kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaaan wamepiga propaganda nawe umejaa mazima Kwa akili yako unazan kweli Russia kapeleka asilimia 75% ya jeshi lake nchini ukraine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaaa hatani aisee na hii ya kusema kapeleka asilimia 75 ni mitego Kwa Nato ili wajifanye hamnazo awabutue nao. Bunge la ujeruman Leo hii wanalaumiana na wanaogopa kumvaa mrusi kichwa kichwa unahis wajerumani hawajui mtiti wa UrusiHahahaha...kama una ndugu yako Kiev mwambie aondoke leo Russia inaenda kufanya jambo lake. NATO mpaka sasa hajui kama kama Russia anatumie silaha za enzi za Soviet au mpya na Putin kawaweka mtegoni wakijiingiza tu.
Leo ndio Putin anamaliza operation yake ambayo aliipanga imalizike 02/03/2022. Kitakachofanyika Leo Ukraine Ukraine itajuta
Umeandika kishabiki Sana sababu za kupiga Ukraine zipo wap ni kulinda mipaka yakeMkuu, katika vita hii Russia ameshindwa kqa vigezo hivi;
1. Ametumia nguvu kubwa kuivamia nchi ndogo jst bila sababu ya msingi...hivyo hawezi kujiita mshindi zaidi ni mhakifu wa kivita.
2. Russia ameshindwa tena ushindi wa mezani..how?
Nchi za magharibi ni smart sana...sanctions waliyomuekea Mrusi ni ushindi mkubwa sana kwao. Kwasasa wenye akili wanakunywa wine na kugonga glass...kwanini?
- wauporomosha uchumi wa Urusi vibaya
Mno.
- Urusi haitakaa iwe na utulivu kutokana
Uchumi kuporomoka...migogoro ya ndani
- Huu ndio mwisho wa utukufu wa Putin..
Wamemchimbia kaburi suala la muda tu.
Dunia ya sasa inahitaji akili zaidi na sio miguvu kama ya Putin.
MK254
Unaongea nini?Mwanzoni ukraine alikuwa anapambana na wanamgambo wa majimbo yaliyojitenga ambao kimsingi wanamgambo hao ni wa-ukraine na kama Ukraine iliwaua basi iliua watu wake, jeshi la urusi ni ile convoy yenye urefu wa kilomita 65. Kwa convoy hiyo ndo inaweka idadi ya wanajeshi 120000 ambao umewasema na bado hata hawajatumika.
Hii leo Russia wakimaliza kazi Kiev hiyo convoy ndio linakuwa jeshi Rasmi la Ukraine na hilo ndio lengo la Putin
Kadiri anavyo chelewa ndio anazidi kuweka ugumu sababu silaha za nato zikimfikia Zelensk akaanza kuzitumia zote mambo yatakuwa magumu zaidi ya sasa na urusi atalazimika kutumia uwezo wake kwa %hata 85.Mpaka sasa, uvamizi wa Urusi nchini Ukraine umekwisha onesha kasoro za wazi (technical infeasibility) kwa kiwango fulani. Urusi mpaka sasa haijalazimika kutumia maximum capacity ya uwezo wake katika conventional warfare lakini hilo haliondoi facts kuwa imeonesha kiwango kikubwa tu cha mapungufu au makosa ya kimbinu (tactical blunders).
Kimsingi, Urusi inaonesha haikutegemea (anticipate) kiwango cha upinzani ambacho imekipata mpaka sasa. Kufanya 'operation' ya muda mfupi ya kulidhoofisha 'completely' jeshi kama Ukraine si jambo rahisi sana. Huko ni ku-underestimate uwezo wa adui! Jeshi la Ukraine bado limeendelea kuwa active sana katika maeneo mengi tu ya kiulinzi, hata hiyo 'air supremacy' inayosemwa, haionekani kuwa tishio.
Lakini, bado ni mapema kutoa conclusion kuhusu mapigano sababu bado yanaendelea. Tusubiri tuone jinsi mabadiliko ya hali yatakavyokuwa!
