kisheria mwenza mmoja akifariki basi urithi unagawanywa 50 kwa 50,, sasa katika ile 50 ya marehemu mke ana asilimia yake na watoto wana asilimia yao.
Na binafsi nimeshasema kama mwanaume ataleta mtoto wa nje mapema sana nitamwambia kama ni kujenga au kutafuta urithi wa mwanae mapema ingali yupo hai. Na hivi najua na sheria kimchongo. Baadhi ya watoto hawana shukrani kama mama alimlea leo hii anawezaje akauza nyumba zote halafu mke halali akakae wapi. Tena mtoto ambaye amepatikana ndani ya ndoa.Thubutu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli ndo maana nimesema kama mtoto atakuja au laaa ile hamsini ya baba yao tutagawana wote na mke na watoto wangu pamoja yeye. Lkn sio kwamba eti apate mgao mkubwa kuliko wengine hiyo asahauMadam sheria za Tanzania mtoto akitambulishwa hata kwa kaka na dada wa mumeo na sio kwako basi. Na mtoto unajua baada ya mjme kufariki. Dada na kaka wa mume wako kama wapo atasema walitambulishwa, kwa hio wanapata urithi wa Baba yao.
Sio wa mke wa Baba yao.
Hapo sasa halafu anayekuja kufaidi mtoto wa nje ambaye kuna wakati usikute baba alitelekeza familia mama akawa anapambana na watoto wake kujenga familia . Kwa kweli ni majonzi sanaUtakuta hata mke anakaa anapanga life na mume wake kuhusu familia yao iendelee mbelee na utakuta mafanikio ya mume basi Mama anahusika kqa asilimia kubwa sana tena sana.
Anampa mawazo mume wake. Tena utakuta mke nyumba zingine anakuwa mpaka mtunza azina wa pesa za mume wake. Na kila kitu kinachofanyika kwenye familia mama anahusika akaamini ni investment za baadae za watoto wao. Lkn mwishoni inakuwa sivyo hivyo. Ni maumivu makubwa sana wanawake wanapata.
Watunga sheria hawakufikilia hilo , hisia za mke wa ndoa na maisha ya ndoa ya watu wawili inavyokuwa its pain sana kwa wanawake waliofanyiwa hivyo.
Sema changamoto wengi ni kwa kutofahamu sheria au wanawatumia wanasheria wanaopindisha ukweli.Mimi niliona hapa mtaa wa pili mume wa mtu alizaa nje mtoto mmoja na mke wake alizaa mtoto mmoja.
Tena alizaa kwa kuchepuka.
Alikuwa ni kijana tuu hakuwa na nyumba wala kiwanja. Alifariki kwenye ajari.
Ila waligawana na hawala wa mume wake vitu vya ndani sawa sawa. Alichukua kwa kisingizio cha mtoto. Nilishangaa mpk vyombo vya ndani. [emoji15].
Na yule dada alikuwa anakazi yake fresh .
Hivi jamani vitu vya ndani mara nyingi wanaonunua nyumbani huku kati ya Baba na mama ni nani? Tuwe wakweli.
Sisemi Wababa hawanunui hpn.
Mwenyewe nilishangaa.Sema ndo hivyo hawara anakujaje kuchukua vyombo,,vya ndani