Urudishie mwili shukrani, Duniani tunapita

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
2,912
Reaction score
12,904
Ndivyo navyoweza kusema,
Hii ni kwa wale wanaokaza sana,yaani mnaishi kitumwa mno.hii ni Kwa watu wa mikoani

Ni rahisi kukuta mtu anakula vitu vya ajabu au sehemu isiyoridhisha kwa madai ya kubana bajeti.

Kuna mtu anaweza kumaliza hata mwezi hajawahi kula nyama na familia yake kisa anabana bajeti,kwake nyama ni anasa,Maharage,mboga za majani za kutembeza ndiyo rafiki kwake.

Nyie mnalalamika kupanda Kwa bei ya kilo ya nyama yeye hata haongei ni vitu havimuhusu, mtu huyu hata friji hana ,la nini? ili ahifadhie nini?

Yeye vitu vyake vyote ni nusu na robo ananunua kwa mangi unga na mboga ya Kula siku hiyo hiyo imeisha hiyo hana time ya kuweka bajeti ya mwezi anaona kama pesa inaisha.

Mtu huyu siyo choka mbaya unakuta ana nyumba kadhaa katikati ya mji kapangisha,ana vijimiradi kibao anaendesha. Makusanyo yake yanafika milioni tano mpaka sita Kwa mwezi kwenye biashara zake kama faida.

Bado hajachukua Kodi kwenye majengo yake,chaajabu kwenye maisha yake hana hata smartphone ,simu ambazo zinarahisisha kupost vitu au biashara zetu hususani mtandao wa WhatsApp.

Havai vizuri,nguo zake pamoja na viatu anavyovaa havivuki 30000/-

Mtu huyu hana usafiri wa uhakika,anapanda daladala,akizidi sana ni pikipiki usafiri hatari sana huu .

Mtu huyu haamini katika elimu watoto wake wamesoma Sana wameishia form four tena shule za kayumba.

akaunti za benki kila moja inaanzia milioni 700 kwenda juu.

Maswali yangu hizi hela anamtafutia nani?

Hali vizuri,
Havai vizuri,
Hana usafiri,

Nyumba nzuri zote kapangisha halafu anaishi kwenye kagofu tu.

Pesa mnamtafutia nani?

Badilikeni wakuu,haswa watu wa mikoani
 
Wengine pesa ya masharti, akifa anaenda nazo

Wengine ubahili asilia

Umebugi tu kusema nguo hazifiki 30,000... hujawahi vaa mtumba?? Ukidamka asubuhi karume kuna mashati ya elf 3 ya kiofisi kabisa, simple za elf 5 hadi 7.. na watu tunawaka mbayaa.
 
Ndivyo navyoweza kusema,
Hii ni kwa wale wanaokaza sana,yaani mnaishi kitumwa mno.hii ni Kwa watu wa mikoani

Ni rahisi kukuta mtu anakula vitu vya ajabu au sehemu isiyoridhisha kwa madai ya kubana bajeti.

Kuna mtu anaweza kumaliza hata mwezi hajawahi kula nyama na familia yake kisa anabana bajeti,kwake nyama ni anasa,Maharage,mboga za majani za kutembeza ndiyo rafiki kwake.

Nyie mnalalamika kupanda Kwa bei ya kilo ya nyama yeye hata haongei ni vitu havimuhusu, mtu huyu hata friji hana ,la nini? ili ahifadhie nini?

Yeye vitu vyake vyote ni nusu na robo ananunua kwa mangi unga na mboga ya Kula siku hiyo hiyo imeisha hiyo hana time ya kuweka bajeti ya mwezi anaona kama pesa inaisha.

Mtu huyu siyo choka mbaya unakuta ana nyumba kadhaa katikati ya mji kapangisha,ana vijimiradi kibao anaendesha. Makusanyo yake yanafika milioni tano mpaka sita Kwa mwezi kwenye biashara zake kama faida.

Bado hajachukua Kodi kwenye majengo yake,chaajabu kwenye maisha yake hana hata smartphone ,simu ambazo zinarahisisha kupost vitu au biashara zetu hususani mtandao wa WhatsApp.

Havai vizuri,nguo zake pamoja na viatu anavyovaa havivuki 30000/-

Mtu huyu hana usafiri wa uhakika,anapanda daladala,akizidi sana ni pikipiki usafiri hatari sana huu .

Mtu huyu haamini katika elimu watoto wake wamesoma Sana wameishia form four tena shule za kayumba.

akaunti za benki kila moja inaanzia milioni 700 kwenda juu.

Maswali yangu hizi hela anamtafutia nani?

Hali vizuri,
Havai vizuri,
Hana usafiri,

Nyumba nzuri zote kapangisha halafu anaishi kwenye kagofu tu.

Pesa mnamtafutia nani?

Badilikeni wakuu,haswa watu wa mikoani
Kunawatu wanachekesha Sasa mbona waliopo JF asilimia 100% ni watu wenye smartphone na wanaojitambua tengeneza bango Kisha peleka huko mikoani unaposema humu hayo hayatuusu
 
Watu wa hivyo wako wengi Sana nchini wanapumbazana kwa vigezo vya kutunza pesa sijui na visingizio vya anasa ni mbaya lkn wamejawa na roho mbaya, na wengi wao ni washika dini wa kiwango kikubwa, pia hawa hawanaga hoja za maana kutetea upuuzi wao wa kutojipenda na kujijali zaidi ya ushamba na ulimbukeni.