Vita ingekua kwenye media basi 100% Ukraine kashindaNasikia Ukraine ameua wanajeshi zaidi ya 5000 wa Russia, ikiwa ndivyo basi atashinda vita tuwe wapole tu, muda utasema na mnyonge ataonekana tu.
Hajui kua vyombo ya magharibi vinaongea kuhusu negative tu kwa Russia kuanzia Google, operamin, YouTube, fb n.k .hivi kweli mtu una akili timamu unaamin Russia atumie wanajeshi 120K !! Bc watakua wameenda kutalii sio kufanya kazi . kwahiyo mpaka asad amebaki madarakan Russia si atakua kapeleka laki 5 maana kule kulikua na marekan ndio aliemvurugia mipango[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaaan wamepiga propaganda nawe umejaa mazima Kwa akili yako unazan kweli Russia kapeleka asilimia 75% ya jeshi lake nchini ukraine
Hizo sanctions zimeshindwa kuiangusha North Korea, Tangu miaka ya 1950 ipo kwenye sanctions ndo zitaweza Urusi??Mkuu, katika vita hii Russia ameshindwa kqa vigezo hivi;
1. Ametumia nguvu kubwa kuivamia nchi ndogo jst bila sababu ya msingi...hivyo hawezi kujiita mshindi zaidi ni mhakifu wa kivita.
2. Russia ameshindwa tena ushindi wa mezani..how?
Nchi za magharibi ni smart sana...sanctions waliyomuekea Mrusi ni ushindi mkubwa sana kwao. Kwasasa wenye akili wanakunywa wine na kugonga glass...kwanini?
- wauporomosha uchumi wa Urusi vibaya
Mno.
- Urusi haitakaa iwe na utulivu kutokana
Uchumi kuporomoka...migogoro ya ndani
- Huu ndio mwisho wa utukufu wa Putin..
Wamemchimbia kaburi suala la muda tu.
Dunia ya sasa inahitaji akili zaidi na sio miguvu kama ya Putin.
MK254
Total ya wanajeshi wa RUSSIA NI NGAPI?Yaani ile tu kwamba bado mnaongea ongea ni udhaifu mkubwa sana, rais wa Ukraine alipaswa kuwa kwenye mikono ya Urusi kufikia sasa. Yaani asilimia 75% ya jeshi la Urusi, wanajeshi 120,000 wote wamehusishwa, hivi unajua Tanzania ina Active personnel 27,000 only.
Hebu waza hiyo nyomi yote na mpaka leo mnaongea ongea tu...
Weka akina ya maneno!Mkuu, katika vita hii Russia ameshindwa kqa vigezo hivi;
1. Ametumia nguvu kubwa kuivamia nchi ndogo jst bila sababu ya msingi...hivyo hawezi kujiita mshindi zaidi ni mhakifu wa kivita.
2. Russia ameshindwa tena ushindi wa mezani..how?
Nchi za magharibi ni smart sana...sanctions waliyomuekea Mrusi ni ushindi mkubwa sana kwao. Kwasasa wenye akili wanakunywa wine na kugonga glass...kwanini?
- wauporomosha uchumi wa Urusi vibaya
Mno.
- Urusi haitakaa iwe na utulivu kutokana
Uchumi kuporomoka...migogoro ya ndani
- Huu ndio mwisho wa utukufu wa Putin..
Wamemchimbia kaburi suala la muda tu.
Dunia ya sasa inahitaji akili zaidi na sio miguvu kama ya Putin.
MK254
kamchakazeni basi mnangojea nini[emoji23][emoji23][emoji23]Haiondoi umuhimu wa nilichokua nakisema, kwa kifupi hata uunganishe active personel wa EAC yote na mpaka ufuate DRC na kati huko hautafikia idadi ya jeshi ambalo Urusi imewekeza kwenye huu ugomvi, na mpaka sasa bado ni ngonjera, alipaswa kumaliza hii issue ndani ya siku chache sana.
