Urusi hali mbaya sasa kununua vyakula supermarket unapangiwa kiasi baada ya mfumuko wa bei na kupelekea kudorora kwa sarafu ya rubble

Urusi hali mbaya sasa kununua vyakula supermarket unapangiwa kiasi baada ya mfumuko wa bei na kupelekea kudorora kwa sarafu ya rubble

Kumfananisha Putin na Joyce Banda ni kuidhalilisha akili yako na kufanya kichwa chako kama begi la kubebea meno
Hata kama una mahaba na Putin wewe ndio utumie hata kidogo akili zako. Hapo hajamfananisha Banda na putin. Yeye katoa mfano wa Banda kubanwa na Tanzania. Elewa hapo hajamfananisha na Putin. Banda ana kubwa lake na put in ana kubwa lake
 
Hiyo vita Haina support ya warusi wananchi wala wa Ukraine .Wanajeshi tu ndio wanapigan a bila support ya raia wa kawaida
Na bila kutumia udicteta kuwaweka ndani wanaopinga vita,mpaka sasa nchi yote ingekuwa imechafuka kwa maandamano ya kumtoa madarakani huyo dicteta uchwara
 
Wakuu Hali mbaya kwa Putin,
Baada ya matsifa kadhaa kuiwekea vikwazo vya kibiashara Russia Mambo yamekuwa magumu.
"We're getting more reports about rationing of some staple foods in Russia. There has been particular demand for sugar".
In the far eastern Maritime Region, supermarkets have imposed limits of 2kg per customer for sugar, flour, rice, buckwheat, salt and macaroni; 2L of vegetable oil and three jars of baby food. The rationing was reported by Russia’s business daily Kommersant.
In Khabarovsk, a city in that region, there has been panic-buying of sugar, and it has disappeared from many supermarket shelves, a local news agency reports.
However, deputy industry and trade minister Viktor Yevtukhov insists “there is no problem with sugar”, as Russia produces enough for itself and has banned sugar exports.
The St Petersburg supermarket chain Vkuster told Kommersant that it was also limiting sugar sales to 2kg per customer. “When one customer fills a whole basket with bags of sugar, others look at him and think about stockpiling too,” said Vkuster director Sergei Plis.
Last week the national statistics service Rosstat said sugar prices had jumped nearly 13%.
Sanctions imposed over Russia’s invasion of Ukraine have severely weakened the rouble and fuelled inflation, pushing up food prices.
Utaambiwa na propaganda za magharibi.

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Vikwazo ogopa

Joyce Banda Raisi wa Malawi enzi hizo akaleta za kuleta kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi kuwa ziwa lote lake

Tanzania tulichofanya ni kumuweka vikwazo vya Malori ya mafuta toka Tanzania kwenda Malawi ambayo asilimia kubwa walikuwa ya watanzania

Wamalawi wakawa wanapanga foleni wiki nzima kituo cha mafuta kupata lita tano tu za mafuta ya petrol au diesel

Hali ikawa ngumu akauza hadi ndege ya Raisi
Uchaguzi ulivyofika akagombea wamalawi walimpiga chini hawakutaka hata kumsikia kwa hali ngumu aliyowasababishia

Putin ajiandae kukiona cha mtema kuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umetoa mfano mzuri... Sasa huo mfano Mfanye Malawi ndo Western Bloc ambae anategemea Wese kupitia TZ kisha Tanzania Ifanye kam Russia ambae anategema kupeleka bidhaa zake kuuza Malawi... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kisha urudi na jibu lako safi lililonyooka wanaoisoma number zaidi kwenye vikwazo ni wakina nani....

Sanctions hizo za kuzuia Raia wako wasiuze beer kisha ususie nishati ambayo ndio Uti wa mgongo wa Uchumi unamwathiri anayetoa nishati au wewe unayeipokea nishati [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]???

Kushika upande sio dhambi ila upuuzi ni pale unaposhindwa kufikiria kwa utashi wako nje waonekana ka zuzu flan hivi...

