Urusi kuangushwa na Uturuki katika Mgogoro wa Azerbaijan na Armenia. Je, huu ndio mwisho wa Urusi?

Umelalia kwenye mlengo wa dini yako. Russia na uturuki Kama mbingu na nchi.
 
Umesema "wakaanzisha utawala wao"...
Huo ushahidi UNAUTOA WAPI?!!!

Putin haongelei hilo "la KUANZISHA UTAWALA WAO..."

Umerudi kulekule kuwa US hakushindwa KUIMALIZA hiyo MIGAIDI kama UNAVYOJITAPIA kuwa PUTIN alifanya ndani ya muda mfupi mno....
Ndio mana nikakuambia "KINYAGO ukichonge Mwenyewe na kikushinde"?!!!

πŸ‘†πŸ‘†
HAPO KUNA SIRI KUBWA ambayo labda sisi HATUWEZI kung'amua zaidi....

Ni Sawa na "kusemwa" yale mamujahedeen ya AFGHANISTAN yalisaidiwa na US(recruited,orchestrated and funded)halafu baadae YAKABAWABADILIKIA sponsors wao(hapa panahitaji udadavuzi wa utulivu mno)πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Erdogan anataka kuirudisha Ottoman empire
Anataka kutawala waislam wote na kuiangusha Saudi Arabia

all Hail Kalifa Erdogan
 
Hakuna kitu ni ukweli usiopingika kuwa waliwashindwa wala hawakuwa na uwezo wa kuwa piga.
 
Mkuu....

Ni kweli hakuna nchi ambayo imekosa kutumia hiyo KALASHNIKOV...kwani ni BUNDUKI YA VIWANGO kuwahi kutengenezwa...."kuwahi kutengenezwa"....

Ilitengenezwa miaka mingi nyuma na ikawa na SOKO...
Ilienea DUNIANI kupitia VIKUNDI VYA HARAKATI vyenye milengo ya uadui na nchi za MAGHARIBI hususani US na maslahi yake....

Kuanzia AMERIKA YA KUSINI...AFRIKA...BARA ARABU...ASIA YA MBALI...kote huko kikuwa na vikundi vyenye uhusiano na "Ukomunisti"πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa hiyo BUNDUKI hiyo ILITUMIWA NA KUSIFIWA SANA...Wakati Mwingine SIFA ZILIZIDI ubora wake kwa kuwa hao "wapiganaji" hawakujua SILAHA NYINGINE hususani za DUNIA YA MAGHARIBI kwani "sponsors" wao walikuwa "hiyo MIKOMUNISTI"....

Hebu fikiria...leo LANDROVER ndiyo gari inayobaki vichwani mwa watu kuliko MAGARI MENGINE(hebu muulize babu yako)πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚....

Je hakuna MAGARI BORA ZAIDI ya LANDROVER za muingereza?!!!!

Mkuu sikuzuii kuDOUBT fikra na uelewa wangu....
 
Kasome historia ya huo mgogoro ndo uje uandike vizuri
 
ushawishi wa urusi umekua ukipungua eneo lile kwa muda sasa, km azerbaijan imekua karibu sn na turkey, israeli na west na ht deal zake zile za mafuta na mradi wa bomba la gesi haziangaliwi vyema na urusi,kwa upande wa armenia uongozi wa sasa uliingia madarakani kwa kupitia maandamano yalioutoa uongozi uliokua umeegemea sn urusi na kiongozi aliotolewa alikimbilia hukohuko urusi, issue ya nagoro ndio ilikua ni moja ya sababu kubwa ya armenia kuiihitaji sn urusi ila sasa ndio hvyo nagoro inaondoka, kimsingi urusi imekua ikipata changamoto kumaintain ushawishi wake kwenye mataifa inayopakana nayo na wakati mwngn vita ilihusika mfano georgia na ukraine, uturuki amekua mwiba kwa urusi sio tu kwe nagoro lkn pia libya ambako mambo yamekua magumu sn kwa jenerali haftar, kimsingi kwa kipindi hiki uturuki amekua headache kwa kila mtu maana amepiga moves kadhaa ambazo zimefanikiwa kuanzia libya,gulf mpk caucasAS. kiukweli uturuki ndie mshindi mkubwa hp marekan,ulaya na urusi wanatambua hilo
 
US is the world superpower...si hao UTOPOLO MAKOMUNISTI ya URUSI....
 
Kwa sababu URUSI haitambui Nagorno-Kabarakh kuwa ni sehemu ya ARMENIA bali ni ardhi ya AZER
urusi inaitambua serikali ya GNA libya lkn still inamsaidia haftar covertly, kwann isingefny hvyo kwa mshirika wake muhim sn eneo lile armenia?
 
Sure Mkuu....

Those are FACTS....

Turkey wako na uhusiano na TAIFA BORA DUNIANI...US...
Turkey wako na uhusiano na JUMUIYA YA KUJIHAMI YENYE NGUVU duniani....NATO...

