Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
We chekaa tu....ππ
Mkuu...
Tatizo hao ISLAMIC states inasemekana walikuwa FUNDED na MAKUNDI ya "wenye" uhusiano na US na marafiki zao....MAREKANI na NATO walichukua miaka zaidi ya 2 kupambana na Islamic state na bado jamaa wakawa na nguvu kila kukicha....... Ila ilimchukua URUSI miezi 6 tu Islamic state ikabaki jina tu.....
Alafu leo hii unasema URUSI na zaifu.hayo ni matumizi mabaya ya eshima ndugu
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Nafurahi sana! Hawa ndo alama ya udikteta duniani na ndo wanaowapa kiburi madikteta duniani
Ww ni fundi nimekukubali, naili kauli yako iwe nanguvu ndoman mturuki namrusi ndo wanasimamia huo mpango wa Aman, hapa Kuna kitu kikubwa San cha uturuki na urusi, pia tusisahau popote mrusi alipokutana namturuki kwenye hii mizozo Wali maliza vizur San, mfano kule Libya mturuki alimzid mrusi kilichotokea mrus akapeleka ndege akawaondoa raia wake walikua wanapigana kule pia sirya wanaelewan San Hawa wanamipango mkakat mkubwa San bila kusahau amemuuzia S400 nahali yakua marekan kafanya kila awezalo kuzuia hii dili akashindwa, Kuna jambo kubwa San wajuvi wajeAngalia sbb zifuatazo:
Jumuiya ya kimataifa including Russia haikuwah kuikubalia Armenia kumiliki hili eneo lililo kwenye mgogoro, hivyo Russia haikuona umuhimu wa kuizuia Az. isifanye yake
Turkey iliyo upande wa Az. imekuwa rafiki wa Russia hivi karibuni, na Putin ameona aendeleze urafiki; kumbuka Uturuki ni nchi ya pili kwa ukubwa wa jeshi NATO ikitanguliwa na US. Mrussi anakiri siku zote NATO ndio adui yake namba 1; kujipendekeza kwa uturuki ni kumong'onyoa umoja wa adui yake: jambo ambalo amefanikiwa. Sasa Edrogan yuko karibu na putin kuliko Western leaders.
Sababu ya tatu ni kwamba kiongozi wa Armenia alionesha kuegemea upande wa nchi za ulaya(Pro western) na hivyo Russia kaona ni mda muafaka wa kum'punish. US haijaingilia moja kwa moja probably sababu ya uchaguzi.
Sasa kwenye makala yako kuhusisha kuanguka kwa Russia na China kwa nguvu ya Western countries naona hujaitendea haki kalamu ya uandishi.
Manano ya kijiweni hayoTatizo hao ISLAMIC states inasemekana walikuwa FUNDED na MAKUNDI ya "wenye" uhusiano na US na marafiki zao....
Wale jamaa walikuwa STAGED kwa ajili ya kuivunja SYRIA....sasa inawezekanaje kwa US kuwamaliza haraka UTAKAVYO?!!!
Hivi kweli KINYAGO ulichokichonga unashindwaje KUPAMBANA nacho?!!!
Think THRICE
Marekan walifurushwa na alshabab ndan ya somalia, Blackhawk zilidondoshwa mpaka jamaa wakaona isiwe tabu wakakimbiaUrusi imebaki HISTORIA...
Walishindwa na TALIBAN waliowezeshwa na rafiki zetu kipenzi US kipindi kile vita ya MUJAHIDEEN kule Kandahar.....
Warusi walifurushwa mbio na TALIBAN....
UTURUKI iko NATO...nyuma yake kuna nguvu kubwa na bora zaidi ya wale WAKOMUNISTI WA MOSCOW....
Imeisha hiyo.....
Mkuu...
GDP zao tu ziko TOFAUTI...
Yaani nchi yenye GDP Dollar 21.5Trillion utaifananisha na Urusi yenye Dollar 1200billion?!!
Mkuu acha MASKHARA....[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wamarekani walikuwa wanachinywa kama kuku alafu leo hii uje kusema wanajuana, utakuwa una matatizo labda.yani mtu anayemchinja ndugu yako leo hii useme mnajuana.acha utani mkuuTatizo hao ISLAMIC states inasemekana walikuwa FUNDED na MAKUNDI ya "wenye" uhusiano na US na marafiki zao....
Wale jamaa walikuwa STAGED kwa ajili ya kuivunja SYRIA....sasa inawezekanaje kwa US kuwamaliza haraka UTAKAVYO?!!!
Hivi kweli KINYAGO ulichokichonga unashindwaje KUPAMBANA nacho?!!!
Think THRICE
Urusi ana maslahi gani na Azerbaijan??? Mwenye influence zaidi Azerbaijan ni Uturuki na sio RussiaNa ambacho ajui ni kwamba masilahi ya Urusi kwa Azabeijan ni makubwa sana na muhimu kuliko Armenia,mimi ninacho kiona Urusi ineweka ukaribu na Armenia kwa sababu tu ni majirani na hataki Marekani aitumie kuweka kambi zake,ila tofauti na hapo Armenia hana faida nyingine kwa Russia.
Kwani IS imemalizwa na Urusi au Marekani na washirika wake??? Aliyekuwa kiongozi wa IS aliuliwa na Marekani au Urusi??MAREKANI na NATO walichukua miaka zaidi ya 2 kupambana na Islamic state na bado jamaa wakawa na nguvu kila kukicha....... Ila ilimchukua URUSI miezi 6 tu Islamic state ikabaki jina tu.....
