Mrusi haitaji ruhusa ya mmarekani kupeleka mafuta Cuba ni swala la muda.Makobazi acheni kusambaza habari za uongo! Meli umeruhusiwa kuingia Cuba kwa ruhusa ya marekani sasa hivi cuba hata umeme tu ni shida raia wanateseka
Mrusi haitaji ruhusa ya mmarekani kupeleka mafuta Cuba ni swala la muda.Makobazi acheni kusambaza habari za uongo! Meli umeruhusiwa kuingia Cuba kwa ruhusa ya marekani sasa hivi cuba hata umeme tu ni shida raia wanateseka
Kwaajili ya msaada wa kibinadamu. Ni kawaida misaada ya kibinadamu kuingia hata kama kungekuwa na vita.
Huu ndio uonevu ambao tunaukataa na kupelekea Marekani kuchukiwa duniani.Cuba wana hali mbaya sana,Marco Rubio ndio engineer wa hii kitu, sioni communist party iki survive hii kitu
Kwa akili Yako ndugu unadhani Marekani inaweza ikaizuia Urusi kufanya yake kama ikitaka kupeleka misaada?Makobazi acheni kusambaza habari za uongo! Meli umeruhusiwa kuingia Cuba kwa ruhusa ya marekani sasa hivi cuba hata umeme tu ni shida raia wanateseka
Venezuela si ipo karibu na Cuba?Hilo suala linapotoshwa sana na jihadists wanaoishabikia Iran ila ukweli ni kwamba Russia anapeleka mafuta Cuba baada ya kupewa ruhusa na Marekani na ni ya muda tu wala hatafanya hivyo siku zote.
Tujiulize tu ni mara ngapi Cuba wamekuwa gizani na huyo Russia asipeleke mafuta huko, ni kwamba Russia hakuwa na ruhusa, ngoja vita vimalizike kama atapeleka tena mafuta Cuba.
Na wewe bado ni member wa JFJf News
Mrusi haitaji ruhusa ya mmarekani kupeleka mafuta Cuba ni swala la muda.
Cuba na Marekani wapi na wapi wakati Marekani anataka utawala wa kikomunisti wa Cuba uanguke.Venezuela si ipo karibu na Cuba?
Kwa Nini isipeleke mafuta Cuba kwa ruhusa ya Marekani?
Au Marekani yenyewe kwa Nini isipeleke kwa lengo la msaada wa kibinadamu?
If you can't defeat them join them.Jibu kwani Shida za CUBA kasababisha nani sio. MAREKANI???
Jiulize mafuta yanafikaje Gaza wakati kuna blokade ya Israel?Russian tanker approaches Cuba despite US oil blockade
Nadhani neno hili umelielewa vizuri.
"Despite US oil blokade"
Hayo maneno msaada wa kibinadamu ni maneno ya kupunguza aibu.
Vikwazo maana yake ni kuiadhibu nchi.
Urusi haitishwi na yoyote hapa duniani,isipokua Mungu TU.
Msome hapa Afisa wa Kremlin anavyosema,kila kitu mnaleta propaganda. Blockade imeanza tangu January leo eti Russia ndio anapeleka mafuta,hapo wamemuomba Marekani ndio kakubali yaende.Mkuu, Urusi kwa kweli inawasaidia washirika wake — hiyo ni kweli. Meli ya Anatoly Kolodkin yenye karibu barrels 730,000 za mafuta inakaribia kufika Cuba.
Lakini kurekebisha kidogo: Si "kavunja vikwazo" kwa nguvu sana.
Meli iliondoka Russia tangu Machi 8, wakati wa blockade kali. Lakini jana Trump alisema ana "no problem" na mafuta ya Russia kuingia Cuba kwa sababu ya humanitarian reasons (Cuba inakabiliwa na blackouts kali sana na energy crisis kubwa).
Urusi inatumia nafasi hii kuonyesha inasimama na washirika wake (Cuba na Iran), na Marekani inaonyesha flexibility kidogo hivi karibuni.... Ila kwa anachokifanya Israel na US nchini Iran milio itasikika kila kona.
Geopolitics inaendelea...
Msome hapa Afisa wa Kremlin anavyosema,kila kitu mnaleta propaganda. Blockade imeanza tangu January leo eti Russia ndio anapeleka mafuta,hapo wamemuomba Marekani ndio kakubali yaende.
Huyu Marekani ashaona kila mtu hapa Duniani ni Matako yake.Urusi imevuka kibabe vizuizi na kuvunja vikwazo vya Marekani hatimae Leo meli ya mafuta ghafi ya Urusi imefika Cuba.
Marekani kama kawaida yake kwa roho mbaya yake iliiwekea Cuba vikwazo vya mafuta baada ya kuiba mafuta ya Venezuela ambayo ndio ilikua nchi peke inayoiuzia mafuta Cuba.
Marekani baada ya kuiba mafuta ya Venezuela ikaweka vikwazo kua hakuna nchi yoyote kuizuia mafuta Cuba.
Urusi ni mshirika mkubwa wa Cuba,ikaona huu ni ujinga na Sasa omefikisha mafuta Cuba.
Kavunja vikwazo vya Marekani.
Russian tanker approaches Cuba despite US oil blockade
President Trump said the vessel was allowed through on humanitarian grounds
Published 30 Mar, 2026 00:36 | Updated 30 Mar, 2026 05:39
![]()
Russian oil tanker Anatoly Kolodkin © Social media
Cuba is set to receive a humanitarian oil shipment from Russia as early as this week, despite a US blockade that has lasted months, leading to severe fuel shortages and recurring power cuts across the island.
The Russian tanker Anatoly Kolodkin is approaching the island nation’s territorial waters carrying roughly 730,000 barrels of crude, and could reach the port of Matanzas by Tuesday, according to vessel-tracking services.
Despite US Coast Guard ships being present in the region, “the Trump administration did not order those vessels to act,” an official familiar with the matter told the New York Times.
“Barring orders instructing it otherwise, the Coast Guard planned to let the tanker reach Cuba as of Sunday afternoon,” the source added, speaking on condition of anonymity.
Nani kakudanganya?Mrusi haitaji ruhusa ya mmarekani kupeleka mafuta Cuba ni swala la muda.
Msome hapa afisa wa Ikulu ya Kremlin. Nikuulize swali,walikuwa wapi tangu JanuaryRussian tanker approaches Cuba despite US oil blockade
Nadhani neno hili umelielewa vizuri.
"Despite US oil blokade"
Hayo maneno msaada wa kibinadamu ni maneno ya kupunguza aibu.
Vikwazo maana yake ni kuiadhibu nchi.
Urusi haitishwi na yoyote hapa duniani,isipokua Mungu TU.
Erwin schrondinger..Schröndinger's cat walks in.... and out
Usifananishe Gaza na Urusi.Jiulize mafuta yanafikaje Gaza wakati kuna blokade ya Israel?
Yani wewe hata kusoma context na kuelewa HUJUI.Msome hapa afisa wa Ikulu ya Kremlin. Nikuulize swali,walikuwa wapi tangu January
Unajifanyaga mjuaji kumbe maneno rahisi ya kingereza hujui,haya mtafute mtu akutafsirisie.Yani wewe hata kusoma context na kuelewa HUJUI.
Aya tuoneshe sehemu ambayo Afisa wa Kremlin amesema wameruhusiwa na US ndio maana wakapeleka mafuta!??
Tuoneshe hiyo sehemu.