Urusi kuangushwa na Uturuki katika Mgogoro wa Azerbaijan na Armenia. Je, huu ndio mwisho wa Urusi?

Urusi kuangushwa na Uturuki katika Mgogoro wa Azerbaijan na Armenia. Je, huu ndio mwisho wa Urusi?

Taarifa za ndani zinasema Urusi hana hiyo nguvu anayojitangaza anayo. Urusi hata kiuchumi ameanguka vibaya sana hivi.

Kuna taarifa pia hali ya Putin kiafya sio nzuri sana kwa sababu umri umemtupa sana mkono na hapo ndo urusi inaonekana haiwezi tena kuwa stable kwa sababu siku zote imekuwa ikitegemea watu strong kuliko taasisi imara kama ilivyo Marekani.

Uturuki kwa sasa ni moja ya nchi inayozalisha silaha za kisasa na kuziuza nchi mbalimbali duniani na ni moja ya nchi iliyowekeza sana kwenye tafiti za kiteknolojia.

Kuna uwezekano kwa uimara wa NATO, Magharibi wakaruhusu Uturuki iwe among super powers ili kudhibiti na kuimaliza kabisa Urusi
Alikufa Josef Stalin aliyedumu miaka kibao na alikuwa mgumu zaidi ya Putin. Kina Lavlentiy Beria wakabishania uongozi mpaka wakauana lakini cha ajabu aliyetokea akawa mbogo kuliko maelezo sembuse kwa Putin era sahivi.

Unajua mtiti aliokuwa nao Nikita Kruschev ambaye NATO waliamini atakuwa mlenda kisa mkorofi Stalin kafa.

Putin hapigani wala akifa ghala za silaha haziungui.
 
Kwani wewe hujui?? Hujui kuwa Urusi ana military base Armenia???
Kuwa na military base na kupigana ni vitu viwili tofauti kabisa. Kwanza kuna mikataba tofauti kila base. Kwa hiyo kwa vile Kenya ina base ya US na UK tukipigana nayo directly tunatangaza vita na Marekani na Uingereza?

Kwanza unatakiwa utambue Russia ni chairman wa OSCE peace deal iliyomaliza mapigano miaka ya 1990s. Utakuaje refa alafu mchezaji wa timu. Peace deal imesainiwa na Russia akiwa msimamizi ndio maana ametoa wanajeshi wakalinde kutekelezwa.

Hata US alisaini nao ceasefire ila kesho yake wakapigana. Ndio maana wamesaini mbele ya Putin na leo hii siku ya tatu watu wanaondoka na vita imeisha. Hakuna nchi ingezuia hii vita isipokuwa Russia ikubali. Angewasainisha wakati anaegemea Armenia unadhani Azerbaijan wangeshiriki.
 
Nimekubali uchambuzi wako ndugu. Ila ukweli ni kuwa Russia alijaribu kumsaidia Armenia kwenye hii vita ila amezidiwa mbinu na Uturuki.

Ni kweli pia Russia anawauzia pia silaha wote Armenia na Azerbaijan ila advantage kubwa aliyokuwa nayo Azerbaijan ni kuwa anapewa silaha za kisasa pia na uturuki ambaye kwenye soko la silaha ameonekana anatengeneza silaha za kisasa zaidi ya hata China.

Kumbuka pia kwenye mgogoro wa mwanzo, Armenia alimshinda Azerbaijan na ndo mana jimbo la Nagorno Karabakh lilikuwa chini ya Armenia kipindi chote.
Aliyeshinda vita ni Azerbaijan wala sio Turkey. Azeri wana bajeti ya jeshi mara 5 ya Armenia, wana population karibia mara tatu, wana wanajeshi zaidi ya mara mbili wana uchumi karibia mara tatu. Sasa Armenia ingeanzaje kuwashinda...
 
Taarifa za ndani zinasema Urusi hana hiyo nguvu anayojitangaza anayo. Urusi hata kiuchumi ameanguka vibaya sana hivi..
Mrusi ana maslahi pande zote 2 Armenia na Azerbaijan....kiuchumi na kijeshi.........Mrusi aliingia mkataba wa kuilinda Armenia ila ni katika ile mipaka yake halali tu huku kwingine ambapo Armenia alimega ardhi ya wengine huo mkataba haufanyi kazi ndo maana mrusi alimuacha tu hapo Nagorno jamaa achapike maana kule kivita Armenia anajitegemea ila vita ingeingia kwenye mipaka halali ya Armenia Mrusi angeingilia kwa sababu tayari ana mkataba wa kuilinda Armenia
 
Kwani wewe hujui?? Hujui kuwa Urusi ana military base Armenia???
Urusi ana mkataba wa kuilinda Armenia ila ni katika ile mipaka inayotambulika kimataifa. Nagorno inaeleweka ni eneo la Azerbaijan Mrusi asingeweza kufanya kitu huko ilibidi wa Armenia wapambane kivyao mkataba wa Mrusi hauhusiani na maeneo ambayo yapo disputed na nchi nyingine
 
Nimekubali uchambuzi wako ndugu. Ila ukweli ni kuwa Russia alijaribu kumsaidia Armenia kwenye hii vita ila amezidiwa mbinu na Uturuki...
Mgogoro wa mwanzo Russia aliuza zaidi silaha kwa Armenia. Kile ni kipindi ambacho makampuni ya silaha ya Russia yalimuuzia yeyote yule silaha bila kujari uhusiano wake na taifa lao kwa sababu za kiuchumi. Yani hata NATO wangetaka wangenunua silaha za Russia kipindi kile.

