Nyie wavaa raizoni wacheni kushabikia udhimu, hakuna dini inayo amrisha dhulma.Makobazi acheni kusambaza habari za uongo! Meli umeruhusiwa kuingia Cuba kwa ruhusa ya marekani sasa hivi cuba hata umeme tu ni shida raia wanateseka
Sio Marekani hizo ni porojo tu za watawala wa Cuba, sasa kama Tanzania sisi tunasingizia nini.Jibu kwani Shida za CUBA kasababisha nani sio. MAREKANI???
Quoted from Russia Today news channelJf News
Hata Urusi kapeleka mafuta kwa makubaliano na USA.Usifananishe Gaza na Urusi.
Gaza misaada inaruhusiwa kidogo kidogo kulingana na makubaliano ya amani yaliyosainiwa mwanzoni mwa huu mwaka. Ila Urusi ilishawekewa blockade kupeleka mafuta Cuba.
Usichanganye mambo.
HIyo ndio kuomba ruhusa!??Unajifanyaga mjuaji kumbe maneno rahisi ya kingereza hujui,haya mtafute mtu akutafsirisie.
Kremlin Spokesman Dmitri Peskov said that "Russia considered its duty to step up and provide necessary assistance to our Cuban friends", he added that "THE SHIPMENT HAD BEEN RAISED WELL IN ADVANCE...WITH OUR AMERICAN COUNTERPARTS ".
Hayo makubaliano sio UOMBAJI WA RUHUSA.Hata Urusi kapeleka mafuta kwa makubaliano na USA.
Kumbe ushakiri ni USA ndio anafanya hayoHayo makubaliano sio UOMBAJI WA RUHUSA.
Bilateral agreements is not asking of permission.
Mnachokisahau USA anafanya hivi ku ease tension ya middle east war.
Huna hoja.Kumbe ushakiri ni USA ndio anafanya hayo