Urusi imeishiwa wanajeshi hadi inarejesha vitani waliojeruhiwa na kupewa likizo

Kitu ambacho Russia yafaa wafahamu ni kwamba wasifikiri kwamba watachukua ardhi yoyote ya Ukraine na kuikalia halafu eti iwe mwisho wa vita, hiyo wasahau kabisa.

Na kwa kuwa nchi yao ni maskini inayozidiwa kiuchumi hata na jimbo moja tu la Marekani hawataweza kuyalinda hayo maeneo kwani na uchumi wao utakuwa umeporomoka kabisa. Time will tell.
Wasahau wasahau wasahau nguvu ya mtu hailiwi!
Muda utasema!
 
Puttin atahara cheche na mharo mwembamba
Kurudisha askari na kuwapa likizo ni kuishiwa au ndio kinyume chake.Tungesema hivyo kama waliojeruhiwa wanalazimishwa kupigana na madonda yao.
 
Kitu ambacho Russia yafaa wafahamu ni kwamba wasifikiri kwamba watachukua ardhi yoyote ya Ukraine na kuikalia halafu eti iwe mwisho wa vita, hiyo wasahau kabisa.

Na kwa kuwa nchi yao ni maskini inayozidiwa kiuchumi hata na jimbo moja tu la Marekani hawataweza kuyalinda hayo maeneo kwani na uchumi wao utakuwa umeporomoka kabisa. Time will tell.
Eti Russia ni nchi masikini,kasome kwanini Russia Ilikuwa G8 na kwanini iliondolewa iliondolewa!
Upeo wako mdogo,kwamba reference ya utajiri na umasikini ni Jimbo la Marekani😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆!
 
Potentially Russia is a rich country but with its wealth in natural resources and the fertile land, the country has nothing to show in development terms.

Poor infrastructure and the widespread poverty are the key features defining the country's diverse landscape leaving only few elites like dictator Putin and his henchmen to enjoy the country's massive wealth.

Today when the Kremlin regime is fighting an expensive and a foolish war in Ukraine, a population of about one in fifth of Russians live in abject penury.

But in a country in which political propaganda is among the regime's top core values of governance since the reign of the first communist despot the late Vladimir Lenin, it won't be easy for the poorly informed people of Russia to realize that the senseless war their government is currently waging in Ukraine will be a catalyst toward exacerbating their economic predicament and only time will tell.
 
Muda upi?
Unaongelea swala muda huku all the means zinaonekana kushindwa kufanya kazi? Na kadili huo muda unavyoenda anaishiwa mbinu na uwezo?
Hizo ni propaganda zinatengenezwa za vita ila uhalisia wa mambo ni kwa ukraine kutegemea support kwa marekani na washirika wake ambao mpaka sasa hivi nao wameshaona kabisa wanajiingiza hasara kugawa silaha kwa taifa linalozidiwa kimaaraifa na urussi. NB: Vladimir Putin ni jasusi mbaya sana ktk historia ya nchi ya urussi, na hadi sasa mataifa ya ulaya na marekani yameiogopa urussi kwa kufanya mashambulizi ya moja kwa moja kutokana na intelijensia ya urussi kuwa imara..ktk vita yoyote mashambulizi ya kushtukiza yapo na yanapoteza askari wengi hii inatokea kwa pande zote mbili. Rais wa urussi alinukuliwa akisema yupo ktk operation ya kijeshi nchini ukraine bado hajaanzisha vita kamili hivyo mataifa ya ulaya ya washirika wajiangalie katika hili.
 
Hizi story nilikua nazisikia sana kuna mtu akisimulia pale maeneo ya Tandika Kaburi moja, sema nilikua sijajua kuwa yule jamaa msimuliaji ni wewe na tupo wote hama JF😅😅

Jasusi mmoja hatari sana😅😅
 
Wagner ilikuwa na wanajeshi 50,000
Hadi sasa wamebakia chini ya 10,000

Hao wengine ni maiti, majeruhi
 
Kwahiyo dah wanajeshi 10000 tu wanateka miji huko kila siku

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
kwanini wasiteke kama mji wenyewe ulikua unalundwa na mgambo kama 300 tu? Kwa kuingia ule mji wala siyo big deal, na kwa vile Wagner walitaka kuandikisha fanikio lao la kwanza ili thamani yao ipande ndiyo maana makelele yakapigwa kila kona kwa style zote. Wagner wenyewe sasa hivi hawaelewani na Jeshi la Russia kiasi cha kunyimwa silaha na wao kuamua kununua kutoka North Korea
 
PUTIN Alifanya hesabu ya kifala sana kwenye kuivamia UKRAINE [emoji1255]
 
Potentially Russia is a rich country but with its wealth in natural resources and the fertile land, the country has nothing to show in development terms.

Poor infrastructure and the widespread poverty are the key features defining the country's diverse landscape leaving only few elites like dictator Putin and his henchmen to enjoy the country's massive wealth.

Today when the Kremlin regime is fighting an expensive and a foolish war in Ukraine, a population of about one in fifth of Russians live in abject penury.

But in a country in which political propaganda is among the regime's top core values of governance since the reign of the first communist despot the late Vladimir Lenin, it won't be easy for the poorly informed people of Russia to realize that the senseless war their government is currently waging in Ukraine will be a catalyst toward exacerbating their economic predicament and only time will tell.
Source:West media!
Hivi unategemea media za west ziiseme Urusi Kwa zuri lipi?
Walianza na Urusi hawezi pigana hiyo vita Kwa Miezi sita,mara kaishiwa silaha,mara kaishiwa chakula!Propaganda tu zimezidi mpaka watu wakazichoka hizo media Kwa kuziona sio reliable source!
Mpaka Sasa uchumi wa nchi nyingi za west umetetereka Kwa sanctions walizomuwekea wenyewe Russia!
Kwahiyo endeleeni na hizo propaganda zenu hewa na time will tell kama ambavyo muda umeshawaumbua Kwa mengine mengi niliyotaja hapo juu!
 
kwanini wasiteke kama mji wenyewe ulikua unalundwa na mgambo kama 300 tu? Kwa kuingia ule mji wala siyo big deal, na kwa vile Wagner walitaka kuandikisha fanikio lao la kwanza ili thamani yao ipande ndiyo maana makelele yakapigwa kila kona kwa style zote. Wagner wenyewe sasa hivi hawaelewani na Jeshi la Russia kiasi cha kunyimwa silaha na wao kuamua kununua kutoka North Korea
Mbona ajateka mji mmoja tu mkuu
Vipi kuhusu mji wa soledar ulikuwa na mgambo 300 tu na mpaka sasa vijiji vingi vina pepea bendera ya urusi huko Ukrein

Au tunapenda sana kuangalia data za kupikwa kuliko kuangalia uhalisia wenyewe.

Back
Top Bottom