Urusi ilipozuia nafaka kelele zilikuwa kubwa.Israel imezuia vyakula vyote na maji wanaolia ni watu wa Gaza peke yao

Urusi ilipozuia nafaka kelele zilikuwa kubwa.Israel imezuia vyakula vyote na maji wanaolia ni watu wa Gaza peke yao

Kwa akili zako siku za usoni utatimiza ndoto yako za kuwa gaidi mkubwa duniani, maana post zako zinawaza ugaidi 2
 
Kwa akili zako siku za usoni utatimiza ndoto yako za kuwa gaidi mkubwa duniani, maana post zako zinawaza ugaidi 2
Nisaidie kujuua ugaidi una maana gani kwa akili yako.
Kwani mimi siujui nausikia tu kupitia vyombo vya habari vya kimarekani na kiyahudi.
 
Hivyo vyombo vya habar vya kiyahudi na kimarekan vinasemaje kuhusu ugaid kama unavyosikia ww?
 
Hujaiona mantiki ya kuandika .Subiri utafahamu kidogo kidogo siku Israel ikidondoka mbele ya macho yenu.
Mumetabiri mengi kuhusu Israel kwa kuangalia wingi na ukali wa silaha.
ukiondoa kuua na kuharibu majengo hakuna ushindi na tunakoelekea ni kushindwa kabisa.Kama si mwaka huu basi si mbali sana.
Tunapotaja madhila ya wapalestina tunataka muone na baadae mfahamu kinachofuata.
Mpaka sasa wanaopigana na mbabe mkubwa wa mashariki ya kati na yule wa dunia ni watu maskini tu na waliofungwa mikono huku wakipigwa na majirani zao wakioangalia bila kutoa msaada.
Maskini ni Yemen,Hezbollah na Hamas na itashangaza kuwa wao ndio watakaoangusha wababe wawili wa dunia.
Labda yesu awe Nabii isa
 
Back
Top Bottom