Alafu leo hii unasema URUSI na zaifu.hayo ni matumizi mabaya ya eshima ndugu
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Acha ubishi usio kuwa na maana mkuu , biashara kati ya Azabeijan na Urusi ni kubwa zaidi ya mara tano ya biashara kati ya Urusi na Armenia kwa sababu Armenia uchumi wake ni mdogo mno.Urusi ana maslahi gani na Azerbaijan??? Mwenye influence zaidi Azerbaijan ni Uturuki na sio Russia
Tatizo hao ISLAMIC states inasemekana walikuwa FUNDED na MAKUNDI ya "wenye" uhusiano na US na marafiki zao....MAREKANI na NATO walichukua miaka zaidi ya 2 kupambana na Islamic state na bado jamaa wakawa na nguvu kila kukicha....... Ila ilimchukua URUSI miezi 6 tu Islamic state ikabaki jina tu.....
Alafu leo hii unasema URUSI na zaifu.hayo ni matumizi mabaya ya eshima ndugu
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Niko serious Mkuu....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wamarekani walikuwa wanachinywa kama kuku alafu leo hii uje kusema wanajuana, utakuwa una matatizo labda.yani mtu anayemchinja ndugu yako leo hii useme mnajuana.acha utani mkuu
Ebu kuweni serious kidogo
πππKwa iyo uwo ndo ubora wa silaha ?....kweli akili ni nywele kila mtu ana zake[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Silaha haipimwi kwa ela ndugu izo ni bangi za mchana kweupe M-16 machine gun bei yake ni mara 2 ya Ak-47 ila ukija kwenye ubora AK-47 ni habari nyingine kabisa........
.Ni mwanajeshi chizi pekee ambaye ukimwambia achague kati ya izo silaha 2 yeye achukue M-16 aache Ak-47
Ni nchi gani kubwa duniani ambayo haijawai kutumia AK-47 ?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kweli wewe ni mkomunisti....
Twende hivi....
Ninasemaje MWANAJESHI huyo atakuwa ni mkomunisti ama amepigana vita kule AFGHANISTAN...
M-16 Ni bora kuliko AK 47 KALASHNIKOV....
1.M-16 ni nyepesi MNOOO kuliko hiyo KALASHNIKOV.....
2.M-16 ina uwezo wa kufyatua risasi mbali zaidi ya mita 400(Viwanja 4 vya mpira wa Miguu) zaidi ya hilo "dubwasha la kirusi" ambalo HALIPENYI zaidi ya VIWANJA VIWILI VYA MPIRA....
Dubwasha zito Kama nini...dubwasha LINAUMIZA BEGA mnoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hapo ndio pazuri, unafikiri kwann haikushiriki moja kwa moja?Kwani Urusi ilishiriki kwenye hiyo Vita moja kwa moja kama Uturuki ilivyofanya?
Wewe ndo umuelewi vizuri Putin ndugu.Islamic state ni kweli viongozi wake na wapiganaji ni wale waliokuwa waasi wa Syria.walipewa mafunzo na Marekani na washirika wake kwa ajili ya kumtoa Assad ila mwisho wa siku wakaona Wamarekani wanawazingua wakaanzisha utawala wao wenyewe.Tatizo hao ISLAMIC states inasemekana walikuwa FUNDED na MAKUNDI ya "wenye" uhusiano na US na marafiki zao....
Wale jamaa walikuwa STAGED kwa ajili ya kuivunja SYRIA....sasa inawezekanaje kwa US kuwamaliza haraka UTAKAVYO?!!!
Hivi kweli KINYAGO ulichokichonga unashindwaje KUPAMBANA nacho?!!!
Think THRICE
Niko serious Mkuu....
Kwani hizo habari ndio kwanza unazisikia kwangu?!!!
Mbona rafiki yako PUTIN anaongea kila Mara?!!!
Hivi unamfuatilia vyema rafiki yako MKOMUNISTI Putin mkuu...?!!!
Unaniangushaaa....[emoji23][emoji23]
Binafsi amekuwa akisema kuwa ISIS wametengenezwa na anawatuhumu "watu fulani" waziwazi....aaah mkuu hata hili nalo ni UTOTO?!!!
[emoji23][emoji23]
Mkuu hebu nisikilize....Marekan walifurushwa na alshabab ndan ya somalia, Blackhawk zilidondoshwa mpaka jamaa wakaona isiwe tabu wakakimbia
Samahan Kaka,ukiandika neno kwa ajili ya kujibu kile ambacho mim nimeandika utanitendea haki km utaandika kwa kiswahili kwa sabab sipo vzr kwa kiingereza.Mkuu hebu nisikilize....
Hao kina FARAH AIDEED walikuwa ni wajinga tu....
I remind you that Americans were leading UN troops kuwasaidia RAIA wa SOMALIA waliokuwa WANAKUFA kwa BAA LA NJAA(famine)...
Njaa iliwaua WASOMALI zaidi ya nusu MILIONI....
US wana huruma Sana Mkuu....
Walikwenda kuwashambulia WABABE WA KIVITA ambao walikuwa wanazuia MISAADA ya KIUTU kwa raia wasio na HATIA....
Sasa mtu ANASAIDIA WATU WENU...halafu "mazwazwa" yanataka SHIDA iendelee...BURE KABISA...EMPTY BRAINS [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli WANAJESHI 18 wa US walivamiwa na kuuwawa....the terrific issue ni UPUMBAVU was wale wababe KUTEMBEZA MAITI za ASKARI WA US Mitaani Kama SIO BINADAMU...it's true GHATI(mirungi) is not healthy to mentally cognitive BRAIN...[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa sababu URUSI haitambui Nagorno-Kabarakh kuwa ni sehemu ya ARMENIA bali ni ardhi ya AZERhapo ndio pazuri, unafikiri kwann haikushiriki moja kwa moja?