Urusi hali mbaya sasa kununua vyakula supermarket unapangiwa kiasi baada ya mfumuko wa bei na kupelekea kudorora kwa sarafu ya rubble

Marekani pekee inashikilia ndege za kifahari za matajiri wakubwa wa Urusi, magenerali na Putin 100 ,akaunti zao zmefungwa, meli zao za kifahari kwa maelfu zimekamatwa

Muda wowote Putin wanampindua au kumchinja
 
mkubwa hali sio mbaya kiasi hicho ila hizo hatua za kulimit kiasi cha kununua zimewekwa ili kuepuka ile kitu kitaalam wanaita panic buying
 
Marekani pekee inashikilia ndege za kifahari za matajiri wakubwa wa Urusi, magenerali na Putin 100 ,akaunti zao zmefungwa, meli zao za kifahari kwa maelfu zimekamatwa

Muda wowote Putin wanampindua au kumchinja
Mkuu unajua huo utajiri wa hao mabillionea wa kirusi umetokana na wao kuwa watiifu kwa serikali ya putin
 
Mkuu unajua huo utajiri wa hao mabillionea wa kirusi umetokana na wao kuwa watiifu kwa serikali ya putin
Ni sawa sasa wana maisha magumu pesa zao zimekamatwa na mali kumtosa ili kufurahisha nchi za Magharibi waachie Mali zao ni kitu kidogo .Nchi za Magharibi zikiwambia mtoseni tuachie mali zenu muendelee kula bata mbona Putin Kesho tu anauawa au kupinduliwa
 
Hizi habari mnazitoa wapi kuwa kafukuza watu wake wa karibu kama 1000?
 
Rusia huku hakuna shida ya sukari , nyie tulieni tufanye nchi magofu ile, kila siku mlikuwa mnapokea wakimbizi wa kiafrica na kiarabu, sasa ni zamu ya wazungu kuwa wakimbizi
 
na wewe hii taarifa umeipata chombo gani kama sio propaganda?
 
Nonsense
 
Wakati urusi inategemewa na nchi nyingi kwenye usambazaji wa chakula mfano ngano.hizi habari huwa mnapata wapi?
 
Ukweli ni kwamba uzalishaji wa vyakula Russia ni mkubwa Sana acheni kuleta habari za uongo.Afrika Tu hapa tunategemea ngano kutoka Russia.
 
Uongo mkulima mkubwa wa ngano duniani ni Ukraine hata Tanzania tunaagiza ukraine Urusi haitoshelezi soko lake la ndani pamoja na kuwa mzalishaji mkubwa
Akili zako sijui huwa unaacha wapi mkulima mkubwa wa ngano ni russia.hivi ukitaka kusaport west kama wewe lazima usiwe na akili?
 
Huna akili hakuna WA kumtoa putin.hivi unakili kweli?Russia ni Kati ya mzalishaji mkubwa wa Ngano duniani huyo Ukraine ni mdogo Sana kwa Russia.
 
Wakati urusi inategemewa na nchi nyingi kwenye usambazaji wa chakula mfano ngano.hizi habari huwa mnapata wapi?
Russia inazalisha 11 percent ya ngano yote duniani wakati matumizi yake ya ngano ni 41 percent ya ngano yote duniani

Usiangalie production tu angalia na consumption umesikia wewe pro Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…