Urusi imehusisha asilimia 75% ya jeshi lake lote kwenye huu ugomvi, na bado shughuli ipo

Urusi imehusisha asilimia 75% ya jeshi lake lote kwenye huu ugomvi, na bado shughuli ipo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ama kwa kweli Urusi amedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kwamba ahusishe asilimia 75% ya jeshi lake lote na kuacha nyumbani asilimia ndogo ilinde nchi, yote hii kupambana na kataifa kadogo kama Ukraine, na mpaka sasa wiki imeisha hajafaulu kukafagia......kwamba hata akifaulu kuteka Kiev leo hii, amechelewa sana na ameshasomwa kuwa dhaifu.

Sasa ingekua anapigana na mbabe kama China huko si ndio angeisha? Kwenye huu ugomvi amesomwa na wote kama bonge la bogus ambaye amekua akitisha tu.
Enzi zetu tukiwa wadogo shuleni, ilikua kama jamaa huonekana mkubwa, anaogopwa ogopwa, ila siku akija kupigana na dogo yeyote halafu hapo anasomwa uwezo wake, kwa namna atachakaza huyo dogo ndio tutajua kama tuendelee kumuogopa au ni nguvu ya soda.
====================================================

Before the invasion five days ago, officials estimated that Russia had more than 160,000 troops along its borders with Ukraine and inside Belarus, also along the border with Ukraine. If the estimate of 75 percent is correct, then 120,000 Russian troops are taking part in the invasion.

Ukrainians continue their David vs. Goliath battle against the Russian invaders. The official said that Russia has, thus far, failed to achieve air superiority over Ukraine. "The airspace over Ukraine remains contested," he said. "Ukrainian air defenses remain intact and viable, both in terms of aircraft and missile defense systems, and they're engaged."

Ukrainian ground forces have slowed the Russian advance on the capital city of Kyiv and Ukraine's second city of Kharkiv. Still, Russian forces are roughly 25 kilometers out of Kyiv. The official said this appears to be the Russian's main line of effort.

There have been roughly 380 ballistic and cruise missile launches against Ukraine, the official said.

Despite news reports, U.S. officials have seen no indications that Belarussian troops are being readied to move into Ukraine. "Our best information is that the forces inside Ukraine are all Russians," the senior official said.

The Ukrainian resistance and Russian military problems with logistics and sustainment have combined to slow the Russian invasion. "Our indications are that they ended up having to rely on fuel and sustainment capabilities earlier in the process than what we believe they had planned to," the official said. "So, on day four, they're running out of gas, and they're having logistics problems."
 
Hahahaha...kama una ndugu yako Kiev mwambie aondoke leo Russia inaenda kufanya jambo lake. NATO mpaka sasa hajui kama kama Russia anatumie silaha za enzi za Soviet au mpya na Putin kawaweka mtegoni wakijiingiza tu.

Leo ndio Putin anamaliza operation yake ambayo aliipanga imalizike 02/03/2022. Kitakachofanyika Leo Ukraine Ukraine itajuta
 
Mpaka sasa, uvamizi wa Urusi nchini Ukraine umekwisha onesha kasoro za wazi (technical infeasibility) kwa kiwango fulani. Urusi mpaka sasa haijalazimika kutumia maximum capacity ya uwezo wake katika conventional warfare lakini hilo haliondoi facts kuwa imeonesha kiwango kikubwa tu cha mapungufu au makosa ya kimbinu (tactical blunders).

Kimsingi, Urusi inaonesha haikutegemea (anticipate) kiwango cha upinzani ambacho imekipata mpaka sasa. Kufanya 'operation' ya muda mfupi ya kulidhoofisha 'completely' jeshi kama Ukraine si jambo rahisi sana. Huko ni ku-underestimate uwezo wa adui! Jeshi la Ukraine bado limeendelea kuwa active sana katika maeneo mengi tu ya kiulinzi, hata hiyo 'air supremacy' inayosemwa, haionekani kuwa tishio.

