Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 717
- 1,903
Hyo bandari ndio ilikuwa inapitisha silaha kutoka USAKwani hujaona vikwazo
Urusi anataka maeneo ya raia hiyo bandari wala ilikuwa haitumiwi na Jeshi la Ukraine
Ni bandari ya kiraia kwa ajili ya shughuli za kibiashara za kiraia kwa kusafirisha hasa vyakula nje ya nchi vinavyozalishwa Ukraine
Alichofanya ni kushambulia miundo mbinu ya raia kama barabara ,makazi na hiyo bandari
Ina maana kasimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwenye hiyo bandari
Mrusi kakiuka masharti ya vita ya kutoshambulia na kuteka maeneo ya shughuli za kiraia
Tatizo wakishasoma elimu yao ilio expire wanajiona nao wasomi wanajua Mambo meengi kwa kutumia hii elimu bandia , hawajui Kama hiyo elimu wanayotumia kuwazia mawazo hayo hata ukirudisha mwaka 1800 bado utakuta Urusi walikua hawaitumii.Kwa bahati nzuri aliyepo Buza haoni umihimu wa Bandari ya Mariuopol kuliko Putin na washauri wake! Hivi nani anawaongopea nyie? Kila kitu mnajifanya mnakijua kuliko wenyewe?
Aliwekewa vikwazo Iran na mafuta yake kuuza nje na anauza mpaka leo kias meli yake ya mafuta ilikamtwa na Uingereza nayeye akakamata Meli yao sembuse Russia!
We jamaa hujui dunia inavyokwenda kabisa Kama ulikufa halafu ukafufuka, UN nichombo kinachosimamia maslahi ya nchi za magharibi kupitia mgongo Kama chombo cha dunia ,ukisikia UN bc Marekani , Marekani ikijitoa na UN inakufa .ni sawa Mimi ninunue gari halafu nimwambie gari yetu wewe unaendesha Ila mimi najua hii gari nimenunua kwa lengo gani. Kwa kukusaidi kidogo japo utangulizi maana upo Kama ulizimia[emoji3][emoji3]Ww nawe ndondocha kweli, UN ni nchi za magharibi. Hv shuleni mlienda kujifunza nn
🤣🤣🤣 We jamaa ni kubwa jinga. Eti bandari za kilaia eti kwa shughuri za kibiashara za kilaia. Kwani shughuri za kichumi wa nchi zinafanyika kwenye bandari zipi??Kwani hujaona vikwazo
Urusi anataka maeneo ya raia hiyo bandari wala ilikuwa haitumiwi na Jeshi la Ukraine
Ni bandari ya kiraia kwa ajili ya shughuli za kibiashara za kiraia kwa kusafirisha hasa vyakula nje ya nchi vinavyozalishwa Ukraine
Alichofanya ni kushambulia miundo mbinu ya raia kama barabara ,makazi na hiyo bandari
Ina maana kasimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwenye hiyo bandari
Mrusi kakiuka masharti ya vita ya kutoshambulia na kuteka maeneo ya shughuli za kiraia
Umefikiria kuhusu gharama za kupitishia mizigo yako bandari ya nchi nyingine kisha kutumia barabara au reli?kaangalie Ramani ya Ukraine sio kisiwa export zake zitapitia kwingine
Wewe unaumia na nini? Wanaokufa ni wazungu na sio waafrica, na sisi tunataka wafe wazungu. Maana dunia iweze kukaaa sawa lazima damu imwagike na ndio hiii ya wazungu orijinaliHakuna rais kilaza kama huyu kmmke, nchi kashaiharibu thn analeta ujinga wake
Je hakuliona hilo tokea mwanzo[emoji116][emoji116][emoji116]
Ukraine conflict can only be resolved through "diplomacy", Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy says amid deadlock in negotiations between Kiev and Moscow https://t.co/NOkV2Ta6oi
Apana sio kitu kizuri hata kama wao wanasababisha migogoro sehem yningi duniani, kama ingelikua wanakufa hao wanaopigana tu sawa ila kuna watoto, vizee na vijana ambao wana dream za life zao kuwa nzuri sn huko mbeleni, kuna mda linatokea lijitu limoja tu kusababisha hasara na mauwaji ya maelfu ya watu kwa upuuzi wakeWewe unaumia na nini? Wanaokufa ni wazungu na sio waafrica, na sisi tunataka wafe wazungu. Maana dunia iweze kukaaa sawa lazima damu imwagike na ndio hiii ya wazungu orijinali
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Kwa ishu ya wazungu wacha wafe tuuu. Mimi simpendi Vladimir vodka Putin nae napenda afe pia natamani na Russia na yenyewe ishambuliwe ili zungu zifeApana sio kitu kizuri hata kama wao wanasababisha migogoro sehem yningi duniani, kama ingelikua wanakufa hao wanaopigana tu sawa ila kuna watoto, vizee na vijana ambao wana dream za life zao kuwa nzuri sn huko mbeleni, kuna mda linatokea lijitu limoja tu kusababisha hasara na mauwaji ya maelfu ya watu kwa upuuzi wake