Wasahau wasahau wasahau nguvu ya mtu hailiwi!Kitu ambacho Russia yafaa wafahamu ni kwamba wasifikiri kwamba watachukua ardhi yoyote ya Ukraine na kuikalia halafu eti iwe mwisho wa vita, hiyo wasahau kabisa.
Na kwa kuwa nchi yao ni maskini inayozidiwa kiuchumi hata na jimbo moja tu la Marekani hawataweza kuyalinda hayo maeneo kwani na uchumi wao utakuwa umeporomoka kabisa. Time will tell.
Kwa akili ya huyo anafikiri hao majenerali ni kama manabii hivi au miungu.Ndivyo walivyokwambia hivyo? Unafikiri Ukraine anavyopigana kuyagomboa ni fala? Si wangeyaachia waendelee na mambo mengine!
We kweli upinde,, sasa takbir na vita ya Ukraine/Russia wapi na wapiTakbir.....[emoji110][emoji110][emoji109] walahi hatu hatukubali
takbirrrrrr...Walahi hatukubaliiiiWe kweli upinde,, sasa takbir na vita ya Ukraine/Russia wapi na wapi
Kurudisha askari na kuwapa likizo ni kuishiwa au ndio kinyume chake.Tungesema hivyo kama waliojeruhiwa wanalazimishwa kupigana na madonda yao.Puttin atahara cheche na mharo mwembamba
Eti Russia ni nchi masikini,kasome kwanini Russia Ilikuwa G8 na kwanini iliondolewa iliondolewa!Kitu ambacho Russia yafaa wafahamu ni kwamba wasifikiri kwamba watachukua ardhi yoyote ya Ukraine na kuikalia halafu eti iwe mwisho wa vita, hiyo wasahau kabisa.
Na kwa kuwa nchi yao ni maskini inayozidiwa kiuchumi hata na jimbo moja tu la Marekani hawataweza kuyalinda hayo maeneo kwani na uchumi wao utakuwa umeporomoka kabisa. Time will tell.
Wewe hata ukila imaelekea unamalizia na takbiiir, unasalimiwa na Mizimu ya babu zangu.Hivyo niseme nini au nitumie akbar akbar!!! Hehehe Waarabu wa Bongo bana....
Haleloyaaaa na mbengo zikafongokee!! Chioni ya leooooooo, abrakatatumbaa abaaa abaaaaa abaaaaaaaaaatakbirrrrrr...Walahi hatukubaliiii
Potentially Russia is a rich country but with its wealth in natural resources and the fertile land, the country has nothing to show in development terms.Eti Russia ni nchi masikini,kasome kwanini Russia Ilikuwa G8 na kwanini iliondolewa iliondolewa!
Upeo wako mdogo,kwamba reference ya utajiri na umasikini ni Jimbo la Marekani😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆!
Hizo ni propaganda zinatengenezwa za vita ila uhalisia wa mambo ni kwa ukraine kutegemea support kwa marekani na washirika wake ambao mpaka sasa hivi nao wameshaona kabisa wanajiingiza hasara kugawa silaha kwa taifa linalozidiwa kimaaraifa na urussi. NB: Vladimir Putin ni jasusi mbaya sana ktk historia ya nchi ya urussi, na hadi sasa mataifa ya ulaya na marekani yameiogopa urussi kwa kufanya mashambulizi ya moja kwa moja kutokana na intelijensia ya urussi kuwa imara..ktk vita yoyote mashambulizi ya kushtukiza yapo na yanapoteza askari wengi hii inatokea kwa pande zote mbili. Rais wa urussi alinukuliwa akisema yupo ktk operation ya kijeshi nchini ukraine bado hajaanzisha vita kamili hivyo mataifa ya ulaya ya washirika wajiangalie katika hili.Muda upi?
Unaongelea swala muda huku all the means zinaonekana kushindwa kufanya kazi? Na kadili huo muda unavyoenda anaishiwa mbinu na uwezo?
Hizi story nilikua nazisikia sana kuna mtu akisimulia pale maeneo ya Tandika Kaburi moja, sema nilikua sijajua kuwa yule jamaa msimuliaji ni wewe na tupo wote hama JF😅😅Hizo ni propaganda zinatengenezwa za vita ila uhalisia wa mambo ni kwa ukraine kutegemea support kwa marekani na washirika wake ambao mpaka sasa hivi nao wameshaona kabisa wanajiingiza hasara kugawa silaha kwa taifa linalozidiwa kimaaraifa na urussi. NB: Vladimir Putin ni jasusi mbaya sana ktk historia ya nchi ya urussi, na hadi sasa mataifa ya ulaya na marekani yameiogopa urussi kwa kufanya mashambulizi ya moja kwa moja kutokana na intelijensia ya urussi kuwa imara..ktk vita yoyote mashambulizi ya kushtukiza yapo na yanapoteza askari wengi hii inatokea kwa pande zote mbili. Rais wa urussi alinukuliwa akisema yupo ktk operation ya kijeshi nchini ukraine bado hajaanzisha vita kamili hivyo mataifa ya ulaya ya washirika wajiangalie katika hili.
Kwahiyo dah wanajeshi 10000 tu wanateka miji huko kila sikuWagner ilikuwa na wanajeshi 50,000
Hadi sasa wamebakia chini ya 10,000
Hao wengine ni maiti, majeruhi
kwanini wasiteke kama mji wenyewe ulikua unalundwa na mgambo kama 300 tu? Kwa kuingia ule mji wala siyo big deal, na kwa vile Wagner walitaka kuandikisha fanikio lao la kwanza ili thamani yao ipande ndiyo maana makelele yakapigwa kila kona kwa style zote. Wagner wenyewe sasa hivi hawaelewani na Jeshi la Russia kiasi cha kunyimwa silaha na wao kuamua kununua kutoka North KoreaKwahiyo dah wanajeshi 10000 tu wanateka miji huko kila siku
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Source:West media!Potentially Russia is a rich country but with its wealth in natural resources and the fertile land, the country has nothing to show in development terms.
Poor infrastructure and the widespread poverty are the key features defining the country's diverse landscape leaving only few elites like dictator Putin and his henchmen to enjoy the country's massive wealth.
Today when the Kremlin regime is fighting an expensive and a foolish war in Ukraine, a population of about one in fifth of Russians live in abject penury.
But in a country in which political propaganda is among the regime's top core values of governance since the reign of the first communist despot the late Vladimir Lenin, it won't be easy for the poorly informed people of Russia to realize that the senseless war their government is currently waging in Ukraine will be a catalyst toward exacerbating their economic predicament and only time will tell.
Na akili zako timamu kabisa unaamini Urusi kaishiwa askari?Wakati Huo Huo Ukraine anazidi kurudishwq nyuma,aiseee za kuambiwa changanya na zako!PUTIN Alifanya hesabu ya kifala sana kwenye kuivamia UKRAINE [emoji1255]
Na iwe hivyo time will tell us,muda hauna unafikini suala la muda tu lazima ukraine itakuwa chini ya utawala wa Moscow
Mbona ajateka mji mmoja tu mkuukwanini wasiteke kama mji wenyewe ulikua unalundwa na mgambo kama 300 tu? Kwa kuingia ule mji wala siyo big deal, na kwa vile Wagner walitaka kuandikisha fanikio lao la kwanza ili thamani yao ipande ndiyo maana makelele yakapigwa kila kona kwa style zote. Wagner wenyewe sasa hivi hawaelewani na Jeshi la Russia kiasi cha kunyimwa silaha na wao kuamua kununua kutoka North Korea