T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Jeshi la Russia na la US wana doctrine tofauti sana na hata mifumo ya silaha wanatofautiana mno.Sawa Mkuu....
Hivi nikuulize...ni kweli kuwa SILO imekuwa ikitumiwa toka miaka ya 60...je US kwanini wanaendelea KUZITUMIA zaidi ya ERECTOR TRANSPORT LAUNCHERS?!!!
Hivi kweli US wanashindwa kutengeneza hizo TRUCKS za kubebea ICBM?!!!
Really?!!!
Nijibu TAFADHALI...
Wakati US ana Minuteman kwenye silos, Russia anazo Yars kwenye TEL na Sarmat kwenye silos. Yars ni mbadala wa silo endapo zikiharibiwa. Ukishakuwa na mbinu ya kuharibu silaha za adui, unatafuta njia za kuzuia mbinu kama hiyo uliyonayo adui asiwe nayo kuitumia dhidi yako.
Russia anachoamini ikianza vita atashambulia silo za US. Kwa vile wote wanaruhusu preemptive strike, What if US naye akashambulia silo za Russia?
JIBU: Zitabaki TEL