Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
- Thread starter
- #41
Hayo fanyieni huko Gaza wanapotumia mawe na viroketi vya kutumia baruti huko kwengine ni jicho kwa jicho.Tusisikie vilio na kutaka sijui UN ingilie kati na mnavukaga mipaka mpaka mnatakaga Serikali ya Tanzania itoe tamko la kulaani vita mliyochokoza wenyewe.