Armenia alisaidiwa na Nagorno-Kabarakh iliyosema inajitenga. Yani ni kama Azerbaijan ilikuwa inapigana na nchi mbili tena ugomvi ni wa kijamii. Leo hii Azeri walijua wanaenda pigana na nchi mbili wakajipanga.

Mwaka 1994 Azerbaijan alipewa support zaidi na Russia kuliko Russia alivyompa support Armenia. Mwaka huu hajatoa kwa yeyote.
Hata Turkey alitoa msaada kwa sababu zingine ila leo hii wanasema Turkey anamuunga mkono Azeri kwa ili alete makampuni yake kuchimba gesi ndio maana anapigana kufa na kupona, the same scenario na Libya.

Azerbaijan ana mafuta thats why ananunua silaha za kisasa na za bei mbaya. Vilevile ana advantage ya kusema alionewa hivo anarudisha eneo lake. Kuanza kupigana naye na alivyo determined ni kazi isiyo ya lazima ata kama inawezekana.
 
Mrusi ana maslahi pande zote 2 Armenia na Azerbaijan....kiuchumi na kijeshi. Mrusi aliingia mkataba wa kuilinda Armenia ila ni katika ile mipaka yake halali tu huku kwingine ambapo Armenia alimega ardhi ya wengine huo mkataba haufanyi kazi ndo maana mrusi alimuacha tu hapo Nagorno jamaa achapike maana kule kivita Armenia anajitegemea ila vita ingeingia kwenye mipaka halali ya Armenia Mrusi angeingilia kwa sababu tayari ana mkataba wa kuilinda Armenia
Kwa kifupi maelezo yako sahihi kabisa ni kuwa: Vita ilikuwa inafanyika kwenye ardhi ya Azerbaijan inayojiita Nagorno-Kabarakh ila Armenia alikuwa anasaidia kupigana kwenye eneo lisilo lake.

Mara nyingi mikataba ya ulinzi haihusiki ukivamia wewe.
 
Kuwa na military base na kupigana ni vitu viwili tofauti kabisa. Kwanza kuna mikataba tofauti kila base. Kwa hiyo kwa vile Kenya ina base ya US na UK tukipigana nayo directly tunatangaza vita na Marekani na Uingereza?...
Na ambacho ajui ni kwamba masilahi ya Urusi kwa Azabeijan ni makubwa sana na muhimu kuliko Armenia,mimi ninacho kiona Urusi ineweka ukaribu na Armenia kwa sababu tu ni majirani na hataki Marekani aitumie kuweka kambi zake,ila tofauti na hapo Armenia hana faida nyingine kwa Russia.
 
Urusi ana mkataba wa kuilinda Armenia ila ni katika ile mipaka inayotambulika kimataifa.....Nagorno inaeleweka ni eneo la Azerbaijan Mrusi asingeweza kufanya kitu huko ilibidi wa Armenia wapambane kivyao mkataba wa Mrusi hauhusiani na maeneo ambayo yapo disputed na nchi nyingine
Mfano rahisi ni Uturuki Ilipo ivamia Syria alipigwa lakini hakupata msaada wowote kutoka Nato kwa sababu alishambuliwa akiwa nje ya mipaka yake.

Lakini ukishambulia ndani ya mpaka ya Uturuki ndio utakiona cha mtema kuni.
 
Na ambacho ajui ni kwamba masilahi ya Urusi kwa Azabeijan ni makubwa sana na muhimu kuliko Armenia,mimi ninacho kiona Urusi ineweka ukaribu na Armenia kwa sababu tu ni majirani na hataki Marekani aitumie kuweka kambi zake,ila tofauti na hapo Armenia hana faida nyingine kwa Russia.
Russia hawezi kubali jirani yake yeyote awe na vikosi vipya vya NATO au US. Wakikaza shingo ndio tunakuwa na Southern Ossetia au Donbass nyingine.
 
Urusi imebaki HISTORIA...

Walishindwa na TALIBAN waliowezeshwa na rafiki zetu kipenzi US kipindi kile vita ya MUJAHIDEEN kule Kandahar.....

Warusi walifurushwa mbio na TALIBAN....

UTURUKI iko NATO...nyuma yake kuna nguvu kubwa na bora zaidi ya wale WAKOMUNISTI WA MOSCOW....

