Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hili lipo wazi kabisa kwa sasa . Kitendo cha Urusi kutangaza wazi ushirikiano wake na Irani Tujiandae kuona nchi za kiarabu kuwa uwanja wa vita.
Kambi za kijeshi za wamarekani zilizopo katika nchi za kiarabu kwa sasa zitakua ni shabaha ya silaha za urusi na Iran.
Hii ndio chance pekee aliyopata mrusi ya kuweza kumpiga mmarekani Moja kwa Moja kupitia Iran.
Tusubiri yajayo yanafurahisha.