Putin anaeza kua sawa au hayuko sawa anajua yeye mwenyewe zaidi so kuhukum yupo katika makosa kwa mashitaka ya "kusikia" tena ajab zaidi kutoka kwa adui zake ni Uzuzu vile vile...

Ila kwa vikwazo western wanavoviweka ka Russia vingi ni "Jokes"... Kuna vikwazo vingine kweli ukikisikia unasema eeeh kweli hii nondo.

Mwisho kwa vificho na uongo unaofanywa na Media kubwa juu ya huu mzozo kwa mwenye akil timan lazima impe 'alert nini kinaendelea nyuma ya pazia...

Don't forget buddy kua the world is full of Illusions, Most of what we see, what we hear, what we know so far sio ukweli bali just a "perspective"
 
Wakuu Hali mbaya kwa Putin,
Baada ya matsifa kadhaa kuiwekea vikwazo vya kibiashara Russia Mambo yamekuwa magumu.
"We're getting more reports about rationing of some staple foods in Russia. There has been particular demand for sugar".
In the far eastern Maritime Region, supermarkets have imposed limits of 2kg per customer for sugar, flour, rice, buckwheat, salt and macaroni; 2L of vegetable oil and three jars of baby food. The rationing was reported by Russia’s business daily Kommersant.
In Khabarovsk, a city in that region, there has been panic-buying of sugar, and it has disappeared from many supermarket shelves, a local news agency reports.
However, deputy industry and trade minister Viktor Yevtukhov insists “there is no problem with sugar”, as Russia produces enough for itself and has banned sugar exports.
The St Petersburg supermarket chain Vkuster told Kommersant that it was also limiting sugar sales to 2kg per customer. “When one customer fills a whole basket with bags of sugar, others look at him and think about stockpiling too,” said Vkuster director Sergei Plis.
Last week the national statistics service Rosstat said sugar prices had jumped nearly 13%.
Sanctions imposed over Russia’s invasion of Ukraine have severely weakened the rouble and fuelled inflation, pushing up food prices.

Acha propaganda vitu vilivyopanda bei ni vitu vinavyotoka nje ya Urusi,lakini vitu vyote ambavyo vinatengezwa nakuzalishwa ndani ya Urusi bei iko vilevile.
 
Uongo mkulima mkubwa wa ngano duniani ni Ukraine hata Tanzania tunaagiza ukraine Urusi haitoshelezi soko lake la ndani pamoja na kuwa mzalishaji mkubwa
Huyo ukraine hata kwenye 5 bora za mzalishaji mkubwa wa ngano duniani hayupo.sasa unapata wapi ujasiri wa kusema kuwa Ukraine ndo mzalishaji mkubwa wa ngano duniani
 
Russia inazalisha 11 percent ya ngano yote duniani wakati matumizi yake ya ngano ni 41 percent ya ngano yote duniani

Usiangalie production tu angalia na consumption umesikia wewe pro Russia
Du! hii ni kali ya mwaka.yani Warusi watumie ngano asilimia 40?.yani watu bilioni 7 watumie ngano asilimia 60 alafu watu milioni 140 watumie asilimia 40.iyo ngano itakuwa mpaka wanajengea hadi nyumba
 
ikiwa nyomi ni hoja hawezi fikia kwa Kipenzi chake.
Hao waliojazana hapo ni kama wanaobebwa kwenye maroli kwenye kampeni za tz.

AP_350915085-1.jpg
 
Russia inazalisha 11 percent ya ngano yote duniani wakati matumizi yake ya ngano ni 41 percent ya ngano yote duniani

Usiangalie production tu angalia na consumption umesikia wewe pro Russia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa pimbi sana... Narudia tena we ni PIMBI sana... Na kwa uandishi huo na Data hizo wajiona una akili sawa sawa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...