Watu wa hivi wameshapumbazwa na wengi wao wamejawa na mafundisho ya kidini yanayowaambia duniani mapito yaani maisha ya dunia hayana maana wao wanaishi kama wakimbizi, sasa sijui kama dunia mapito kwanini uishi kwa taabu huku ukiwa na uwezo wa kupata unachohitaji.

Watu wa aina hii huwa si smart kifikra mpaka kimatendo utawaona hata humu replies zao zimejawa uchoyo, kujinyima, matusi, fikra mbovu, ubinafsi na chuki kwa wengine.

Anyway ukipata chance ya kuishi vizuri fanya kila jambo linalohitajika kufanywa maana maisha ndio haya haya hakuna mnadala wala nafasi ya kurudia maisha, ukiishi vibaya kamwe usitarajie kuzirudia furaha ulizokosa, kuishi vibaya sio sababu ya kuyapata maisha mazuri, hii iwafikie mabahili na wajinga wafananao
 
Ndivyo navyoweza kusema,
Hii ni kwa wale wanaokaza sana,yaani mnaishi kitumwa mno.hii ni Kwa watu wa mikoani

Ni rahisi kukuta mtu anakula vitu vya ajabu au sehemu isiyoridhisha kwa madai ya kubana bajeti.

Kuna mtu anaweza kumaliza hata mwezi hajawahi kula nyama na familia yake kisa anabana bajeti,kwake nyama ni anasa,Maharage,mboga za majani za kutembeza ndiyo rafiki kwake.

Nyie mnalalamika kupanda Kwa bei ya kilo ya nyama yeye hata haongei ni vitu havimuhusu, mtu huyu hata friji hana ,la nini? ili ahifadhie nini?

Yeye vitu vyake vyote ni nusu na robo ananunua kwa mangi unga na mboga ya Kula siku hiyo hiyo imeisha hiyo hana time ya kuweka bajeti ya mwezi anaona kama pesa inaisha.

Mtu huyu siyo choka mbaya unakuta ana nyumba kadhaa katikati ya mji kapangisha,ana vijimiradi kibao anaendesha. Makusanyo yake yanafika milioni tano mpaka sita Kwa mwezi kwenye biashara zake kama faida.

Bado hajachukua Kodi kwenye majengo yake,chaajabu kwenye maisha yake hana hata smartphone ,simu ambazo zinarahisisha kupost vitu au biashara zetu hususani mtandao wa WhatsApp.

Havai vizuri,nguo zake pamoja na viatu anavyovaa havivuki 30000/-

Mtu huyu hana usafiri wa uhakika,anapanda daladala,akizidi sana ni pikipiki usafiri hatari sana huu .

Mtu huyu haamini katika elimu watoto wake wamesoma Sana wameishia form four tena shule za kayumba.

akaunti za benki kila moja inaanzia milioni 700 kwenda juu.

Maswali yangu hizi hela anamtafutia nani?

Hali vizuri,
Havai vizuri,
Hana usafiri,

Nyumba nzuri zote kapangisha halafu anaishi kwenye kagofu tu.

Pesa mnamtafutia nani?

Badilikeni wakuu,haswa watu wa mikoani
Kwani raha inaletwa na nini
 
Duniani kuna watu wanakuja ndio huyu kwa sasa.
IMG_0612.jpeg
 
Watu wanakula maji ya baridi na mihogo ya kukaanga.na kavhbari /pilipili ya JUZI hapa hapa Dar
 
Nimecheka sana ila huu uzi ni umbea, maisha ya mtu yanakuhusu nini, wapi kavunja Sheria ya nchi?
 
Kweli kabisa mkuu,
watu WA mikoani ubahili wamezidi,

Nna baba angu mdg, ana pesa balaa,
Na amekua na pesa tangu miaka ya 90,
Ila mpk leo hata gari ya kutembelea Hana,

Anatembelea pikipiki BAJA,
Na Baja yenyewe Ni old model,
Yuko Nayo tangu 2005 Niko form 6 naiona mpya mpk leo hii hanunui mpya.

Yeye pesa zake Ni kununulia matrekta, malori, mashamba na misitu ya mbao.

Ukikaa nae, Story zake ni kuhusu matoleo mapya ya matrekta, aina zote za miti ya mbao na ndo picha kajaza Sana kwenye simu yake

Ukimskiliza anatambiana na wenzie khs ukwasi, Ni nani kanunua scania Kali, trekta kubwa zaidi n.k.

Nyumba yenyewe anapoishi, Ni mgongo WA tembo vyumba 4 na anaishi pale na wake zake wote wawili, Ila mwaka Jana kaagiza trekta la mil 380 na mashine ya kuvunia Magogo ya sh. mil 600+

Ukimcheki mwenyewe Hana hata wazo la kununua gari Wala kubadili au kuboresha nyumba anayoishi.

Alichojitahidi TU Ni wanae anawasomesha shule nzuri (Braeburn)

Huwa nawaza Sana, Pesa zake anazifanyia Nini, yaani Huwa SIMUELEWI.

Kuna MDA huwa nawaza labda ndo Yale ya pesa za MASHARTI naskia, Ila ni napotezea TU.

Ni LIFE STYLE YAKE ALIYOIAMUA
 
Back
Top Bottom