Nyumbani kaacha wanajeshi wachache wanalinda nchi, ina maana hawezi kupambana na multiple fronts warfare, hapo alipo amejianika huko nyumbani kiasi anaweza kuchakazwa na yeyote.
Endeleeni kujiongopea urusi ana watu kama laki 9 hivi huko jeshini😅 sasa hao 160,000 wa mchongo ndio wawape wenge mjichanganye! Either ametumia 75% ya hao 160,000 ila sio wanajeshi wote wa taifa😅!Ama kwa kweli Urusi amedhihirisha udhaifu mkubwa sana, kwamba ahusishe asilimia 75% ya jeshi lake lote na kuacha nyumbani asilimia ndogo ilinde nchi, yote hii kupambana na kataifa kadogo kama Ukraine, na mpaka sasa wiki imeisha hajafaulu kukafagia......kwamba hata akifaulu kuteka Kiev leo hii, amechelewa sana na ameshasomwa kuwa dhaifu.
Sasa ingekua anapigana na mbabe kama China huko si ndio angeisha? Kwenye huu ugomvi amesomwa na wote kama bonge la bogus ambaye amekua akitisha tu.
Enzi zetu tukiwa wadogo shuleni, ilikua kama jamaa huonekana mkubwa, anaogopwa ogopwa, ila siku akija kupigana na dogo yeyote halafu hapo anasomwa uwezo wake, kwa namna atachakaza huyo dogo ndio tutajua kama tuendelee kumuogopa au ni nguvu ya soda.
====================================================
Before the invasion five days ago, officials estimated that Russia had more than 160,000 troops along its borders with Ukraine and inside Belarus, also along the border with Ukraine. If the estimate of 75 percent is correct, then 120,000 Russian troops are taking part in the invasion.
Ukrainians continue their David vs. Goliath battle against the Russian invaders. The official said that Russia has, thus far, failed to achieve air superiority over Ukraine. "The airspace over Ukraine remains contested," he said. "Ukrainian air defenses remain intact and viable, both in terms of aircraft and missile defense systems, and they're engaged."
Ukrainian ground forces have slowed the Russian advance on the capital city of Kyiv and Ukraine's second city of Kharkiv. Still, Russian forces are roughly 25 kilometers out of Kyiv. The official said this appears to be the Russian's main line of effort.
There have been roughly 380 ballistic and cruise missile launches against Ukraine, the official said.
Despite news reports, U.S. officials have seen no indications that Belarussian troops are being readied to move into Ukraine. "Our best information is that the forces inside Ukraine are all Russians," the senior official said.
The Ukrainian resistance and Russian military problems with logistics and sustainment have combined to slow the Russian invasion. "Our indications are that they ended up having to rely on fuel and sustainment capabilities earlier in the process than what we believe they had planned to," the official said. "So, on day four, they're running out of gas, and they're having logistics problems."
![]()
Ukrainians Continue Resistance as Russia Funnels More Troops Into the Country
DOD officials estimate that almost 75 percent of the forces that Russian President Vladimir Putin amassed for invasion are now in Ukraine.www.defense.gov
inaonekana NATO haipo sayari hii kwamba huo mzigo wao mpaka leo haujafika tuu RUSSIA kaishajiandaa na yote hayoKadiri anavyo chelewa ndio anazidi kuweka ugumu sababu silaha za nato zikimfikia Zelensk akaanza kuzitumia zote mambo yatakuwa magumu zaidi ya sasa na urusi atalazimika kutumia uwezo wake kwa %hata 85.
Anapeekaje 75% wakati anajua NATO wanaweza tumia uo mwanya kumshambulia! Kwani alipotoa tahadhari kwa wanajeshi wake wa Nuclear kitengo ya kujihami wawe tayari anafikiri hakunusa harufu ya hatari?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]yaaan wamepiga propaganda nawe umejaa mazima Kwa akili yako unazan kweli Russia kapeleka asilimia 75% ya jeshi lake nchini ukraine