SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
Hawa jamaa sijui vichwani mwao wanaionaje Rwanda?Sasa Rwanda ina nini mbele ya Tanzania? Au somo la Mwakibolwa na vijana wake halikuwaingia vizuri kipindi kile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa jamaa sijui vichwani mwao wanaionaje Rwanda?Sasa Rwanda ina nini mbele ya Tanzania? Au somo la Mwakibolwa na vijana wake halikuwaingia vizuri kipindi kile
PoleUwongo
Ngoja ukuekue kidogo nitakueleza km kutakuwa hakujatokea mwingine wa kukuelezea kwa namna ambayo siyo ya kishaabiki.Usahihi wa Russia ni upi. Kumega ardhi ya Mashariki mwa Ukraine ni sahihi kweli?
Sawa nitakusubiri unieleze; ila usije niambia propaganda eti sababu yake ni NATO kukaribia mipaka yake. Kwa nini aivamie Ukraine kwa kuogopa NATO ilhali kule Mashariki amepakana na Marekani moja kwa moja na hawahi kulalamikia ukaribu huo?Ngoja ukuekue kidogo nitakueleza km kutakuwa hakujatokea mwingine wa kukuelezea kwa namna ambayo siyo ya kishaabiki.
Wewe jamaa ni kilaza sana hvi marekani na sadamu au marekani na taleban ilikuwa kabla ya UN auTangu UN ianze, Marekani haijawahi kukamata ardhi ya nchi ambayo mipaka yake inatambuliwa na UN ikaibadilisha kwa nguvu ili ardhi ile iwe mali ya US. Uanzishwaji wa UN ilikuwa ni kufanya dunia iwe sehemu ya haki na kuachana na mfumo wa ukoloni wa Berlin Conference
Wewe ndiye kilaza kwani umeshindwa kutofautisha kati ya vita ya regime change na hii vita ninayolalamikia ya kujichukulia ardhi ya nchi nyingine na kubadilisha mipaka ya nchi. Zote ni vita mbaya lakini hili la kujichukulia ardhi ya nchi nyingine ni baya zaidi. US iliondoa utawala wa Saddam ikaacha utawala wa Jalal Talabani ambaye ni raia wa Iraq na mipaka ya Iraq ilibaki ile ile. Baada ya Hapo Iraq wamekuwa wanajichaguliwa viongozi wao wenyewe.Wewe jamaa ni kilaza sana hvi marekani na sadamu au marekani na taleban ilikuwa kabla ya UN au
Hauja jibu swali badala yake umeleta blabla na kujiona mwenye Elimu,kumbe hata kung'amua swali umeshindwa.Jua kusama vizuri, post hiyo ilisema "Tanzania ya leo" ikiwa na maana ya kuwa kabla ya "Tanzania ye leo" kuwapo. Elimu ni kitu cha muhimu sana.
Haya umeshinda; furahi.Hauja jibu swali badala yake umeleta blabla na kujiona mwenye Elimu,kumbe hata kung'amua swali umeshindwa.
Pia uwe una edit post zako kabla ya kutuma.
Kusama ndo nini ? Alafu unajigamba kuwa na Elimu[emoji3]