"Upande huo" waliopo Turkey UMEWAPA UZOEFU ZAIDI....

MIKOMUNISTI ya Kirusi iliomba POO pale Libya....
MIKOMUNISTI inazidi kupoteza NGUVU NA USHAWISHI duniani....

Hizi siku za karibuni,MIKOMUNISTI hiyo IMEWEZA tu kuihami SYRIA ya ASSAD isianguke.....ilipigana kufa na kupona...kwa kujua kuwa kama ASSAD angeanguka...basi WANGEKUWA HATARINI ZAIDI....

MIKOMUNISTI hiyo ilikuwa radhi kutumia hata SILAA ZA SUMU kwa maadui wa ASSAD ili tu ASIANGUKE....

MIKOMUNISTI karibu itabaki HISTORIA duniani....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukitaka kujua unavyojipinga ona unavyolinganisha Urusi nchi moja dhidi ya NATO nchi kama 20 kisha unasema Urusi hana uwezo.
Wapi uliwahi sikia Barcelona inalinganishwa na EPL au Liverpool inalinganishwa na La Liga.

Kitendo cha kuishindanisha Urusi na NATO tiyari ushakuabali ina uwezo ndio maana kuna umoja wa kuidhibiti. Tofauti na hapo ungeilinganisha na Ufaransa, Ujerumani, Canada, Uingereza. Wewe umechanganya wote
 
Sidhani kama Russia aliingia moja kwa moja katika mgogoro huu baada ya Uturuki kujiiingiza kuisaidia Azebaijan!! Sana sana huenda alitoa msaada wa silaha kwa Armenia.Hii ni kwa sababu ya maslahi aliyonayo na Uturuki.mf Russia ina mkataba wa kuiuzia Uturuki silaha za kujiahami S-400 (Silaha inayoifanya US isipate usingizi) vile vile ina mkataba na uturuki wa kujenga bomba la Gesi toka Russia kwenda Uturuki pamoja na mikataba mingine yenye maslahi kwa Russia.
Ni kweli Russia ana mkataba wa ulinzi na Armenia lakini ikiwa njia panda huenda imeona hauna maslahi zaidi kuliko mikataba yenye maslahi aliyonayo na Uturuki.
After then tayari Jumuia ya kimataifa pamoja na Baraza la Usalama kwa muda mrefu ikitambua kuwa Gono Karabah kijiografia ni sehemu ya Azebaijani.
Kwa sababu ya udini nadhani umeshindwa kuoanisha mgogoro wa Azebaijani na Armenia na siasa za CCM hapa Tanzania!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mpwa wa Putin nakuona kaka....

Kiukweli hakuna ASIYEJUA kuwa Urusi ina nguvu za kijeshi...hasa KIHISTORIA....ila sasa hivi WAPENZI wake wanaIOVERRATE sana...

Ni kweli usemayo kuwa NATO ni wengi na ni bayana WANAPAMBANA kuidhibiti URUSI....

Kikubwa ni kuwa US na NATO wako bora zaidi...BORA ZAIDI.... ya hiyo mijamaa ya KIKOMUNISTI....

N.B Haina maana MIKOMUNISTI YA PUTIN haina uwezo....la hasha!!
 
Silo zinajulikana kwenye satellite na ziko located acha kukariri. Satellite ya kiraia inakuonesha nyumba unayokaa sembuse satellite ya kijeshi kushindwa kutambua silo.
Transport Elector Launcher (TEL) inafyatua kombola kisha inaondoka. Uliiona Tengeru saa moja ukatuma ndege iishambulie, saa tatu TEL iko Serengeti huioni. Hizo silo tangu miaka ya 1960 ziko palepale
 
Sawa Mkuu....

Hivi nikuulize...ni kweli kuwa SILO imekuwa ikitumiwa toka miaka ya 60...je US kwanini wanaendelea KUZITUMIA zaidi ya ERECTOR TRANSPORT LAUNCHERS?!!!

Hivi kweli US wanashindwa kutengeneza hizo TRUCKS za kubebea ICBM?!!!
Really?!!!

Nijibu TAFADHALI...
 
Biashara anayofanya Azerbaijan na Urusi ni kubwa mara mbili ya ile anayofanya na Armenia....
Pili: Urusi wala atambui Nagorno ni sehemu ya Armenia .....
Tatu: Armenia walishaanza kutoka kwenye ushawishi wa Warusi wakawa wanatengeneza urafiki na nchi za magharibi, ndo maana kwenye shida mrusi nae ikabidi ampotezee kama vile hamuoni...

Libya gani iyo unayosema kuwa hali ya Haftar ni mbaya wakati nusu na robo ya nchi ipo kwenye mikono yake.na nusu na robo ya visima vya mafuta vipo chini yake vikilindwa na russia private military.Urusi anataka kujenga base ya kudumu pale Libya japo ana base kwenye mkoa wa Sitre na Al jufra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…