Urusi kuisaidia Iran Tujiandae kuona nchi za kiarabu zikiingia kwenye matatizo makubwa.

Ushabiki mwingine mbaya sana mtu anakashifu Israel kuweka raia wake kwenye mahandaki ,
Hamuoni kwamba ni nchi imejiandaa hiyo? Na ni kawaida sana mbona wakati wa vita ya Kagera wananchi hadi wa vijijini huko walichimba mahandaki sijaona cha ajabu kwa Israel
 
Naamini sbb Putin kaweka wazi vita vyake na wayahudi kupitia Iran, kwa asilimia 100, Putin atamalizwa sio muda mrefu, tutaona mengi mno ndani ya miezi 2 ijayo
 
Kama vita itapelekea israhell kufutwa na kuchakazwa na kuwa mwanzo wa Palestine kua na amani acha vita ipiganwe
Mazayuni wanachoelewa wao ni nguvu kwa nguvu tuuu mbwa wakubwa wale
Sio mbaya kujifariji ila mwisho wasiku tunajua wapi pray for zinapotokeaga..waulize watu wa gaza wanakufa kila siku kama nzi.
 
Hahahaha naona sasa ushayajua maguvu ya Wazayuni na kukiri kuwa Iran ni chui wa karatasi.
Nguvu gani alokua nayo mzayuni kijana
Ukweli mchungu wazayuni hawana nguvu wenyewe nguvu wale wazayuni wa media wale wananguvu
Wale wazayuni wakwenye MSM walienda entebbe wakakomboa mateka kwa masaa 24 ila leo wanashindwa kukomboa mateka wao mwaka mzima tena hapo jirani
Wale wazayuni wa MSM walienda german nk kumaliza walowaita magaidi waloua wanamichezo wao ila leo wanamwaka wanahangaika na watu waliopo happ
Wale wazayuni wa MSM walipiga mataifa ya kiarabu kwa siku sita ila leo wanashindwa kumaliza kakata mwaka mzima
Wazayuni nnaowaogopa niwakwenye MSM ila hawa wazayuni wamchongo hata mimi wananiogopa nikienda najambia tu
 
Naamini sbb Putin kaweka wazi vita vyake na wayahudi kupitia Iran, kwa asilimia 100, Putin atamalizwa sio muda mrefu, tutaona mengi mno ndani ya miezi 2 ijayo
Umetoka chachi asubuhi hiii๐Ÿ˜€
 
Pole
Netanyau alishaapa magaid yote atayawahisha jehanamu wakapambe na bikra 72 na kuogelea kwenye mito ya pombe
Leo ameua gaid jingine
Wewe ndio pole sababu hujaacha ugaidi
Ukiacha ugaidi utaelewa kwanini nakupa pole
 
Kuna jamaa yangu nilikua nachart nae Whatsapp yupo Tel Aviv ananiambia Leo ni siku ya 3 wanalala kwenye mahandaki hawajui Muiran atakuja saa ngapi.
Muirani akili kubwa sana ujue israhell wananza kusafisha stock zao za kula na mma mapema
Masuper market watu wananunua maji kama hawana akili na vyakula vinaondoka
Hapa kikija kipigo wanakufa kwa njaa mbwa hao kama kumbi kumbi shenzi kabisa
 
Islamic khalifas kama itakuja itakua ndio ukombozi kwa dunia
Dunia inapitia mateso makubwa sana kwa sheria hizi za wamagharibi wajinga wajinga
 
Ila inashindwa kuimaliza hamas pekee mwaka sasa
Chachi na MSM zimewafanya mufikirie kwakutumia macho badala ya akili
 
Wakati wa vita kwani israhell ipo vitani nanani?
Sijajua kama vita itatokea kweli ama laaah
Ila anachokifanya sasa israhell ni ujinga kama itatokea vita yeye atakua ana hasara sana
Kwasasa watu wapo pangoni anaezalisha uchumi huku juu nani na umeona uchumi wake israhell tokea aingie vitani na hamas haupo sawa na sasa anazidi kuingia matatizoni zaidi
Kubwa nikwamba israhell anaiogopa iran yaani iran kama angekua mdhaifu halaf kaishatangasa rasmi kama ataitwanga israhell lazima israhell ange pre emptive dhidi ya iran
Kwasasa israhell kuanzia viongozi raia mpaka uchumi upo kwenye wasiwasi mkubwa
Hii mbungi ikitokea leo nakuhakikishia israhell hatoboi labda atumie nyuklia kama anti yake alivyofanya JAPAN
Ingawaje kama nyuklia kwasasa zimetapakaa kila kona naye watu watamnyoosha pia
 
Umetoka chachi asubuhi hiii๐Ÿ˜€


Putin is purely arrogant, sasa i will support kupigwa sana Putin, his downfall is inevitable, kama huwajui wayahudi, subiri uone mambo ya Putin, inside Moscow wanamuondoa, najua huamini, Putin jinga kabisa
 
Hii ndio kombinisheni xx ya wanaume
 
Muweke na mchina, north Korea then upime tena tafakuri yako. Kisha uamini kua nchi itakayotaka kushindwa kama itabonyeza nuclear au la.
Huyo jamaa ni psychopath aiseee๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.
Huyo anakwambia superpower ajaye ni Roman empire itafufuka upya.
Hivyo usishangae na alichokwambia.
 
Sio mbaya kujifariji ila mwisho wasiku tunajua wapi pray for zinapotokeaga..waulize watu wa gaza wanakufa kila siku kama nzi.
Gaza ni occupied territory isiyo na ulinzi wa anga wala wa ardhi na wala isiyo na jeshi kamili.
Usifananishe Gaza na Iran ambayo ina airdefence system zaidi ya nne,ina ndege vita,ina makombora ya kufika popote na ina jeshi kamili.
Weeeh usifananishe.
 
Putin is purely arrogant, sasa i will support kupigwa sana Putin, his downfall is inevitable, kama huwajui wayahudi, subiri uone mambo ya Putin, inside Moscow wanamuondoa, najua huamini, Putin jinga kabisa
Russia is not Egypt kijana.
Kwamba unaweza ukafanya regime change kiboya boya.
 
Huyo mwehu putin aliwahi kusema marekani kinamsukuma nini kuingia ukraine badala ya kufanya yaliyo nchini kwake ajabu hicho hicho alichojifanya kukishangaa ndicho anataka kukifanya huko iran.
 
Pole
Netanyau alishaapa magaid yote atayawahisha jehanamu wakapambe na bikra 72 na kuogelea kwenye mito ya pombe
Leo ameua gaid jingine
Anaongea hivyo yeye mwenyewe hayupo Tel Aviv. Aongee hivyo akiwa Israel tuone janja yake. Majuzi hapa drones za Hizbollah zimepiga katikati kabisa ya Tel Aviv na Israel wakabaki wanashangaa. Iron doe is no more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