Finland amejiunga NATO imepakana na Russia.
Marekani hawezi shambulia Russia moja kwa moja na Russia hawezi shambulia Marekani au Israel moja kwa moja.
Sababu kuna wayahudi wengi Russia na Marekani.
Huko kote Wana uraia wa hizo nchi. Hawa wanaweza kupeleka Intel upande wa pili. Na kokote kutako shambuliwa wayahudi wataumizwa.
Pia Russia pia ana nguvu kubwa sana za kijeshi.
Marekani pia Hana ubavu wa kushambulia China sababu nao Wana ngvu kubwa za kijeshi na intelijensia, Kuna wachina wengi raia wa Marekani.