Urusi hawatupi washirika wake, Yuko Iran na sasa kapeleka mafuta Cuba, kavunja vikwazo vya Trump

Kwaajili ya msaada wa kibinadamu. Ni kawaida misaada ya kibinadamu kuingia hata kama kungekuwa na vita.

Russian tanker approaches Cuba despite US oil blockade​

Nadhani neno hili umelielewa vizuri.
"Despite US oil blokade"
Hayo maneno msaada wa kibinadamu ni maneno ya kupunguza aibu.
Vikwazo maana yake ni kuiadhibu nchi.
Urusi haitishwi na yoyote hapa duniani,isipokua Mungu TU.
 
Cuba wana hali mbaya sana,Marco Rubio ndio engineer wa hii kitu, sioni communist party iki survive hii kitu
Huu ndio uonevu ambao tunaukataa na kupelekea Marekani kuchukiwa duniani.
Je Cuba imeikosea Nini Marekani katika Hali ya kawaida?
Makobazi acheni kusambaza habari za uongo! Meli umeruhusiwa kuingia Cuba kwa ruhusa ya marekani sasa hivi cuba hata umeme tu ni shida raia wanateseka
Kwa akili Yako ndugu unadhani Marekani inaweza ikaizuia Urusi kufanya yake kama ikitaka kupeleka misaada?
 
Venezuela si ipo karibu na Cuba?
Kwa Nini isipeleke mafuta Cuba kwa ruhusa ya Marekani?
Au Marekani yenyewe kwa Nini isipeleke kwa lengo la msaada wa kibinadamu?
 
Venezuela si ipo karibu na Cuba?
Kwa Nini isipeleke mafuta Cuba kwa ruhusa ya Marekani?
Au Marekani yenyewe kwa Nini isipeleke kwa lengo la msaada wa kibinadamu?
Cuba na Marekani wapi na wapi wakati Marekani anataka utawala wa kikomunisti wa Cuba uanguke.
 
Jiulize mafuta yanafikaje Gaza wakati kuna blokade ya Israel?
 
Msome hapa Afisa wa Kremlin anavyosema,kila kitu mnaleta propaganda. Blockade imeanza tangu January leo eti Russia ndio anapeleka mafuta,hapo wamemuomba Marekani ndio kakubali yaende.
 

Attachments

  • Screenshot_20260331-022748_Chrome.jpg
    136.6 KB · Views: 15
Msome hapa Afisa wa Kremlin anavyosema,kila kitu mnaleta propaganda. Blockade imeanza tangu January leo eti Russia ndio anapeleka mafuta,hapo wamemuomba Marekani ndio kakubali yaende.

Mkuu sidhani kama ni suala la propaganda, bali ni namna ya kutafsiri tukio hilo. Ni kweli kama ulivyoonyesha kuwa hata upande wa Kremlin umesema kulikuwa na aina ya mawasiliano na Marekani kabla ya hiyo shipment.

Hata hivyo, hilo haliondoi ukweli kwamba Russia wanaendelea kuwa miongoni mwa wanaosaidia Cuba katika kipindi hiki cha vikwazo.

Tofauti hapa ni tafsiri, wapo wanaoona kama ni kuvunja blockade, na wengine wanaona kama ni coordination ya kidiplomasia.

Kwa hiyo hoja inaweza kuwa siyo nani yuko sahihi au si sahihi, bali ni kuangalia tukio hilo kwa pande zote mbili ili kupata picha kamili zaidi.
 
Huyu Marekani ashaona kila mtu hapa Duniani ni Matako yake.
 
Msome hapa afisa wa Ikulu ya Kremlin. Nikuulize swali,walikuwa wapi tangu January
 

Attachments

  • Screenshot_20260331-022748_Chrome.jpg
    136.6 KB · Views: 13
Jiulize mafuta yanafikaje Gaza wakati kuna blokade ya Israel?
Usifananishe Gaza na Urusi.
Gaza misaada inaruhusiwa kidogo kidogo kulingana na makubaliano ya amani yaliyosainiwa mwanzoni mwa huu mwaka. Ila Urusi ilishawekewa blockade kupeleka mafuta Cuba.
Usichanganye mambo.
 
Yani wewe hata kusoma context na kuelewa HUJUI.
Aya tuoneshe sehemu ambayo Afisa wa Kremlin amesema wameruhusiwa na US ndio maana wakapeleka mafuta!??
Tuoneshe hiyo sehemu.
Unajifanyaga mjuaji kumbe maneno rahisi ya kingereza hujui,haya mtafute mtu akutafsirisie.
Kremlin Spokesman Dmitri Peskov said that "Russia considered its duty to step up and provide necessary assistance to our Cuban friends", he added that "THE SHIPMENT HAD BEEN RAISED WELL IN ADVANCE...WITH OUR AMERICAN COUNTERPARTS ".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…