Imeisha hiyo.....
 
Urusi imebaki HISTORIA...

Walishindwa na TALIBAN waliowezeshwa na rafiki zetu kipenzi US kipindi kile vita ya MUJAHIDEEN kule Kandahar.....

Warusi walifurushwa mbio na TALIBAN....

UTURUKI iko NATO...nyuma yake kuna nguvu kubwa na bora zaidi ya wale WAKOMUNISTI WA MOSCOW....

Imeisha hiyo.....

Wewe unaonekana unaongea kimapenzi zaidi na si uelewa wa jambo lilivyo maana ukija kwenye ukweli wa mambo kwa hapa Duniani hakuna wa kumtisha Urusi kwa sasa.......

Mturuki ni mtoto mdogo sana kwenye uwanja wa vita wala hana kitu chochote kile cha kufanya Mrusi hamugope.Au umesahau huyo Raisi wenu amesaidiwa na Warusi, pasipo msaada wa Warusi Erdogan tusingemsikia tena kwenye madaraka aliyokuwa nayo.......

Mrusi uwa akiamua jambo lake uwa hakuna wa kumrudisha nyumba ndugu.Uturuki hii iliyopigwa na Jeshi la Assad leo hii upambanishe na Urusi, si utakuwa unaleta utani ndugu.wiki 1 tu Putin atakuwa kashafika Instabul anakunywa kahawa........

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Wewe unaonekana unaongea kimapenzi zaidi na si uelewa wa jambo lilivyo maana ukija kwenye ukweli wa mambo kwa hapa Duniani hakuna wa kumtisha Urusi kwa sasa.
Mturuki ni mtoto mdogo sana kwenye uwanja wa vita wala hana kitu chochote kile cha kufanya Mrusi hamugope.Au umesahau huyo Raisi wenu amesaidiwa na Warusi, pasipo msaada wa Warusi Erdogan tusingemsikia tena kwenye madaraka aliyokuwa nayo.

Mrusi uwa akiamua jambo lake uwa hakuna wa kumrudisha nyumba ndugu.Uturuki hii iliyopigwa na Jeshi la Assad leo hii upambanishe na Urusi, si utakuwa unaleta utani ndugu.wiki 1 tu Putin atakuwa kashafika Instabul anakunywa kahawa.

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Sawa....

Putin hana uwezo wa kupambana na NATO....

Mweupe Sana kwa NATO...

Labda awapige WAARABU......

WAKOMUNISTI hawana uwezo wa kupambana na marafiki wa US....

Sasa Kama usemayo ni kweli....mbona ameshindwa kumsaidia ARMENIA?!!!

Kule Libya...Urusi ilikuwa ni kinyume na Upande wa UTURUKI...vipi MAKOMUNISTI yalifanikiwa nako?!!!
 
Sawa....

Putin hana uwezo was kupambana na NATO....

Mweupe Sana kwa NATO...

Labda awapige WAARABU......

WAKOMUNISTI hawana uwezo wa kupambana na marafiki wa US....
Yani sio Nato peke yake + Marekani na bado wataomba poo ndugu.

Urusi kwenye mambo ya kijeshi wapo level nyingine ndugu.Acha kabisa utani nao



Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Yani sio Nato peke yake + Marekani na bado wataomba poo ndugu.

Urusi kwenye mambo ya kijeshi wapo level nyingine ndugu.Acha kabisa utani nao



Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Hao America ndio uwatoe kabisaaa....

Yaani US MAGNIFIENCY unapambanisha na Utopolo wa kikomunisti?!!!!!!

Urusi ya zamani kabla haijagawanyika ndiyo iliyokuwa na nguvu...kipindi kile JESHI JEKUNDU(RED ARMY) ndio walioweza kuingia kwanza BERLIN kumchakaza HITLER kabla ya US waliopitia NORMANDY....si warusi Hawa....si maOLIGARCH Hawa wanaoongozwa na MBWEKAJI PUTIN....

Long live NATO...
Long live US....
Long live MAGUFULI...
 
Hao America ndio uwatoe kabisaaa....

Yaani US MAGNIFIENCY unapambanisha na Utopolo wa kikomunisti?!!!!!!

Urusi ya zamani kabla haijagawanyika ndiyo iliyokuwa na nguvu...kipindi kile JESHI JEKUNDU(RED ARMY) ndio walioweza kuingia kwanza BERLIN kumchakaza HITLER kabla ya US waliopitia NORMANDY....si warusi Hawa....si maOLIGARCH Hawa wanaoongozwa na MBWEKAJI PUTIN....

Long live NATO...
Long live US....
Long live MAGUFULI...
Nchi gani nyingine yenye nguvu unayoijua tofauti na Urusi kwenye uwo muungano uliyovunjika?.... .

Urusi alikuwa ndo kila kitu kwenye uwo Muungano hata silaha zote za nuclear alichukua zote yeye baada ya kuvunja muungano............




Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom