Ustadh tongwe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2020
- 717
- 1,903
Hyo bandari ndio ilikuwa inapitisha silaha kutoka USAKwani hujaona vikwazo
Urusi anataka maeneo ya raia hiyo bandari wala ilikuwa haitumiwi na Jeshi la Ukraine
Ni bandari ya kiraia kwa ajili ya shughuli za kibiashara za kiraia kwa kusafirisha hasa vyakula nje ya nchi vinavyozalishwa Ukraine
Alichofanya ni kushambulia miundo mbinu ya raia kama barabara ,makazi na hiyo bandari
Ina maana kasimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwenye hiyo bandari
Mrusi kakiuka masharti ya vita ya kutoshambulia na kuteka maeneo ya shughuli za kiraia