T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Alikufa Josef Stalin aliyedumu miaka kibao na alikuwa mgumu zaidi ya Putin. Kina Lavlentiy Beria wakabishania uongozi mpaka wakauana lakini cha ajabu aliyetokea akawa mbogo kuliko maelezo sembuse kwa Putin era sahivi.Taarifa za ndani zinasema Urusi hana hiyo nguvu anayojitangaza anayo. Urusi hata kiuchumi ameanguka vibaya sana hivi.
Kuna taarifa pia hali ya Putin kiafya sio nzuri sana kwa sababu umri umemtupa sana mkono na hapo ndo urusi inaonekana haiwezi tena kuwa stable kwa sababu siku zote imekuwa ikitegemea watu strong kuliko taasisi imara kama ilivyo Marekani.
Uturuki kwa sasa ni moja ya nchi inayozalisha silaha za kisasa na kuziuza nchi mbalimbali duniani na ni moja ya nchi iliyowekeza sana kwenye tafiti za kiteknolojia.
Kuna uwezekano kwa uimara wa NATO, Magharibi wakaruhusu Uturuki iwe among super powers ili kudhibiti na kuimaliza kabisa Urusi
Unajua mtiti aliokuwa nao Nikita Kruschev ambaye NATO waliamini atakuwa mlenda kisa mkorofi Stalin kafa.
Putin hapigani wala akifa ghala za silaha haziungui.