Urusi kuiteka bandari ya Mariupol hakuna faida yeyote kwa sababu ya vikwazo vya kimataifa, haiwezi kufanya biashara yoyote

Urusi kuiteka bandari ya Mariupol hakuna faida yeyote kwa sababu ya vikwazo vya kimataifa, haiwezi kufanya biashara yoyote

Kwani hujaona vikwazo

Urusi anataka maeneo ya raia hiyo bandari wala ilikuwa haitumiwi na Jeshi la Ukraine

Ni bandari ya kiraia kwa ajili ya shughuli za kibiashara za kiraia kwa kusafirisha hasa vyakula nje ya nchi vinavyozalishwa Ukraine

Alichofanya ni kushambulia miundo mbinu ya raia kama barabara ,makazi na hiyo bandari
Ina maana kasimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwenye hiyo bandari

Mrusi kakiuka masharti ya vita ya kutoshambulia na kuteka maeneo ya shughuli za kiraia
Hyo bandari ndio ilikuwa inapitisha silaha kutoka USA
 
Kwa bahati nzuri aliyepo Buza haoni umihimu wa Bandari ya Mariuopol kuliko Putin na washauri wake! Hivi nani anawaongopea nyie? Kila kitu mnajifanya mnakijua kuliko wenyewe?
Aliwekewa vikwazo Iran na mafuta yake kuuza nje na anauza mpaka leo kias meli yake ya mafuta ilikamtwa na Uingereza nayeye akakamata Meli yao sembuse Russia!
Tatizo wakishasoma elimu yao ilio expire wanajiona nao wasomi wanajua Mambo meengi kwa kutumia hii elimu bandia , hawajui Kama hiyo elimu wanayotumia kuwazia mawazo hayo hata ukirudisha mwaka 1800 bado utakuta Urusi walikua hawaitumii.
 
Ww nawe ndondocha kweli, UN ni nchi za magharibi. Hv shuleni mlienda kujifunza nn
We jamaa hujui dunia inavyokwenda kabisa Kama ulikufa halafu ukafufuka, UN nichombo kinachosimamia maslahi ya nchi za magharibi kupitia mgongo Kama chombo cha dunia ,ukisikia UN bc Marekani , Marekani ikijitoa na UN inakufa .ni sawa Mimi ninunue gari halafu nimwambie gari yetu wewe unaendesha Ila mimi najua hii gari nimenunua kwa lengo gani. Kwa kukusaidi kidogo japo utangulizi maana upo Kama ulizimia[emoji3][emoji3]
 
Kila napoingua JF naonana na pumba tu , inawezekana ikawa Jf ndio mtandao wa kijamii wenye wajinga wengi kuliko mtandao wowote .
Watu wengi wanazani Vita ya Ukraine ni Vita ya makombora , Vita ya Ukraine ni Vita ya kurudishana nyuma kiuchumi Kati ya kambi ya magharibi na Rusia .
Ila uwezi kujua hili Kama hujui Russsia na Ukraine wanamchango gani duniani ,kwa kifupi tu Ulaya wanaitegemea Russia kwa gesi na mafuta na chakula pia wanaitegemea Ukraine kwa chakula ndio maana kambi ya magharibi wanapipambana kuishusha thaman pesa ya Russia , Russia anawaminya kwenye gesi mafuta na chakula chake na ili wasiwe na chaguo lingine kwenye chakula ndio maana anakomba bandari zote za Ukraine ili huyu kibaraka wao asiweze kuwasaidia Ulaya kwa chakula sababu anajua kua mshirika mwenza mkubwa ambae anailisha Ulaya .
Kwahiyo mwisho wa siku Russia lazima awe mshindi tu usifanye mchezo na kuminywa kwenye mahitaji muhimu na hii Vita itakua ya mda mrefu hata Kama itaisha leo Ukraine kashaathirika pakubwa mpaka kujipanga upya kwenye kilimo itachukua mda kwahiyo Ulaya lazima nishati itakua ghari , chakula ghari na vitu vyote vitakua ghari kwa sababu nishati imepatikana kwa ghari na kipindi Russia anapigana Vita huku anaendelea kuzalisha chakula mshindan wake hazalishi, na Kama Russia atafanikiwa kuchukua bandari zote bc hata Kama Ukraine atazalisha chakula mpaka kufika nchi za magharibi itakua ghari na kitakua kichache kwa sababu ya kutumia njia ya nchi kavu . Alafu anatoka mtu aliomaliza chuo anajiita msomi anakwambia bandari haina umuhimu kwa Russia. Adui yako muombee njaa ndio anachokitumia Russia.
 
Kwani hujaona vikwazo

Urusi anataka maeneo ya raia hiyo bandari wala ilikuwa haitumiwi na Jeshi la Ukraine

Ni bandari ya kiraia kwa ajili ya shughuli za kibiashara za kiraia kwa kusafirisha hasa vyakula nje ya nchi vinavyozalishwa Ukraine

Alichofanya ni kushambulia miundo mbinu ya raia kama barabara ,makazi na hiyo bandari
Ina maana kasimamisha shughuli za kiuchumi za raia kwenye hiyo bandari

Mrusi kakiuka masharti ya vita ya kutoshambulia na kuteka maeneo ya shughuli za kiraia
🤣🤣🤣 We jamaa ni kubwa jinga. Eti bandari za kilaia eti kwa shughuri za kibiashara za kilaia. Kwani shughuri za kichumi wa nchi zinafanyika kwenye bandari zipi??
 
kaangalie Ramani ya Ukraine sio kisiwa export zake zitapitia kwingine
Umefikiria kuhusu gharama za kupitishia mizigo yako bandari ya nchi nyingine kisha kutumia barabara au reli?
Zingatia kodi, tozo muda na mafuta.

Pia fikiria Ukraine watakosa mapato kiasi gani kupitia hizo bandari.

Fikiria khs mizigo mikubwa ambayo inasumbua kupitisha barabarani au kwenye reli isipokuwa ni kwa meli tu.
 
Hakuna rais kilaza kama huyu kmmke, nchi kashaiharibu thn analeta ujinga wake
Je hakuliona hilo tokea mwanzo[emoji116][emoji116][emoji116]

Ukraine conflict can only be resolved through "diplomacy", Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy says amid deadlock in negotiations between Kiev and Moscow https://t.co/NOkV2Ta6oi
Wewe unaumia na nini? Wanaokufa ni wazungu na sio waafrica, na sisi tunataka wafe wazungu. Maana dunia iweze kukaaa sawa lazima damu imwagike na ndio hiii ya wazungu orijinali

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Apana sio kitu kizuri hata kama wao wanasababisha migogoro sehem yningi duniani, kama ingelikua wanakufa hao wanaopigana tu sawa ila kuna watoto, vizee na vijana ambao wana dream za life zao kuwa nzuri sn huko mbeleni, kuna mda linatokea lijitu limoja tu kusababisha hasara na mauwaji ya maelfu ya watu kwa upuuzi wake
 
Kwa ishu ya wazungu wacha wafe tuuu. Mimi simpendi Vladimir vodka Putin nae napenda afe pia natamani na Russia na yenyewe ishambuliwe ili zungu zife

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom