dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
Fattah-2 zishawashwa huko, GPS siku ya 3 imekuwa jammed Tel Aviv
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukraine tushaachana nayo maana imesha prove kuwa hawana uwezo wa kupigana na urusi pamoja na kusaidiwa Kila kitu na NATO.![]()
Satellite images show long-range strikes destroyed a Russian aircraft that can drop glide bombs, Ukraine says
Ukraine's military intelligence agency said it destroyed one Su-34 fighter-bomber and most likely damaged two more in the strike on Morozovsk airbase.www.businessinsider.com
Wewe angalia wanavyo chakazwa.Ukraine tushaachana nayo maana imesha prove kuwa hawana uwezo wa kupigana na urusi pamoja na kusaidiwa Kila kitu na NATO.
Wewe angalia wanavyo chakazwa.
Washaanza kusafisha njia. Kula chuma hikoManeno mengi kama waswahili, kama wanalianzisha walianzishe ijulikane moja,.sio kutishia tishia nyau tu.
Kuna jamaa yangu nilikua nachart nae Whatsapp yupo Tel Aviv ananiambia Leo ni siku ya 3 wanalala kwenye mahandaki hawajui Muiran atakuja saa ngapi.Hiyo unayoita ni tishia nyau imefanya maelfu ya raia wa Israel kuihama nchi kwa muda usiojulikana kwa kuhofia vita kamili.
Kiufupi hii tishia tishia inavuruga akili na utulivu wa Israel.
Ni kama psychological torture.
Hii show inayokuja tamu sana.WW3 is coming sson.
Cha msingi mama asituingize vitani kwa ahadi za misaada ili tuendelee kutizama jinsi Rusia anavyoidharaulisha marekani na dada yake UK.
Yani haya ni mateso ya kisaikolojia.Kuna jamaa yangu nilikua nachart nae Whatsapp yupo Tel Aviv ananiambia Leo ni siku ya 3 wanalala kwenye mahandaki hawajui Muiran atakuja saa ngapi.
Hili lipo wazi kabisa kwa sasa . Kitendo cha Urusi kutangaza wazi ushirikiano wake na Irani Tujiandae kuona nchi za kiarabu kuwa uwanja wa vita.
Kambi za kijeshi za wamarekani zilizopo katika nchi za kiarabu kwa sasa zitakua ni shabaha ya silaha za urusi na Iran.
Hii ndio chance pekee aliyopata mrusi ya kuweza kumpiga mmarekani Moja kwa Moja kupitia Iran.
Tusubiri yajayo yanafurahisha.
View attachment 3062438

Tusubiri yajayo yana
Kuna majambo watu wengi hawayajui, hasacuhusiano wa Iran na Urusi. Hawa zama za zamani walikuwa na uhusiano kidini na kiutawala walikuwa wanaamini katika kuabudu moto na jua(Persian empire) huku waisrael(wazayuni) na baarhi ya waraabu pamoja na Roma wanaabudu Mungu wa Vitabu vitakatifu yaani Ukristo na Uislam na Uyahudi.Hili lipo wazi kabisa kwa sasa . Kitendo cha Urusi kutangaza wazi ushirikiano wake na Irani Tujiandae kuona nchi za kiarabu kuwa uwanja wa vita.
Kambi za kijeshi za wamarekani zilizopo katika nchi za kiarabu kwa sasa zitakua ni shabaha ya silaha za urusi na Iran.
Hii ndio chance pekee aliyopata mrusi ya kuweza kumpiga mmarekani Moja kwa Moja kupitia Iran.
Tusubiri yajayo yanafurahisha.
View attachment 3062438
Ilikuwepo Misri ikiwakusanya waarabu kuipiga Israel na iliufyata baada ya kipondo,Hili lipo wazi kabisa kwa sasa . Kitendo cha Urusi kutangaza wazi ushirikiano wake na Irani Tujiandae kuona nchi za kiarabu kuwa uwanja wa vita.
Kambi za kijeshi za wamarekani zilizopo katika nchi za kiarabu kwa sasa zitakua ni shabaha ya silaha za urusi na Iran.
Hii ndio chance pekee aliyopata mrusi ya kuweza kumpiga mmarekani Moja kwa Moja kupitia Iran.
Tusubiri yajayo yanafurahisha.
