Samson Ngomboli
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 1,598
- 2,710
Ukiwasaidia kulia inatosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisaidie kujuua ugaidi una maana gani kwa akili yako.Kwa akili zako siku za usoni utatimiza ndoto yako za kuwa gaidi mkubwa duniani, maana post zako zinawaza ugaidi 2
Labda yesu awe Nabii isaHujaiona mantiki ya kuandika .Subiri utafahamu kidogo kidogo siku Israel ikidondoka mbele ya macho yenu.
Mumetabiri mengi kuhusu Israel kwa kuangalia wingi na ukali wa silaha.
ukiondoa kuua na kuharibu majengo hakuna ushindi na tunakoelekea ni kushindwa kabisa.Kama si mwaka huu basi si mbali sana.
Tunapotaja madhila ya wapalestina tunataka muone na baadae mfahamu kinachofuata.
Mpaka sasa wanaopigana na mbabe mkubwa wa mashariki ya kati na yule wa dunia ni watu maskini tu na waliofungwa mikono huku wakipigwa na majirani zao wakioangalia bila kutoa msaada.
Maskini ni Yemen,Hezbollah na Hamas na itashangaza kuwa wao ndio watakaoangusha wababe wawili wa dunia.