Lakini, bado ni mapema kutoa conclusion kuhusu mapigano sababu bado yanaendelea. Tusubiri tuone jinsi mabadiliko ya hali yatakavyokuwa!
 
Mpaka sasa, uvamizi wa Urusi nchini Ukraine umekwisha onesha kasoro za wazi (technical infeasibility) kwa kiwango fulani. Urusi mpaka sasa haijalazimika kutumia maximum capacity ya uwezo wake katika conventional warfare lakini hilo haliondoi facts kuwa imeonesha kiwango kikubwa tu cha mapungufu au makosa ya kimbinu (tactical blunders...
Mwanzo Urusi alikuwa anafanya kama anatishia kuona kama Ukraine atashupaza shingo sasa kaona kashupaza shingo subiri aivunje. Leo Kiev itawaka moto
 
Hahahaha...kama una ndugu yako Kiev mwambie aondoke leo Russia inaenda kufanya jambo lake. NATO mpaka sasa hajui kama kama Russia anatumie silaha za enzi za Soviet au mpya na Putin kawaweka mtegoni wakijiingiza tu.

Leo ndio Putin anamaliza operation yake ambayo aliipanga imalizike 02/03/2022. Kitakachofanyika Leo Ukraine Ukraine itajuta

Yaani ile tu kwamba bado mnaongea ongea ni udhaifu mkubwa sana, rais wa Ukraine alipaswa kuwa kwenye mikono ya Urusi kufikia sasa. Yaani asilimia 75% ya jeshi la Urusi, wanajeshi 120,000 wote wamehusishwa, hivi unajua Tanzania ina Active personnel 27,000 only.
Hebu waza hiyo nyomi yote na mpaka leo mnaongea ongea tu...
 
Tunza post yako hii iliyojaa mahaba na Putin
 
Yaani ile tu kwamba bado mnaongea ongea ni udhaifu mkubwa sana, rais wa Ukraine alipaswa kuwa kwenye mikono ya Urusi kufikia sasa. Yaani asilimia 75% ya jeshi la Urusi, wanajeshi 120,000 wote wamehusishwa, hivi unajua Tanzania ina Active personnel 27,000 only.
Hebu waza hiyo nyomi yote na mpaka leo mnaongea ongea tu...
Mwanzoni ukraine alikuwa anapambana na wanamgambo wa majimbo yaliyojitenga ambao kimsingi wanamgambo hao ni wa-ukraine na kama Ukraine iliwaua basi iliua watu wake, jeshi la urusi ni ile convoy yenye urefu wa kilomita 65. Kwa convoy hiyo ndo inaweka idadi ya wanajeshi 120000 ambao umewasema na bado hata hawajatumika.

Hii leo Russia wakimaliza kazi Kiev hiyo convoy ndio linakuwa jeshi Rasmi la Ukraine na hilo ndio lengo la Putin
 
Mwanzo Urusi alikuwa anafanya kama anatishia kuona kama Ukraine atashupaza shingo sasa kaona kashupaza shingo subiri aivunje. Leo Kiev itawaka moto
Ukisema kwamba "alikuwa anafanya kama anatishia" ndiyo hizo tactical blunders ninazosema.

Urusi ilifanya miscalculation kubwa sana kudhani kuwa jeshi la Ukraine linaweza kuwa neutralized kwa operesheni ya muda mfupi. Hawakujipanga kwa mapambano ya muda mrefu, ndio maana wamekuwa wakikumbana na upungufu wa rasilimali hasa nishati kwaajili ya zana zao.
 
Najua unaumia lakini ni ukweli usiopingika Ukraine kwa sasa imechakazwa sana. Hivi unategemea Ukraine kabisa aishinde Russia?
Mkuu, katika vita hii Russia ameshindwa kwa vigezo hivi;
1. Ametumia nguvu kubwa kuivamia nchi ndogo bila sababu ya msingi...hivyo hawezi kujiita mshindi zaidi ni mhalifu wa kivita.

