Urusi imeingia kwenye 18 ya Marekani, dunia ijiandae kuona majimbo mapya ya Marekani katika ardhi ya Urusi

Afanye awezalo kasoro Nukes tu, yeye si kataka mpambano, basi avumilie lolote lijalo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Msipende kutafsiri lugha za watu kama hamjui maana yake!Kweli kwenye hiyo statement umeona Kuna sehemu imemaanisha kusihi?
 
Kuna propaganda nyingi sana kwenye vita hii hasa kutoka vyombo vya habari vya magharibi. Mafanikio ya Ukraine kwenye uwanja wa mapambano yanatiwa chumvi ili ionekane Urusi si chochote. Kwenye vita suala la kuteka eneo au askari, kuua au kuuliwa ni jambo la kawaida. Warusi ni binadamu kwahiyo wakiwa vitani watakufa au kutekwa. Kwahiyo, tusubiri final outcome of the war kwa sasa Marekani na vibaraka wake wako bize na propaganda.
 
Alisikika muuza vitumbua maarufu toka Mwananyamala kwa mama Zakaria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…