View attachment 3062438
Hahahaha naona sasa ushayajua maguvu ya Wazayuni na kukiri kuwa Iran ni chui wa karatasi.Kama vita itapelekea israhell kufutwa na kuchakazwa na kuwa mwanzo wa Palestine kua na amani acha vita ipiganwe
Mazayuni wanachoelewa wao ni nguvu kwa nguvu tuuu mbwa wakubwa wale
Tusisikie vilio na kutaka sijui UN ingilie kati na mnavukaga mipaka mpaka mnatakaga Serikali ya Tanzania itoe tamko la kulaani vita mliyochokoza wenyewe.Ndo maana yake.
Urusi, Turkey, Iran, na northern africam countries na other Islamic countries zitaungana zikiongozwa na Russia yaani GoG wa Mogogu kutaka kuipiga Israel very bad ni kuwa watashindwa vibaya mnoo yaani itakuwa ni aibu kubwa sana kwa russia & its allies. Na hii itatoa room for European Union kuwa ni rumi iliyofufuka itakayokuwa jumuia yenye kiongozi mwenye nguvu na ushawishi mkubwa dunian.Dola hii itazikung'uta nchi ambazo zitaipinga na infact zipo nchi nyingi viongozi wake watakubali yaishe na kibaya watampa kiongozi huyo wa EU madaraka yao na offcourse huyo kiongozi wa EU si mwingine bali mpinga kristo.Kuna majambo watu wengi hawayajui, hasacuhusiano wa Iran na Urusi. Hawa zama za zamani walikuwa na uhusiano kidini na kiutawala walikuwa wanaamini katika kuabudu moto na jua(Persian empire) huku waisrael(wazayuni) na baarhi ya waraabu pamoja na Roma wanaabudu Mungu wa Vitabu vitakatifu yaani Ukristo na Uislam na Uyahudi.
Ndio maana kwa wakati huo ikiwa vita vitapiganwa na Empire ya Persian na Roma basi watu watakaa upande fulani kutokana na uhusiano wa dini.
Sasa basi, Urusi kuunga mkono Irani ni sehemu yake na ni haki. Ila katika vita hivi ikiwa vitapiganwa basi tujue kuna vita rasmi itakuja nayo ni adui wa wote hao Urusi, Marekani, wafuasi wa Roma na waarabu nao ni Islamic State.
Wakati wanapigana wenzao watakuwa wanajipanga.
Na tufahamu lengo la Islamic state ni kutawala dunia nzima kwa sheria za kiislam.
Kwa haya yote soma Kitabu cha Daniel pia soma Quran sura Rumi kuhusu husiano wa Iran na Urusi lakin pia tafuta vyanzo mbalimbali za mwisho wa ulimwengu mambo ambayo yatakuja kutokea.
Search Youtube nk
Muweke na mchina, north Korea then upime tena tafakuri yako. Kisha uamini kua nchi itakayotaka kushindwa kama itabonyeza nuclear au la.Urusi, Turkey, Iran, na northern africam countries na other Islamic countries zitaungana zikiongozwa na Russia yaani GoG wa Mogogu kutaka kuipiga Israel very bad ni kuwa watashindwa vibaya mnoo yaani itakuwa ni aibu kubwa sana kwa russia & its allies. Na hii itatoa room for European Union kuwa ni rumi iliyofufuka itakayokuwa jumuia yenye kiongozi mwenye nguvu na ushawishi mkubwa dunian.Dola hii itazikung'uta nchi ambazo zitaipinga na infact zipo nchi nyingi viongozi wake watakubali yaishe na kibaya watampa kiongozi huyo wa EU madaraka yao na offcourse huyo kiongozi wa EU si mwingine bali mpinga kristo.
Kwa mfuatiliaji wa biblia vitabu vya ezekieli, daniel, injili za mathayo, luka, marko, na ufunuo wa Yohana kilia kitu kipo wazi sanaaaaa.
Na yanayoendelea sasa duniani wala hamna jipya biblia ilishaweka wazi kila kitu zaidi ya miaka 2000 iliyopita.
Yaani na mimi nimechoka kwa mikwara yao.Maneno mengi kama waswahili, kama wanalianzisha walianzishe ijulikane moja,.sio kutishia tishia nyau tu.
Asante nitaongeza elimu .Kuna majambo watu wengi hawayajui, hasacuhusiano wa Iran na Urusi. Hawa zama za zamani walikuwa na uhusiano kidini na kiutawala walikuwa wanaamini katika kuabudu moto na jua(Persian empire) huku waisrael(wazayuni) na baarhi ya waraabu pamoja na Roma wanaabudu Mungu wa Vitabu vitakatifu yaani Ukristo na Uislam na Uyahudi.