Urusi hawatupi washirika wake, Yuko Iran na sasa kapeleka mafuta Cuba, kavunja vikwazo vya Trump

Urusi hawatupi washirika wake, Yuko Iran na sasa kapeleka mafuta Cuba, kavunja vikwazo vya Trump

Makobazi acheni kusambaza habari za uongo! Meli umeruhusiwa kuingia Cuba kwa ruhusa ya marekani sasa hivi cuba hata umeme tu ni shida raia wanateseka
Nyie wavaa raizoni wacheni kushabikia udhimu, hakuna dini inayo amrisha dhulma.
 

Russian tanker approaches Cuba,​

"despite US oil blockade"​

Haya ni maneno ya RT,sio yangu.
 
Usifananishe Gaza na Urusi.
Gaza misaada inaruhusiwa kidogo kidogo kulingana na makubaliano ya amani yaliyosainiwa mwanzoni mwa huu mwaka. Ila Urusi ilishawekewa blockade kupeleka mafuta Cuba.
Usichanganye mambo.
Hata Urusi kapeleka mafuta kwa makubaliano na USA.
 
Unajifanyaga mjuaji kumbe maneno rahisi ya kingereza hujui,haya mtafute mtu akutafsirisie.
Kremlin Spokesman Dmitri Peskov said that "Russia considered its duty to step up and provide necessary assistance to our Cuban friends", he added that "THE SHIPMENT HAD BEEN RAISED WELL IN ADVANCE...WITH OUR AMERICAN COUNTERPARTS ".
HIyo ndio kuomba ruhusa!??
Unajielewa kweli we jamaa!?
 
Hayo makubaliano sio UOMBAJI WA RUHUSA.
Bilateral agreements is not asking of permission.
Mnachokisahau USA anafanya hivi ku ease tension ya middle east war.
Kumbe ushakiri ni USA ndio anafanya hayo
 
Haya sasa Cuba itawaachia wafungwa wa Marekani zaidi ya 1000 mnafikiri meli imeenda bure tu!
 

​


Russia sending second ship with oil to Cuba amid US blockade​

Announcement comes days after Russian tanker brought some 700,000 barrels of crude to Cuba in response to energy crisis.

Click here to share on social media
By AFP, AP and Reuters

Published On 2 Apr 20262 Apr 2026
Russia plans to send a second ship carrying oil to Cuba, the Russian energy minister has said, as the Caribbean nation struggles under a crippling United States blockade.
Energy Minister Sergei Tsivilev said on Thursday that the cargo was being loaded and would be brought to
 
Back
Top Bottom