Urusi ilikuwa sahihi kuivamia Ukraine

Urusi ilikuwa sahihi kuivamia Ukraine

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,555
Reaction score
5,202
Kama ni sahihi hiki Marekani wanacholalamika kuhusu kinu cha nyuklia kilipokonywa mikononi mwa Ukraine

Ni wazi Putin alikuwa sahihi kwa usalama wa nchi yake

Tatu; Kwa hii vita Marekani ni looser kwa hasara zaidi kuliko Russia kwa sababu gharama iliyotumika kujenga kinu hiki

Nne; Pia hasara kwa usalama wao wa taarifa za kinyuklia zitakuwa zimevuja mikononi mwa adui. Itakayofanya adui afanye reverse technology

Tano; Najiuliza km Marekani yupo vizuri kwenye intelligence, je hakujua km kuna siku kitu km hiki kingeweza kutokea au intelligence ya Urusi ilikuwa makini sana kuandaa secret SMO( special military operation) bila Marekani kujua?

Sita; Kama hiki kinu hakikuwa na nia ovu dhidi ya Russia kwanini kijenge Mashariki mwa Ukraine karibu na Urusi bali kisijengwe upande wa Magharibi jirani na Poland?

Marekani wanasema ni kosa kutumia mifumo ya kinyuklia km hujapewa idhini yake hivyo Urusi hatakiwi kugusa kinu hicho labda waombe idhini kutoka Serikali ya Marekani...

Kinu hiki inasadikika ndio kinu kikubwa cha nyuklia bara zima la Ulaya ndio maana Marekani anahaha na kutoa onyo kali kwa Urusi wasikiguse

Mpaka hapa inadhihirisha Marekani ndio muazilishi wa chokochoko Ukraine pia Ukraine ni sanamu tu ila anaeliongoza sanamu hilo ni Marekani

Je, kinu kitarudi Marekani maana kipo katika mkoa wa Zaporizhzhia mkoa mpya ulio chini ya Urusi kutoka mikononi mwa Ukraine au ndio kujaribu kuirudisha mikoa hio ndio mwanzo wa vita kubwa ya tatu?

Screenshot_20230419-145720_Samsung Internet.png
 
Km ni sahihi hiki marekani wanacholalamika kuhusu kinu cha nyuklia kilipokonywa mikononi mwa Ukraine

Ni wazi putin alikuwa sahihi kwa usalama wa nchi yake

Tatu... kwa hii vita marekani ni looser kwa hasara zaidi kuliko russia kwa sababu gharama iliyotumika kujenga kinu hiki

Nne...pia hasara kwa usalama wao wa taarifa za kinyuklia zitakuwa zimevuja mikononi mwa adui....itakayo fanya adui afanye reverse technology

Tano....najiuliza km marekani yupo vizuri kwenye intelligence...je? hakujua km kuna siku kitu km hiki kingeweza kutokea .....au intelligence ya urusi ilikuwa makini sana kuandaa secret SMO( special military operation) bila marekani kujua

Sita....Kama hiki kinu hakikua na nia ovu dhidi ya russia kwanini kijenge mashariki mwa Ukraine karibu na urusi bali kisijengwe upande wa magharibi jirani na Poland

...Marekani wanasema ni kosa kutumia mifumo ya kinyuklia km hujapewa idhini yake hivyo urusi hatakiwi kugusa kinu hicho ...labda waombe idhini kutoka serikari ya marekani...

Kinu hiki inasadikika ndio kinu kikubwa cha nyuklia bara zima la ulaya ndio maana marekani anahaha na kutoa onyo kali kwa urusi wasikiguse

Mpaka hapa inadhihirisha marekani ndio muazilishi wa chokochoko Ukraine pia Ukraine ni sanamu tu ila anaeliongoza sanamu hilo ni marekani

Swali je kinu kitarudi marekani maana kipo katika mkoa wa Zaporizhzhia mkoa mpya uliochini ya urusi kutoka mikononi mwa Ukraine au ndio kujaribu kuirudisha mikoa hio ndio mwanzo wa vita kubwa ya tatu?
View attachment 2593057
.
Screenshot_20230320-175502.jpg
 
Kumbe wamekiteka hiki? Yaani kipo mikononi mwao sasa?!!!