Kwa mujib wako Russia anazalisha 11% ya Ngano yote dunian... Maana ake ni ngano inayotumiwa na zaidi ya watu Billion 7.8 inazalishwa na Russia... Maana ake ni kua Russia anazalisha ngano ya watumiaji zaidi ya Mil. 858 dunian...

Russia wapo just Mil 128 hv means wanazalisha ngano in excess zaidi ya mahitaji yao... Kwa mujib wa data zako ni kua Russia anatumia as little as 15% ya ngano anayozalisha huku zaidi ya 85% akiisafirisha nje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hayo maelezo yote juu ni kwa mujib wa data zako mwenyewe... Hey we Jamaa narudia tena we ni PIMBI [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Jaman muwe na akili Warusi wanazalisha Sana chakulaView attachment 2159690
una jaza Saver bure na matakwimu yako ambayo unapost bila kushirikisha kichwa.
Marekani ndiyo nchi inayoongoza kuzalisha mafuta duniani, Je, nini kinaendelea hadi sasa kuhusu mafuta marekani?.
hawana shida ya mafuta kisa ni wazalishaji namba moja?.
kwanini wamuombe Maduro awauzie mafuta ilhali wao ndiyo wazalishaji wakubwa?.

kuna memba hapo juu kakufafanulia kuhusu uzalishaji na matumizi wewe bado umeng'ang'ana na skilinshot zako uku ukihisi una hoja.
ukitoka kwenye huu uzi utaenda kwenye uzi mwingine na kusema Westerners ni waongo kumbe shida ni wewe si Westerners..

Pro Russia wengi ni vitu vijinga vijanga tu.
 
Russia inazalisha 11 percent ya ngano yote duniani wakati matumizi yake ya ngano ni 41 percent ya ngano yote duniani

Usiangalie production tu angalia na consumption umesikia wewe pro Russia
😂😂😂😂
Dah, kuna vituko humu jukwaani siku hizi!!!
 
Sasa hata mwezi mmoja bado inakuaje baada ya mwaka mmoja
Alijua ataikaanga Ukraine within a week ili awe kwenye position nzuri ya kunegotiate

The longer Ukraine wanakomaa, the harder it becomes for Putin. Hii vita itamletea shida sana. Hata mshirika wake mkuu China ni kama hasupport hii madness inayoendelea
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
we jamaa pimbi sana... Narudia tena we ni PIMBI sana... Na kwa uandishi huo na Data hizo wajiona una akili sawa sawa kabisa
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
...

Kwa mujib wako Russia anazalisha 11% ya Ngano yote dunian... Maana ake ni ngano inayotumiwa na zaidi ya watu Billion 7.8 inazalishwa na Russia... Maana ake ni kua Russia anazalisha ngano ya watumiaji zaidi ya Mil. 858 dunian...

Russia wapo just Mil 128 hv means wanazalisha ngano in excess zaidi ya mahitaji yao... Kwa mujib wa data zako ni kua Russia anatumia as little as 15% ya ngano anayozalisha huku zaidi ya 85% akiisafirisha nje
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Hayo maelezo yote juu ni kwa mujib wa data zako mwenyewe... Hey we Jamaa narudia tena we ni PIMBI
emoji119.png
emoji119.png
emoji119.png
emoji119.png
emoji119.png
Huyo ni comedian, me nafikiri anafanya kusudi, hawezi kuwa PIMBI kiasi hicho.
 
Na bado

Warusi lazima wampindue Putin au kumuua anytime sababu ya hali ngumu ya vikwazo
Putin mjinga sana. Anafikiri vita vya kisasa ni kurusha makombora tu. Eti anasubiri US na Europe wamshambulie kwa mabomu alipize. Hajui kuwa waliishaanza kumpiga vita bila kujijua. Rais wetu mpendwa Hayati Magufuli aliwahi kusema hakauna vita mbaya kama ya Vita ya Kiuchumi. Putin anapigwa Vita ya Kiuchumi na akija kushtuka atakuwa ashapinduliwa na kama sio kuuwawa kabisa!
 
Back
Top Bottom