Urusi imeishiwa wanajeshi hadi inarejesha vitani waliojeruhiwa na kupewa likizo

Halafu katumia nguvu nyingi kugombania kamji ka watu 10,000 kapoteza wanajeshi mara mbili ya hiyo, kamji kenyewe shughuli zake ni uzalishaji wa chumvi.
Halafu wengine wanatuletea story za eti US na NATO wamekiri Ukraine hataweza kuyakomboa yale majimbo. Imgekuwa hivyo vita si ingeshaisha?
Hata hawatumii akili kujiuliza ni nini kiliwatokea Russia wakati walishaingia hadi Kyiv na walikua ni kama wameishakamata nchi yote lakini sasa hivi wamebaki kule pembezoni
 
Nakumbuka bado maneno ya Al Sahhaf na propaganda zake ni kama hizi tu
 
Kyiv ilikuwa zuga babu kubwa na NATO ikaingia mkenge nguvu zote kuweka kyiv, kumbe mzee baba alikuwa ana maeneo yake tayari
 





 
Acheni propoganda zisizo na ukweli. Hakuna CIC yeyote anaweza kufanya huo ujinga
 
Labda mjitolee mkaisadie Urusi, kunao Watanzania wanafia huko kama yule wa juzi....takbirr
Takbir.....[emoji110][emoji110][emoji109] walahi hatu hatukubali
 
Supa-pawa wa mchongo alifanya mobilisation ya makuruta 300,000, wapo wapi hao ?
 
ni suala la muda tu lazima ukraine itakuwa chini ya utawala wa Moscow
mrusi alimsaidia idi amini kwa kumuuzia ndege vita na kutupa masharti magumu tulipo muomba atuuzie heat seaking missiles ambazo zilituishia!
Kukosa Hekima ya nyerere Kuomba msaada wa Anti aircraft Missiles Msumbiji na Algeria na kutusaidia amini angeendelea kutamba mwanza na vita ingekuwa endelevu na kuwa fursa kwa mrusi ili ku–balance vita ili Iwe fursa ya kuuza silaha [emoji56][emoji15]
Tatizo ww inawezekana ulikuwa bado unanyonya hujui uchungu na athari za [emoji12]
 
Mbona Putin kafanya ?
Ushahidi?Mmeanza zile zile propaganda mfu za Toka last year!Urusi kaishiwa chakula,mara kaishiwa silaha,mara baada ya Miezi sitq hataweza kuendesha vita na nyingine kibao!
Sasa tunaambiwa Urusi kaishiwa askari,si mkomboe maeneo period!
 
Ushahidi?Mmeanza zile zile propaganda mfu za Toka last year!Urusi kaishiwa chakula,mara kaishiwa silaha,mara baada ya Miezi sitq hataweza kuendesha vita na nyingine kibao!
Sasa tunaambiwa Urusi kaishiwa askari,si mkomboe maeneo period!
Unahitaji ushahidi gani tena wakati habari inajieleza kabisa ?.....
 
Halafu katumia nguvu nyingi kugombania kamji ka watu 10,000 kapoteza wanajeshi mara mbili ya hiyo, kamji kenyewe shughuli zake ni uzalishaji wa chumvi.
Huo mji ukidakwa utasababisha counter attack ya Ukraine kuwa ngumu.
 
Unahitaji ushahidi gani tena wakati habari inajieleza kabisa ?.....
Ndio nasema Mmeanza zilezile propaganda mfu ambazo nimezitaja hapo juu!Nazo pia zilikuwa zinakuja Kwa style hii kama habari ila kumbe ni mtu kakaaa tu huko kajisikia kuandika anachilojisikia!
Kwahiyo Russia kaishiwa askari😃😃😃😃
 
Kitu ambacho Russia yafaa wafahamu ni kwamba wasifikiri kwamba watachukua ardhi yoyote ya Ukraine na kuikalia halafu eti iwe mwisho wa vita, hiyo wasahau kabisa.

Na kwa kuwa nchi yao ni maskini inayozidiwa kiuchumi hata na jimbo moja tu la Marekani hawataweza kuyalinda hayo maeneo kwani na uchumi wao utakuwa umeporomoka kabisa. Time will tell.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…