Uroho wa madaraka wa CCM utaleta janga kwa taifa kwani unaunda kikosi cha wapiganaji wa dharura (RAPID FORCE)

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
21,741
Reaction score
26,735
Jana Jumamosi nilikuwa Kigamboni ambako kulikuwa na tamasha la Kigambono Tamu tamasha ambalo lilirushwa hewani na Wasafi Tv tangu asubuhi mpaka jioni.

Nilichojionea kwenye tamasha hilo ni uwepo wa mamia ya vijana wasichana kwa wavulana kumlinda mama Samia, kuna kikundi cha Ukimvaa Samia nasi tutakuvaa! Kikundi cha uhamasishaji cha Samia na vingine vingi, vikundi vyote hivi viwepewa sare ambazo zinamajina ya kikundi na vikundi hivi hulipwa baada ya shughuri.

Kati ya mambo wanayoyafanya ni kusaidiana na jeshi la polisi kulinda mikutano ya viongozi wa serikali! Hili linahitaji ufafanuzi tujue kama jeshi la polisi halina uwezo wa kulinda.

Hawa vijana huletewa muziki ambapo hata kama shughuri ni ya dakika chache basi itachukua saa nyingi kumalizika kwani muda wote ni vijana kucheza, ni uhuni mtupu ukizingatia ujana wao.

Kwa hili linaloendea CCM inatengeneza jeshi la vichaa jeshi ambalo litakuja kuwa vigumu kulidhibiti kwani kuna wengine watajitoa na kuingia mitaani kufanya uhalifu.
GBXxo56W8AEEwKx.jpeg
 
Acha watu wakonge nyoyo zao kwani msosi wala kodi huwalipii!
 
Jana Jumamosi nilikuwa Kigsmboni ambako kulikuwa na tamasha la Kigambono Tamu tamasha ambalo lilirushwa hewani na Wasafi Tv tangu asubuhi mpaka jioni. Nilichojionea kwenye tamasha hilo ni uwepo wa mamia ya vijana wasichana kwa wavulana kumlinda mama Samia, kuna kikundi cha Ukimvaa Samia nasi tutakuvaa! Kikundi cha uhamasishaji cha Samia na vingine vingi, vikundi vyote hivi viwepewa sare ambazo zinamajina ya kikundi na vikundi hivi hulipwa baada ya shughuri.
Kati ya mambo wanayoyafanya ni kusaidiana na jeshi la polisi kulinda mikutano ya viongozi wa serikali! Hili linahitaji ufafanuzi tujue kama jeshi la polisi halina uwezo wa kulinda.
Hawa vijana huletewa muziki ambapo hata kama shughuri ni ya dakika chache basi itachukua saa nyingi kumalizika kwani muda wote ni vijana kucheza, ni uhuni mtupu ukizingatia ujana wao.
Kwa hili linaloendea CCM inatengeneza jeshi la vichaa jeshi ambalo litakuja kuwa vigumu kulidhibiti kwani kuna wengine watajitoa na kuingia mitaani kufanya uhalifu.
Israel inakodisha cheap labour kutoka afrika Kwa ajili ya mashamba yao machache katika ardhi yao yenye changamoto nyingi ili kulilisha taifa lao na kuuza nje na kukuza uchumi!

Nina uhakika Tanzania kuna ardhi tokea MUNGU aiumbe dunia hakuna binadamu ametia mguu!

Hii rasilimali vijana MUNGU anayotupa kama taifa mbona tunaihangaisha kwa mambo ya ajabu hivi jamani? Hivi MUNGU ameacha kusema nasisi kabisa hata kupitia ndoto tu!

I'm speechless 😓
 
Israel inakodisha cheap labour kutoka afrika Kwa ajili ya mashamba yao machache katika ardhi yao yenye changamoto nyingi ili kulilisha taifa lao na kuuza nje na kukuza uchumi!

Nina uhakika Tanzania kuna ardhi tokea MUNGU aiumbe dunia hakuna binadamu ametia mguu!
Hii rasilimali vijana MUNGU anayotupa kama taifa mbona tunaihangaisha kwa mambo ya ajabu hivi jamani!!? Hivi MUNGU ameacha kusema nasisi kabisa hata kupitia ndoto tu!
Im speechless [emoji29]
Wanawakatisha mauno tu

Hii nchi inaenda kuwa kama kongo soon,wakata mauno wengiii

Ova
 
Jana Jumamosi nilikuwa Kigsmboni ambako kulikuwa na tamasha la Kigambono Tamu tamasha ambalo lilirushwa hewani na Wasafi Tv tangu asubuhi mpaka jioni.

