Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Wanavyomshobokea sasa utasema wanalipwaUkweli ni kwamba uzalishaji wa vyakula Russia ni mkubwa Sana acheni kuleta habari za uongo.Afrika Tu hapa tunategemea ngano kutoka Russia.View attachment 2159653
Hata kama una mahaba na Putin wewe ndio utumie hata kidogo akili zako. Hapo hajamfananisha Banda na putin. Yeye katoa mfano wa Banda kubanwa na Tanzania. Elewa hapo hajamfananisha na Putin. Banda ana kubwa lake na put in ana kubwa lakeKumfananisha Putin na Joyce Banda ni kuidhalilisha akili yako na kufanya kichwa chako kama begi la kubebea meno
Na bila kutumia udicteta kuwaweka ndani wanaopinga vita,mpaka sasa nchi yote ingekuwa imechafuka kwa maandamano ya kumtoa madarakani huyo dicteta uchwaraHiyo vita Haina support ya warusi wananchi wala wa Ukraine .Wanajeshi tu ndio wanapigan a bila support ya raia wa kawaida
Utaambiwa na propaganda za magharibi.Wakuu Hali mbaya kwa Putin,
Baada ya matsifa kadhaa kuiwekea vikwazo vya kibiashara Russia Mambo yamekuwa magumu.
"We're getting more reports about rationing of some staple foods in Russia. There has been particular demand for sugar".
In the far eastern Maritime Region, supermarkets have imposed limits of 2kg per customer for sugar, flour, rice, buckwheat, salt and macaroni; 2L of vegetable oil and three jars of baby food. The rationing was reported by Russiaβs business daily Kommersant.
In Khabarovsk, a city in that region, there has been panic-buying of sugar, and it has disappeared from many supermarket shelves, a local news agency reports.
However, deputy industry and trade minister Viktor Yevtukhov insists βthere is no problem with sugarβ, as Russia produces enough for itself and has banned sugar exports.
The St Petersburg supermarket chain Vkuster told Kommersant that it was also limiting sugar sales to 2kg per customer. βWhen one customer fills a whole basket with bags of sugar, others look at him and think about stockpiling too,β said Vkuster director Sergei Plis.
Last week the national statistics service Rosstat said sugar prices had jumped nearly 13%.
Sanctions imposed over Russiaβs invasion of Ukraine have severely weakened the rouble and fuelled inflation, pushing up food prices.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umetoa mfano mzuri... Sasa huo mfano Mfanye Malawi ndo Western Bloc ambae anategemea Wese kupitia TZ kisha Tanzania Ifanye kam Russia ambae anategema kupeleka bidhaa zake kuuza Malawi... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vikwazo ogopa
Joyce Banda Raisi wa Malawi enzi hizo akaleta za kuleta kuhusu mpaka wa Tanzania na Malawi kuwa ziwa lote lake
Tanzania tulichofanya ni kumuweka vikwazo vya Malori ya mafuta toka Tanzania kwenda Malawi ambayo asilimia kubwa walikuwa ya watanzania
Wamalawi wakawa wanapanga foleni wiki nzima kituo cha mafuta kupata lita tano tu za mafuta ya petrol au diesel
Hali ikawa ngumu akauza hadi ndege ya Raisi
Uchaguzi ulivyofika akagombea wamalawi walimpiga chini hawakutaka hata kumsikia kwa hali ngumu aliyowasababishia
Putin ajiandae kukiona cha mtema kuni
Wakuu Hali mbaya kwa Putin,
Baada ya matsifa kadhaa kuiwekea vikwazo vya kibiashara Russia Mambo yamekuwa magumu.
"We're getting more reports about rationing of some staple foods in Russia. There has been particular demand for sugar".
In the far eastern Maritime Region, supermarkets have imposed limits of 2kg per customer for sugar, flour, rice, buckwheat, salt and macaroni; 2L of vegetable oil and three jars of baby food. The rationing was reported by Russiaβs business daily Kommersant.
In Khabarovsk, a city in that region, there has been panic-buying of sugar, and it has disappeared from many supermarket shelves, a local news agency reports.
However, deputy industry and trade minister Viktor Yevtukhov insists βthere is no problem with sugarβ, as Russia produces enough for itself and has banned sugar exports.
The St Petersburg supermarket chain Vkuster told Kommersant that it was also limiting sugar sales to 2kg per customer. βWhen one customer fills a whole basket with bags of sugar, others look at him and think about stockpiling too,β said Vkuster director Sergei Plis.