Kama ni hivyo, yeye mmarekani angeweza ateke kitu halafu azuiwe kukigusa?!!!! Yaani alishindwa kukizuia kabisa kisitekwe apige mikwara sasa hv? Kweli Putin ni mwamba; yaani hiki kinu cha nuclear kikubwa zaidi ulaya yote? Tena kinaangaliwa kwa karibu na Marekani!!!!

Hisia zangu zinaniambia hiki ndicho haswa alichokuwa anakitaka, huko kwingine ni kuwapoteza maboya tu timu upinde.
 
Umeandika vitu vyepesi bila kujua lolote.Unahisi tu.
 
RasmiKumbe wamekiteka hiki? Yaani kipo mikononi mwao sasa?!!!

Kama ni hivyo, yeye mmarekani angeweza ateke kitu halafu azuiwe kukigusa?!!!! Yaani alishindwa kukizuia kabisa kisitekwe apige mikwara sasa hv? Kweli Putin ni mwamba; yaani hiki kinu cha nuclear kikubwa zaidi ulaya yote? Tena kinaangaliwa kwa karibu na Marekani!!!!

Hisia zangu zinaniambia hiki ndicho haswa alichokuwa anakitaka, huko kwingine ni kuwapoteza maboya tu timu upinde.
Ndio eneo kilipo kinu hiki ni miongoni mwa maeneo aliyochukua urusi na yapo chini yake na kashatoa baraka yaunganishwe na urusi rasmi
 
Umeandika utumbo gani?
Marekani haijawahi kujenga kinu cha nuclear Ukraine, hiko kinu kilijengwa na Urusi yenyewe.
Kama ni sahihi hiki Marekani wanacholalamika kuhusu kinu cha nyuklia kilipokonywa mikononi mwa Ukraine

Ni wazi Putin alikuwa sahihi kwa usalama wa nchi yake

Tatu; Kwa hii vita Marekani ni looser kwa hasara zaidi kuliko Russia kwa sababu gharama iliyotumika kujenga kinu hiki

Nne; Pia hasara kwa usalama wao wa taarifa za kinyuklia zitakuwa zimevuja mikononi mwa adui. Itakayofanya adui afanye reverse technology

Tano; Najiuliza km Marekani yupo vizuri kwenye intelligence, je hakujua km kuna siku kitu km hiki kingeweza kutokea au intelligence ya Urusi ilikuwa makini sana kuandaa secret SMO( special military operation) bila Marekani kujua?

Sita; Kama hiki kinu hakikuwa na nia ovu dhidi ya Russia kwanini kijenge Mashariki mwa Ukraine karibu na Urusi bali kisijengwe upande wa Magharibi jirani na Poland?

Marekani wanasema ni kosa kutumia mifumo ya kinyuklia km hujapewa idhini yake hivyo Urusi hatakiwi kugusa kinu hicho labda waombe idhini kutoka Serikali ya Marekani...

Kinu hiki inasadikika ndio kinu kikubwa cha nyuklia bara zima la Ulaya ndio maana Marekani anahaha na kutoa onyo kali kwa Urusi wasikiguse

Mpaka hapa inadhihirisha Marekani ndio muazilishi wa chokochoko Ukraine pia Ukraine ni sanamu tu ila anaeliongoza sanamu hilo ni Marekani

Je, kinu kitarudi Marekani maana kipo katika mkoa wa Zaporizhzhia mkoa mpya ulio chini ya Urusi kutoka mikononi mwa Ukraine au ndio kujaribu kuirudisha mikoa hio ndio mwanzo wa vita kubwa ya tatu?

