Urusi imeingia kwenye 18 ya Marekani, dunia ijiandae kuona majimbo mapya ya Marekani katika ardhi ya Urusi

Russia fanboys, mtajionea wenyewe kuwa Putin hana zaidi ya miaka 2 pale Moscow, anaenda kuondolewa madarakani.

A long waited defense systems; IRIS-Ts, NASAMS, Patriot, and decisive weapons such as HIMARS, Leorpard, ATACMS, and possibly Iron domes are being delivered to UKraine.

"A new era of air defence has begun in
. IRIS-Ts from
are already here ..." -- Russia Invades UKraine - Page 15
 
He is here to stay whether he likes it or not. Jindanganyeni
 
Russia hakuna kitu pale. Kweli Russia ina nguvu lkn kwa baadhi ya nchi kama vile Belarus nk ila hana uwezo wa kupambana na nchi zenye uwezo mkubwa wa kijeshi kama USA au China.
kwa uchambuzi wako wa kwa mtogole, wenzio majirani zake wanauona mziki mnene.
 

Attachments

  • image.png
    24.5 KB · Views: 8
Kweli mkuu, Putin ana muda mchache sana pale madarakani, kwa mpango uliopo, akibahatika kuuona mwaka 2023 ashukuru Mungu.
 
Umekaa kwenu kijijini huna ramani na umekosa kazi unaanza kujifanya mchambuzi wa mambo ya Russia yaani wanausalama wa Russia hawajaona hayo lakini wewe umeyaona kirahisi
Nami nashangaa! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Russia ambayo Marekani inadai iliingiloa uchaguzi wake, ndo itishike na Biden? Walijifunza mengi kwenye kufa kwa Soviet. Wanajua la kufanya

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wa-Ukraine wa Tabata wako hoi. Mrusi kakaza, walidhani ndani ya mwaka watakamilisha vita ya kumng'oa PutinπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚CC:Wa-Rusi wa Kimara tunapiga penye mshono.
 
Nami nashangaa! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Russia ambayo Marekani inadai iliingiloa uchaguzi wake, ndo itishike na Biden? Walijifunza mengi kwenye kufa kwa Soviet. Wanajua la kufanya

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
Mkuu kuingiliwa uchaguzi na kupigwa na makombora ndani ya nchi yako tena mji wako mkuu ni vitu viwili tofauti vyenye hasara mbili tofauti.

Nafikiri mpaka hapo umeshajua nani mwenye hasara zaidi kwa sasa.
 

Attachments

  • Screenshot_20230530-165743.jpg
    51.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20230530-170033.jpg
    58.7 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…