Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Iran anapata tabu sasa kutokana na nchi za kiarabu kuiruhusu marekani na nchi za ulaya kuweka majeshi Yao katika ardhi ya nchi zao
Nimetafakari kama urusi angeruhusu Ukraine kuwakaribisha Hawa jamaa hivi sasa tungekuwa tunaongea mengine.
Heko Russia kwa kulitambua hilo na kutoa ONYO Kali kwa NATO na marekani kwamba hautakubali watie pia zao karibu na Ukraine.