Urusi kaonesha mfano mbaya, Venezuela naye anafuata: Dunia inaanza kuharibika

Urusi kaonesha mfano mbaya, Venezuela naye anafuata: Dunia inaanza kuharibika

Ngoja ukuekue kidogo nitakueleza km kutakuwa hakujatokea mwingine wa kukuelezea kwa namna ambayo siyo ya kishaabiki.
Sawa nitakusubiri unieleze; ila usije niambia propaganda eti sababu yake ni NATO kukaribia mipaka yake. Kwa nini aivamie Ukraine kwa kuogopa NATO ilhali kule Mashariki amepakana na Marekani moja kwa moja na hawahi kulalamikia ukaribu huo?
 
Tangu UN ianze, Marekani haijawahi kukamata ardhi ya nchi ambayo mipaka yake inatambuliwa na UN ikaibadilisha kwa nguvu ili ardhi ile iwe mali ya US. Uanzishwaji wa UN ilikuwa ni kufanya dunia iwe sehemu ya haki na kuachana na mfumo wa ukoloni wa Berlin Conference
Wewe jamaa ni kilaza sana hvi marekani na sadamu au marekani na taleban ilikuwa kabla ya UN au
 
Wewe jamaa ni kilaza sana hvi marekani na sadamu au marekani na taleban ilikuwa kabla ya UN au
Wewe ndiye kilaza kwani umeshindwa kutofautisha kati ya vita ya regime change na hii vita ninayolalamikia ya kujichukulia ardhi ya nchi nyingine na kubadilisha mipaka ya nchi. Zote ni vita mbaya lakini hili la kujichukulia ardhi ya nchi nyingine ni baya zaidi. US iliondoa utawala wa Saddam ikaacha utawala wa Jalal Talabani ambaye ni raia wa Iraq na mipaka ya Iraq ilibaki ile ile. Baada ya Hapo Iraq wamekuwa wanajichaguliwa viongozi wao wenyewe.
 
Jua kusama vizuri, post hiyo ilisema "Tanzania ya leo" ikiwa na maana ya kuwa kabla ya "Tanzania ye leo" kuwapo. Elimu ni kitu cha muhimu sana.
Hauja jibu swali badala yake umeleta blabla na kujiona mwenye Elimu,kumbe hata kung'amua swali umeshindwa.

Pia uwe una edit post zako kabla ya kutuma.
Kusama ndo nini ? Alafu unajigamba kuwa na Elimu[emoji3]
 
Haya umeshinda; furahi.
 
Back
Top Bottom