Last week the national statistics service Rosstat said sugar prices had jumped nearly 13%.
Sanctions imposed over Russiaβs invasion of Ukraine have severely weakened the rouble and fuelled inflation, pushing up food prices.
Huyo ukraine hata kwenye 5 bora za mzalishaji mkubwa wa ngano duniani hayupo.sasa unapata wapi ujasiri wa kusema kuwa Ukraine ndo mzalishaji mkubwa wa ngano dunianiUongo mkulima mkubwa wa ngano duniani ni Ukraine hata Tanzania tunaagiza ukraine Urusi haitoshelezi soko lake la ndani pamoja na kuwa mzalishaji mkubwa
Ni wimbo wa Fid QPropaganda...
Du! hii ni kali ya mwaka.yani Warusi watumie ngano asilimia 40?.yani watu bilioni 7 watumie ngano asilimia 60 alafu watu milioni 140 watumie asilimia 40.iyo ngano itakuwa mpaka wanajengea hadi nyumbaRussia inazalisha 11 percent ya ngano yote duniani wakati matumizi yake ya ngano ni 41 percent ya ngano yote duniani
Usiangalie production tu angalia na consumption umesikia wewe pro Russia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa pimbi sana... Narudia tena we ni PIMBI sana... Na kwa uandishi huo na Data hizo wajiona una akili sawa sawa kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Russia inazalisha 11 percent ya ngano yote duniani wakati matumizi yake ya ngano ni 41 percent ya ngano yote duniani
Usiangalie production tu angalia na consumption umesikia wewe pro Russia
una jaza Saver bure na matakwimu yako ambayo unapost bila kushirikisha kichwa.Jaman muwe na akili Warusi wanazalisha Sana chakulaView attachment 2159690
ππππRussia inazalisha 11 percent ya ngano yote duniani wakati matumizi yake ya ngano ni 41 percent ya ngano yote duniani
Usiangalie production tu angalia na consumption umesikia wewe pro Russia
Alijua ataikaanga Ukraine within a week ili awe kwenye position nzuri ya kunegotiateSasa hata mwezi mmoja bado inakuaje baada ya mwaka mmoja
Huyo ni comedian, me nafikiri anafanya kusudi, hawezi kuwa PIMBI kiasi hicho.we jamaa pimbi sana... Narudia tena we ni PIMBI sana... Na kwa uandishi huo na Data hizo wajiona una akili sawa sawa kabisa ...
Kwa mujib wako Russia anazalisha 11% ya Ngano yote dunian... Maana ake ni ngano inayotumiwa na zaidi ya watu Billion 7.8 inazalishwa na Russia... Maana ake ni kua Russia anazalisha ngano ya watumiaji zaidi ya Mil. 858 dunian...
Russia wapo just Mil 128 hv means wanazalisha ngano in excess zaidi ya mahitaji yao... Kwa mujib wa data zako ni kua Russia anatumia as little as 15% ya ngano anayozalisha huku zaidi ya 85% akiisafirisha nje
Hayo maelezo yote juu ni kwa mujib wa data zako mwenyewe... Hey we Jamaa narudia tena we ni PIMBI
Kwani wewe si una mahaba na urusi? Kama za mwenzako ni propaganda na za kwako pia zitakuwa propagandaHivyo vyanzo vyenu vya habari za mahaba niue dhidi ya Russia ni upuuzi mtupu usiovumilika....[emoji847]
Putin mjinga sana. Anafikiri vita vya kisasa ni kurusha makombora tu. Eti anasubiri US na Europe wamshambulie kwa mabomu alipize. Hajui kuwa waliishaanza kumpiga vita bila kujijua. Rais wetu mpendwa Hayati Magufuli aliwahi kusema hakauna vita mbaya kama ya Vita ya Kiuchumi. Putin anapigwa Vita ya Kiuchumi na akija kushtuka atakuwa ashapinduliwa na kama sio kuuwawa kabisa!Na bado
Warusi lazima wampindue Putin au kumuua anytime sababu ya hali ngumu ya vikwazo
Ahahahahah! Mkuu bwana. Eti Warusi wa Tanzania! Ahahahahaha!Warusi wenyewe wenye nchi yao wanaandamana kupinga vita batili vya Putin, lkn kuna Warusi wa Tanzania wanashabikia yale mauaji ya halaiki !!!
ππPro Russia wengi ni vitu vijinga vijanga tu.