Nilichojionea kwenye tamasha hilo ni uwepo wa mamia ya vijana wasichana kwa wavulana kumlinda mama Samia, kuna kikundi cha Ukimvaa Samia nasi tutakuvaa! Kikundi cha uhamasishaji cha Samia na vingine vingi, vikundi vyote hivi viwepewa sare ambazo zinamajina ya kikundi na vikundi hivi hulipwa baada ya shughuri.

Kati ya mambo wanayoyafanya ni kusaidiana na jeshi la polisi kulinda mikutano ya viongozi wa serikali! Hili linahitaji ufafanuzi tujue kama jeshi la polisi halina uwezo wa kulinda.

Hawa vijana huletewa muziki ambapo hata kama shughuri ni ya dakika chache basi itachukua saa nyingi kumalizika kwani muda wote ni vijana kucheza, ni uhuni mtupu ukizingatia ujana wao.

Kwa hili linaloendea CCM inatengeneza jeshi la vichaa jeshi ambalo litakuja kuwa vigumu kulidhibiti kwani kuna wengine watajitoa na kuingia mitaani kufanya uhalifu.
Ni basi wapo ndugu marafiki wapo huko ccm , ila nimebaki nao kuwasiliana kwenye sim tu basi , unamkuta kijana yupo na nguvu au mtu mzima ila yupo kujipendekeza na kulamba viatu apate chochote , kama sio elfu 20 basi , t shirt ,kofia au kanga, wengine ndo hao kimbizana na teuzi,

Ccm imefanya taifa hili kuwa la ajabu sana, sasa angalu tegemeo la vijana wenye kufikili nje ya box ni kutoka kwenye vyama vya upinzani
 
dead and gone
Jana Jumamosi nilikuwa Kigsmboni ambako kulikuwa na tamasha la Kigambono Tamu tamasha ambalo lilirushwa hewani na Wasafi Tv tangu asubuhi mpaka jioni.

Nilichojionea kwenye tamasha hilo ni uwepo wa mamia ya vijana wasichana kwa wavulana kumlinda mama Samia, kuna kikundi cha Ukimvaa Samia nasi tutakuvaa! Kikundi cha uhamasishaji cha Samia na vingine vingi, vikundi vyote hivi viwepewa sare ambazo zinamajina ya kikundi na vikundi hivi hulipwa baada ya shughuri.

Kati ya mambo wanayoyafanya ni kusaidiana na jeshi la polisi kulinda mikutano ya viongozi wa serikali! Hili linahitaji ufafanuzi tujue kama jeshi la polisi halina uwezo wa kulinda.

Hawa vijana huletewa muziki ambapo hata kama shughuri ni ya dakika chache basi itachukua saa nyingi kumalizika kwani muda wote ni vijana kucheza, ni uhuni mtupu ukizingatia ujana wao.

Kwa hili linaloendea CCM inatengeneza jeshi la vichaa jeshi ambalo litakuja kuwa vigumu kulidhibiti kwani kuna wengine watajitoa na kuingia mitaani kufanya uhalifu.
Hawa hawa ndiyo watakaoitoa CCM madarakani. Kwa kifupi ni kwamba CCM inajiandalia anguko lake.
 
Israel inakodisha cheap labour kutoka afrika Kwa ajili ya mashamba yao machache katika ardhi yao yenye changamoto nyingi ili kulilisha taifa lao na kuuza nje na kukuza uchumi!
I'm speechless [emoji29]

Daaaaaaaah! Leo ndiyo nimefumbuliwa macho na kujua kilichowapeleka huko, wale "WENDAZAKE" wawili, na kupatwa yale MASWAHIBU!
 
Simulizi hii haitoshi ila kwa wale waliofuatilia Wasafi Tv na waliokuwepo pale uwanjani Kigamboni wangeshuhudia vituko ikiwemo vya kitoto vya kupakana tope huku mhe. Mwigulu akishuhudia na kukata viuno vikiwemo vya kigodoro na vile vya madirishani kwenye daladala, ni auibu tu na inaonesha CCM imeingia kwenye vituko vya mitaani ikiamini ndivyo vitailetea ushindi wakati dola wanayo na ushindi ni wakujigawia bila mtu kuhoji.
 
Back
Top Bottom