Urusi imeishiwa wanajeshi hadi inarejesha vitani waliojeruhiwa na kupewa likizo

Urusi imeishiwa wanajeshi hadi inarejesha vitani waliojeruhiwa na kupewa likizo

Ushahidi?Mmeanza zile zile propaganda mfu za Toka last year!Urusi kaishiwa chakula,mara kaishiwa silaha,mara baada ya Miezi sitq hataweza kuendesha vita na nyingine kibao!
Sasa tunaambiwa Urusi kaishiwa askari,si mkomboe maeneo period!
Halafu eti source ni independent Russian news outlets. Yaani ni propaganda na udaku wa kwenye mitandao ndo analeta kama source. Poor Kenyan MK254 . Naona timu NATO Proved nae akijiliwaza eti Urusi kaishiwa kwa source ya udaku
 
Potentially Russia is a rich country but with its wealth in natural resources and the fertile land, the country has nothing to show in development terms.

Poor infrastructure and the widespread poverty are the key features defining the country's diverse landscape leaving only few elites like dictator Putin and his henchmen to enjoy the country's massive wealth.

Today when the Kremlin regime is fighting an expensive and a foolish war in Ukraine, a population of about one in fifth of Russians live in abject penury.

But in a country in which political propaganda is among the regime's top core values of governance since the reign of the first communist despot the late Vladimir Lenin, it won't be easy for the poorly informed people of Russia to realize that the senseless war their government is currently waging in Ukraine will be a catalyst toward exacerbating their economic predicament and only time will tell.
Kwahiyo kwa akili yako ni kwamba ukiwa na natural resources umekuwa nchi tajiri!!! Ingekuwa hivyo DRC ingekuwa nchi tajiri Afrika kama siyo ulimwenguni.
Kwa taarifa yako Russia ni nchi ya 12 kiuchumi na maendeleo duniani, na ni kati ya nchi nane zilizo na maendeleo makubwa ya kiviwanda. Halafu we umekaa hapo Nyamalembo unaleta propaganda mfu, eti nothing to show in development.
 
ety puttini kaishiwa wanajeshi, sijui ana mpango ghani 😂😂😂
 
Ndivyo walivyokwambia hivyo? Unafikiri Ukraine anavyopigana kuyagomboa ni fala? Si wangeyaachia waendelee na mambo mengine!
Kuna wenye masrahi na hii Vita . Mfano Uchina, Urusi, Iran, US, wanafanya biashara kubwa ya siraha na nishati kwa pesa za ndani.
 
Kyiv ilikuwa zuga babu kubwa na NATO ikaingia mkenge nguvu zote kuweka kyiv, kumbe mzee baba alikuwa ana maeneo yake tayari
Hizo ni strategies za kivita. Urusi ilitaka Majimbo 5 tu kwa ajili ya Uchumi wake including SOLEDAR. Ardhi haitaji mbolea, Viwanda vya kemikari, machimbo ya chunvi, vinu vya Nuklia, Madini na mitambo ya Madini ya Chuma n.k.
 
Ndio nasema Mmeanza zilezile propaganda mfu ambazo nimezitaja hapo juu!Nazo pia zilikuwa zinakuja Kwa style hii kama habari ila kumbe ni mtu kakaaa tu huko kajisikia kuandika anachilojisikia!
Kwahiyo Russia kaishiwa askari[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Utaweza basi!
 
Kitu ambacho Russia yafaa wafahamu ni kwamba wasifikiri kwamba watachukua ardhi yoyote ya Ukraine na kuikalia halafu eti iwe mwisho wa vita, hiyo wasahau kabisa.

Na kwa kuwa nchi yao ni maskini inayozidiwa kiuchumi hata na jimbo moja tu la Marekani hawataweza kuyalinda hayo maeneo kwani na uchumi wao utakuwa umeporomoka kabisa. Time will tell.
Pole sana.malighafi zitakazo ktk hayo majimbo zitajipigania zenyewe
 
Mbona ajateka mji mmoja tu mkuu
Vipi kuhusu mji wa soledar ulikuwa na mgambo 300 tu na mpaka sasa vijiji vingi vina pepea bendera ya urusi huko Ukrein

Au tunapenda sana kuangalia data za kupikwa kuliko kuangalia uhalisia wenyewe.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Unayaelewa vizuri haya maeneo ambako vita inapiganwa? Huko kulikuwepo na vita hata kabla, huko ni miongoni mwa majimbo ambayo Russia amekua akipandikiza mamluki mida tu ili wadai kujitenga.
 
Kuna wenye masrahi na hii Vita . Mfano Uchina, Urusi, Iran, US, wanafanya biashara kubwa ya siraha na nishati kwa pesa za ndani.
Sasa kama wana hiyo maslahu kwanini US na NATO wakakupigia simu wewe kukwambia kuwa hiyo vita wanajua kamwe hawatashinda? Na walikupigia wewe kukwambia hivyo ili uwasaidie nini?
 
Halafu eti source ni independent Russian news outlets. Yaani ni propaganda na udaku wa kwenye mitandao ndo analeta kama source. Poor Kenyan MK254 . Naona timu NATO Proved nae akijiliwaza eti Urusi kaishiwa kwa source ya udaku
Wanatumia hivyo vibwagizo kujipa faraja ila ni useless!Ipo siku tutafufua nyuzi zao na hawataamini!
 
Halafu eti source ni independent Russian news outlets. Yaani ni propaganda na udaku wa kwenye mitandao ndo analeta kama source. Poor Kenyan MK254 . Naona timu NATO Proved nae akijiliwaza eti Urusi kaishiwa kwa source ya udaku

hehehe Ukraine walianza kufukuzia Warusi kuanzia Kyev, kila siku mlikua mnasema propaganda, leo mwaka mmoja baadaye mnagombea kamji ka chumvi bado mnasema propaganda....mpaka mtakoma aisei takbirr
 
hehehe Ukraine walianza kufukuzia Warusi kuanzia Kyev, kila siku mlikua mnasema propaganda, leo mwaka mmoja baadaye mnagombea kamji ka chumvi bado mnasema propaganda....mpaka mtakoma aisei takbirr
Habari za Urusi siyo saizi yako, zimekuzidi sana. Nakushauri tu kapambanie kombe pale Migingo Island kabla Gen. Muhozi Kainerugaba hajakiwasha mpaka Nairobi.
 
Habari za Urusi siyo saizi yako, zimekuzidi sana. Nakushauri tu kapambanie kombe pale Migingo Island kabla Gen. Muhozi Kainerugaba hajakiwasha mpaka Nairobi.

kwamba wameiteka Kyev ndani ya wiki moja....mpaka mtakoma takbirr
 
Back
Top Bottom