View attachment 2593057
 
Kama ni sahihi hiki Marekani wanacholalamika kuhusu kinu cha nyuklia kilipokonywa mikononi mwa Ukraine

Ni wazi Putin alikuwa sahihi kwa usalama wa nchi yake

Tatu; Kwa hii vita Marekani ni looser kwa hasara zaidi kuliko Russia kwa sababu gharama iliyotumika kujenga kinu hiki

Nne; Pia hasara kwa usalama wao wa taarifa za kinyuklia zitakuwa zimevuja mikononi mwa adui. Itakayofanya adui afanye reverse technology

Tano; Najiuliza km Marekani yupo vizuri kwenye intelligence, je hakujua km kuna siku kitu km hiki kingeweza kutokea au intelligence ya Urusi ilikuwa makini sana kuandaa secret SMO( special military operation) bila Marekani kujua?

Sita; Kama hiki kinu hakikuwa na nia ovu dhidi ya Russia kwanini kijenge Mashariki mwa Ukraine karibu na Urusi bali kisijengwe upande wa Magharibi jirani na Poland?

Marekani wanasema ni kosa kutumia mifumo ya kinyuklia km hujapewa idhini yake hivyo Urusi hatakiwi kugusa kinu hicho labda waombe idhini kutoka Serikali ya Marekani...

Kinu hiki inasadikika ndio kinu kikubwa cha nyuklia bara zima la Ulaya ndio maana Marekani anahaha na kutoa onyo kali kwa Urusi wasikiguse

Mpaka hapa inadhihirisha Marekani ndio muazilishi wa chokochoko Ukraine pia Ukraine ni sanamu tu ila anaeliongoza sanamu hilo ni Marekani

Je, kinu kitarudi Marekani maana kipo katika mkoa wa Zaporizhzhia mkoa mpya ulio chini ya Urusi kutoka mikononi mwa Ukraine au ndio kujaribu kuirudisha mikoa hio ndio mwanzo wa vita kubwa ya tatu?

View attachment 2593057
Kimsingi Marekani walijua kuwa uwenda Urusi itakuja kuivamia Ukraine ila walihisi pia Urusi itahofia kuivamia Ukraine cos bado hajawa sawa kiuchumi! mwaka 2014 baada ya Urusi kuichukua Crimea, Maekani aliimbia Urusi kuwa endapo wataivamia Ukraine kijeshi basi mradi wa Nord Stream 2 utafikia mwisho! hapa naamini walikuwa wanahisi japo waliamini vitisho vyao vitaweza kumfanya Urusi agope kutekeleza mission yake.
 
Elon Musk ni attention seeker, mtafuta kiki katika siasa za Marekani. Ameumbuliwa kwa uongo mwingi sana, double standards na usambazaji conspiracy theories.
Hakuna uhuru usio na mipaka mkuu! Juzi tu Elon Mask alikuwa anasema serikali ya marekani inaweza kuingilia mpaka DM za member wa Twitter! Je Whatsapp? Facebook? Bas jua uhuru wako una mipaka.
 
Elon Musk ni attention seeker, mtafuta kiki katika siasa za Marekani. Ameumbuliwa kwa uongo mwingi sana, double standards na usambazaji conspiracy theories.
Elon ni mmiliki wa Twitter, yeye kaizungumzia social media anayoimiliki 100% anasema serikali ya US inaweza kuingilia wakitaka, wewe nani ubishe?
 
Amewahi kuwapa matangopori kama hayo na mengineyo baadhi ya waandishi wa habari walipoenda nayo mbele ya bunge la Marekani kutoa ushahidi wao ikaonekana ni uzushi na uongo mtupu. Marekani serikali haiwezi kuingia kwenye akaunti za mtu katika mitandao ya kijamii bila kibali cha judge wa federal court.

Back
Top Bottom