2. Russia ameshindwa tena ushindi wa mezani..how?

Nchi za magharibi ni smart sana...sanctions waliyomuekea Mrusi ni ushindi mkubwa sana kwao.
Kwasasa wenye akili wanakunywa wine na kugonga glass...kwanini?

- wameuporomosha uchumi wa Urusi vibaya
Mno....huwezi kupigana vita na njaa kamwe.

- Urusi haitakaa iwe na utulivu kutokana
Uchumi kuporomoka...migogoro ya ndani
Itamtesa miongo mingi sana tu

- Huu ndio mwisho wa utukufu wa Putin..
Wamemchimbia kaburi suala la muda tu kuzikwa.

Dunia ya sasa inahitaji akili zaidi na sio miguvu kama ya Putin.
MK254
 
Yaani ile tu kwamba bado mnaongea ongea ni udhaifu mkubwa sana, rais wa Ukraine alipaswa kuwa kwenye mikono ya Urusi kufikia sasa. Yaani asilimia 75% ya jeshi la Urusi, wanajeshi 120,000 wote wamehusishwa, hivi unajua Tanzania ina Active personnel 27,000 only.
Hebu waza hiyo nyomi yote na mpaka leo mnaongea ongea tu...
Na Kenya yenu active personnel ni 24,000
 
Nimeacha jeshi nikiwa na miaka23..ilikuwajekuje... !!? Sina baba Sina Mama Kwa nilivyokuwa nWaoma wanapiga range(shabaha) kawe Kwa momb..tuliwapigaaa j
 
Ukisema kwamba "alikuwa anafanya kama anatishia" ndiyo hizo tactical blunders ninazosema.

Urusi ilifanya miscalculation kubwa sana kudhani kuwa jeshi la Ukraine linaweza kuwa neutralized kwa operesheni ya muda mfupi. Hawakujipanga kwa mapambano ya muda mrefu, ndio maana wamekuwa wakikumbana na upungufu wa rasilimali hasa nishati kwaajili ya zana zao.
operation hii na kumkamata raisi wao tu ..casualii zipo tu kote kote ..
 
Na Kenya yenu ative personnel ni 24,000

Haiondoi umuhimu wa nilichokua nakisema, kwa kifupi hata uunganishe active personel wa EAC yote na mpaka ufuate DRC na kati huko hautafikia idadi ya jeshi ambalo Urusi imewekeza kwenye huu ugomvi, na mpaka sasa bado ni ngonjera, alipaswa kumaliza hii issue ndani ya siku chache sana.

Nyumbani kaacha wanajeshi wachache wanalinda nchi, ina maana hawezi kupambana na multiple fronts warfare, hapo alipo amejianika huko nyumbani kiasi anaweza kuchakazwa na yeyote.
 
Katika hilo sijakuoinga
 
Mkuu, katika vita hii Russia ameshindwa kqa vigezo hivi;
1. Ametumia nguvu kubwa kuivamia nchi ndogo jst bila sababu ya msingi...hivyo hawezi kujiita mshindi zaidi ni mhakifu wa kivita...
Unaijua nguvu kubwa ya Russia? Russia ikitumia nguvu kubwa yawezekana asilimia 90-95 ya watu duniani wakapoteza maisha kwa sababu atatumia chemical, biological na nuclear weapons. Mpaka sasa Ukraine hata chemical weapons
 
Hahahaha...kama una ndugu yako Kiev mwambie aondoke leo Russia inaenda kufanya jambo lake. NATO mpaka sasa hajui kama kama Russia anatumie silaha za enzi za Soviet au mpya na Putin kawaweka mtegoni wakijiingiza tu.

Leo ndio Putin anamaliza operation yake ambayo aliipanga imalizike 02/03/2022. Kitakachofanyika Leo Ukraine Ukraine itajuta
Mkuu na yakipita masaa bila hiko kilichopangwa kutokea what will you come up with? Uzuri wake muda ni mwalimu mzuri sana, tusubirie tuone hayo yaliyopangwa kufanyika ili mchezo uishe leo tar 02 kama ulivyosema.
 
Back
Top Bottom