Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Hiyo unayoita ni tishia nyau imefanya maelfu ya raia wa Israel kuihama nchi kwa muda usiojulikana kwa kuhofia vita kamili.Maneno mengi kama waswahili, kama wanalianzisha walianzishe ijulikane moja,.sio kutishia tishia nyau tu.
Doctor Vulture is seeking to treat the baldness..🤣🤣🤣🤣🤣Hili lipo wazi kabisa kwa sasa . Kitendo cha Urusi kutangaza wazi ushirikiano wake na Irani Tujiandae kuona nchi za kiarabu kuwa uwanja wa vita.
Kambi za kijeshi za wamarekani zilizopo katika nchi za kiarabu kwa sasa zitakua ni shabaha ya silaha za urusi na Iran.
Hii ndio chance pekee aliyopata mrusi ya kuweza kumpiga mmarekani Moja kwa Moja kupitia Iran.
Tusubiri yajayo yanafurahisha.
View attachment 3062438
NaamUnamaanisha ni kama marekani alivyojitosa kumsaidia Ukraine?
Sibahatishi mkuu. Nenda X tayari US base ya marekani imekula chuma huko west Iraqi muda huu. Iran na urusi wanaanza kusafisha njia.Doctor Vulture is seeking to treat the baldness..🤣🤣🤣🤣🤣
Ukraine war briefing: Zelenskiy hails strikes on Russian targets as Moscow reports drone barrage
Kyiv steps up aerial attacks on airfields and oil depots; Russia says it ‘intercepted and destroyed’ 75 drones over regions on border with Ukraine. What we know on day 893www.google.com
Marekani anaipa kiburi Israel . Mbinu ya Urusi ya kupiga Kambi za wamarekani hapo uarabuni naielewa sana. Ukitaka kuuwa nyoka piga kichwa usipige mkia.Kama vita itapelekea israhell kufutwa na kuchakazwa na kuwa mwanzo wa Palestine kua na amani acha vita ipiganwe
Mazayuni wanachoelewa wao ni nguvu kwa nguvu tuuu mbwa wakubwa wale
PoleKama vita itapelekea israhell kufutwa na kuchakazwa na kuwa mwanzo wa Palestine kua na amani acha vita ipiganwe
Mazayuni wanachoelewa wao ni nguvu kwa nguvu tuuu mbwa wakubwa wale
Hayo ni mawazo yakoMarekani anaipa kiburi Israel . Mbinu ya Urusi ya kupiga Kambi za wamarekani hapo uarabuni naielewa sana. Ukitaka kuuwa nyoka piga kichwa usipige mkia.
Kwa sasa Netanyahu na maofisa wake wapo kwenye mahandaki huko Jerusalem. Iran kasema waendelee kujificha maana safari hii hatangazi muda atakaowatembelea kama alivofanya April 13. Hii ya safari hii ni kubwa kuliko..Yale Masaa 72 ivipi?
Nenda kaangalie kule X tayari US base imekula chuma muda huu. Kazi imeanza sibahatishi Mimi. Ngoja nikuwekee taarifa kamili ufurahiHayo ni mawazo yako
Ndo maana yake.Unamaanisha ni kama marekani alivyojitosa kumsaidia Ukraine?
Marekani anaipa kiburi Israel . Mbinu ya Urusi ya kupiga Kambi za wamarekani hapo uarabuni naielewa sana. Ukitaka kuuwa nyoka piga kichwa usipige mkia.
Angalia hao Russia wanavyochakazwa sasa ndio ampige nani...!!!Sibahatishi mkuu. Nenda X tayari US base ya marekani imekula chuma huko west Iraqi muda huu. Iran na urusi wanaanza kusafisha njia.